Thursday 20 December 2012

Re: [wanabidii] Re: UCHOCHEZI WA CCM, GAZETI LA UHURU NA HATIMA YA TANZANIA

Yona,
Kusomwa na watu wengi na kutoa taarifa za kweli ni vitu 2 tofauti.
Usitukanganye hapa, lina wasomaji wengi walio tayari kulifia kivipi?
Wanauza nakala ngapi kwa siku? Katika mbao 10 za magazeti utalikuta
mbao 3 au 2 tu, tena mara nyingi linauzwa maeneo ya waliokunywa maji
ya bendera kama posta. Hapa hapa Dar kuna sehem hulipati.

Toka nimeanza kununua magazeti sijawahi kuchukua uhURU.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment