Wednesday 19 December 2012

Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?

Yona,

You made my day!

...bin Issa.
(Zanzibar Ni Kwetu)

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, December 19, 2012 2:07:48 AM
Subject: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?

OIC sio Taasisi ya Kidini ipo zaidi kwa ajili ya ushirikiano wa
kibiashara kati ya nchi mbalimbali duniani haswa zinazoendeshwa kwa
misingi ya dini ya kiislamu .

Kuna nchi kama Uganda ambayo sio ya Kiislamu na ni mwanachama wa OIC ,
nchi nyingi zaidi zinajiunga na taasisi hiyo kwa ajili ya kufanya
biashara na kupata maslahi mengine mengine ndani ya nchi ambazo
zimejiunga na OIC .

Mfano OIC kila mwaka inatoa skolashipu nyingi tu kwa ajili ya
wanachama wake , inatoa misaada mingi tu kwa ajili ya wanachama wake
inafanya biashara ya mamilioni kati ya wanachama wake na inazidi
kuwekeza katika Nyanja mbalimbali za sayansi na tekinologia .

Ni wakati sasa kwa watanzania kuamka na kuchangamkia fursa hizi za
jumuiya za kimataifa kama OIC na nyingine nyingi kwa ajili ya
maendeleo ya watu wake .

Hizi fursa za OIC haziangalii wewe ni dini gani au dhehebu gani , hiyo
misaada haiangalii inatumiwa na mtu wa dini gani au vyuo na shule
zinazojengwa na oic haziangalii dini fulani .

Kama Tanzania bara haitaki kujiunga na OIC Tanzania visiwani waachwe
wajiunge na OIC na katika katiba mpya inayotolewa maoni sasa hivi ni
vizuri iainishe mipaka ya sehemu nyingine za muungano katika kujiunga
na taasisi za kimataifa kama hizi .

Tuamke tuache ubinafsi .


On Dec 19, 9:39 am, Pius Makomelelo <makomelelop...@yahoo.co.uk>
wrote:
> Sijui tutaigawaje tz yetu hii ambapo kila sehemu ya nchi kumejaa makundi haya makuu tunayojaribu kuyajadili kwa sasa! Hivi hii OIC ni nchi kama inavyotambulika Vatican? Kama siyo tunaingizaje ya vatican hapa? Mie naona tuongee kama watz bila kuvutwa zaidi na interest za makundi yetu haya ya kidini. Hemu tuweke wazi hapa kwenye jukwaa, mantiki ya kutaka kuingia au kutoingia OIC ni nini? OIC ina tija gani kwa watz au kwa hao wanaotetea bila ya kuathiri kundi jingine? Na wale ndugu zetu wanaopinga uwepo wa mahusiano na Vatican, je wameathirika kwa kiasi gani na uwepo wa mahusiano haya? Na wanaokataa kujiunga na OIC, wana maswaibu au maono gani ya kutuelezea ambayo kwao wanaona nchi kuingia kwenye umoja huu kutafifisha ustawi wa nchi na watz kwa ujumla? Tuwe wazi maana uelewa wetu juu ya suala hili sidhani kama uko kwenye mizania sawa. Nafikiri tukibalance discussion yetu kwa kuweka wazi haya tunaweza kutoa mchango mpana zaidi kufikia conclusion ya suala
>  hili.
>
> ________________________________
>  From: Wilson Gwoma <gwoma...@yahoo.co.uk>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Wednesday, 19 December 2012, 9:09
> Subject: Re: [wanabidii] re:Tanzania sasa kujiunga na OIC?
>
> Magaidi wanajiandaa kuchukua nchi, wakristo wote tuungane kupinga jambo hili au nchi tuigawe kama sudani kusini na kaskazini.
>
> --- On Tue, 18/12/12, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> >From: Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com>
> >Subject: Re: [wanabidii] re:Tanzania sasa kujiunga na OIC?
> >To: wanabidii@googlegroups.com
> >Date: Tuesday, 18 December, 2012, 6:25
>
> >OIC kama haipingani na katiba mie sioni tatizo lakini kama hata kwa nukta inakinzana na uhuru wa mtanzania basi it can go .......
>
> >2012/12/17 Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk>
>
> >>nimesikia taarifa kutoka kwa watu ninaowbmini kuwa rais amewaita wabunge wakiislam na kuwataarifu kuwa hoja ya tz kujiunga na OIC inarudisha bungeni ktk bunge lijalo,na angetaka iungwe mkono. mtoa habari kwa kuwa anajua ninini maana ya nchi kama nchi kujiunga na jumuiya hiyo,alikuwa ni mwenye huzuni sana na yeye mwenyewe akishangaa sana kama rais anaweza fanya jambo hilo..Ni
>
> >>--
> >>Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >>nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >>Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> >>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU
>  ,1 GB RAM
> >>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> >>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> >>CALL : 0786 806028
> >>Free Delivery in Dar es salaam
>
> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >>Disclaimer:
> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >--
> >Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >
> >DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> >TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
> >
> >CALL : 0786 806028
> >Free Delivery in Dar es salaam
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
>
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment