Friday 28 December 2012

Re: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1 Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi

Mngonge, noted. Thanks.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 28 Dec 2012 21:30:55
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1
Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi

Rafiki yangu Kigwangalla usifikiri tunaoandika humu ni watu wa kulala
na kusubiri kupewa chakula kwenye sahani la asha na sisi ni
wahangaikaji kama wewe.Japo tunapenda watoto wote wa Tanzania wapate
elimu bora si watoto wetu tu. Nafikiri kati ya sababu zilizokufanya
ugombee na ukachaguliwa ni pamoja na kuwaahidi Elimu bora wapiga kura
wako wote si familia yako tu. Juhudi zako za utafutaji wafundishe
wapiga kura wako pia

Kwanza nakushukuru kwa kuwaelimisha vijana kwamba si jambo la busara
kuwa mzembe ni sharti tuchape kazi. Lakini nakushangaa kitu kimoja tu
badala ya kusema sisi yaani wewe na wapiga kura wako unasema mimi.
Hilo linanitia shaka kwamba wewe ni kama wanasiasa wengine wengi
wanagombea kwa maslahi binafsi si kwa maslahi ya wananchi hivyo wakati
wenziyo tukitafuta kwa nguvu kubwa kuliko, wewe umesubiri hayo
marupurupu ya ubunge kwenye sahani.
Kumradhi pengine wewe ni mmoja kati ya wachache sana waliogombea
ubunge kwa maslahi ya wengi na hivyo baadhi ya marupurupu unayatumia
kuwasomesha watoto wa wapiga kura wako. Nakushukuru sana kwa kuwajali
wapiga kura wako kama unafanya hivyo. Ubinafsi si jambo jema kwa
wanasiasa chipkizi kama wewe mwenye nia ya kugombea urais kupitia
chama chetu kitukufu

2012/12/28 <hkigwangalla@gmail.com>:
> Mngonge,
>
>
> Akina Kigwangalla wanasomesha watoto wao shule nzuri hata kabla hawajawa wabunge kwa sbb ni wafanyaji kazi wenye bidii na si wababaishaji. Ukisubiri serikali ikuletee pesa ili ukasomeshe vijana wako kwny shule nzuri utazeeka haujaletewa pesa. Tanzania bado ina fursa nyingi za kumwezesha mtu afanye mambo makubwa kwenye maisha yake, zitumieni mtafanikiwa. Tumieni elimu, nguvu na ujuzi wenu pia kusaidia wengine na kuchangia maendeleo ya nchi yetu kama wengine tunavyofanya. Tukifanikiwa mnasema tumebebwa, hao ndiyo typical ya vijana wasomi wa Tz ya sasa, badala ya kuiga kwa Kigwangalla, ati tunamchukia kwa kuwa amefanikiwa na tunasema amebebwa tu huyo! Wakati nahangaika naungua jua posta kariakoo kwa miguu mbona hamkusema, wakati nasoma kwa kujibana huko maulaya mbona hamkusema?
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: mngonge <mngonge@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 28 Dec 2012 18:53:57
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1
> Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
>
> Maendeleo ya taifa ni mkusanyiko wa maendeleo ya mtu au familia moja
> moja, sitegemei kama kuna haja ya kunifahamisha maisha yangu yameboeka
> kwa kiasi gani? Kwanza nani anayejua kama ninakula mlo mmoja au mitatu
> kwa siku? Kila mtu anayo nafasi ya kuliona hilo kwa ngazi yake.
>
> Wapo ambao kweli mambo yao ni mazuri na wanayo haki ya kujivunia na
> kuitangaza serikali ya CCM kama akina Kigwangala kwa sababu watoto wao
> wanasoma shule nzuri wana uwezo wa kulipia na kupata huduma bora za
> afya, kula milo sita, magari mazuri wanamiliki mali za kutosha nk.
> Watu kama hao pia sidhani kama wanahitaji kuelezwa mafanikio yao.
>
> Sababu ya kuanzisha zoezi la kuwaeleza mafanikio wananchi ni pale CCM
> inavyojua fika kwamba watanzania walio wengi kwa sababu ya kukosa
> elimu bora na ya kutosha ikiwemo umaskini uliokithiri hawawezi kujua
> kama maisha yao ni bora au la. Hawa ndiyo walengwa na hawana uwezo wa
> kutambua hilo lakini kwa wachache ambao wanaelewa na wamekwisha
> dhurika kwa rushwa, upendeleo, wizi, ufisadi, unyanganyi, uwongo na
> maovu mengine mengi hakuna jipya la kuwaeleza.
>
> Ukienda sehemu kama Kahama ambapo dhahabu zenye thamani ya mamilioni
> zinachimbwa kila kuchao ukawaeleza CCM imewafanyia mengi kama vile
> kujenga kijishule chenye thamani ya sehemu ndogo sana. Yawezekana kwa
> kutojua kwao wakakuona umefanya la maana lakini wakijua ni kiasi gani
> cha pesa CCM imevuna hapo kwao na wakalinganisha na wanachofanyiwa
> basi hapatatosha.
>
> Sidhani kama serikali ya mkoloni haikufanya lolote juu ya maendeleo ya
> watu, walifanya mengi lakini bado watu walihitaji kuwa huru na hivyo
> utawala wao ulipingwa, vivyo hivyo CCM imefanya mambo kadhaa lakini
> pia imeboronga katika mengine. Nawashauri wakiweka vipindi vyao kwenye
> TV watwambie pia ni wapi wameshindwa na pengine watwambie sababu.
> Habari ya kutueleza maisha bora yasiyojulikana ni ya namna gani huo ni
> utapeli wa kisiasa. SIKU ZOTE KIBAYA HUJITEMBEZA NA KIZURI HUJIUZA
>
> 2012/12/27 Jonson Nyakwisoma <jnyakwisoma@yahoo.com>:
>> Nafikiri kila jambo zuri lazima liwe na changamoto wapo watakaopongeza na
>> wengine watabeza lakini tukumbuke kila mwananchi anayo haki ya kupa taarifa
>> ya serikali yake imefanya nini hapo wananchi watajua ukweli wa mambo.
>>
>> Tukumbuke maendeleo hayaletwi na viongozi bali ni sisi wananchi wenyewe
>> tumeweka mikakati gani ya kuindeleza nchi yetu au ndio tunasubiri tufanyiwe
>> kila kitu.
>>
>> From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>>
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; mabadiliko
>> Tanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> Sent: Wednesday, December 19, 2012 11:17 PM
>> Subject: RE: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1
>> Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
>>
>> Ezekiel,
>>
>> Wivu maana yake nini? Suala la wivu hapa linakuja vipi? Jibu hoja, acha
>> lugha za ....... Lakini kwa nini napoteza muda wangu kulumbana na mjinga
>> kama wewe? Wewe jielekeze katika hoja usianze kunihukumu kuwa nina wivu,
>> jibu hoja, eleza mtazamo wako. Vinginevyo usinipotezee muda.
>>
>> Date: Tue, 18 Dec 2012 11:48:37 +0000
>> From: ekunyaranyara@yahoo.co.uk
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1
>> Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
>> To: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> Seleman
>>
>> Huo ni wivu kaka ngoja wenzio watangaze walichofanya, kazi sasa ibakie kwa
>> wananchi kuamua kama ni kweli au si kweli.
>>
>> K.E.M.S.
>> From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>> To: mabadiliko Tanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Sent: Tuesday, 18 December 2012, 3:25
>> Subject: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1
>> Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
>>
>>
>> Ndugu zangu,
>>
>> Jana nilikuwa mapumziko kidogo, nakapata nafasi ya kumsikiliza Waziri Lukuvi
>> katika kipindi cha kumekucha ITV. Kwa ufupi alisema kuwa Serikali ya awamu
>> ya nne imepata mafanikio makubwa sana ila wananchi hawayajui. Hivyo wameamua
>> kuja na wazo la ubunifu, kuanzia siku chache zijazo, kutakuwa na vipindi
>> maalumu kwa muda wa nusu saa ambapo Mawaziri mbalimbali watatumia muda huo
>> kueleza mafanikio yaliyopatikana kupitia TV stations zifuatazo ITV, TBC1 na
>> Star Tv. Hili ni zoezi endelevu mpaka 2015. Wazo hili ni moja ya maazimio
>> yaliyotokana na Mkutano mkuu wa CCM uliofanyika hivi karibuni. Akawaomba
>> wananchi wasikose kuangalia vipindi hivi.
>>
>> Hivi kama kuna mambo mazuri si yanaonekana tu?? mpaka myatangaze?
>>
>> Hivi wakati wananchi wanakabiliwa na changamoto lukuki kuwahubiria mafanikio
>> si kuwadhihaki? watu hawana maji, hawana makazi ya mazuri, rushwa na ufisadi
>> vimekithiri wewe unazungumza ujenzi wa barabara na majengo (wengine wanaita
>> shule, lakini sio shule, yale ni majengo. Shule ni ile inayotoa elimu na ina
>> mazingira ya kutoa elimu) ambayo hayana waalimu, hayana vitabu wala
>> maabara!!!
>>
>> Jitayarisheni kuelemishwa juu ya mafanikio ya CCM.
>>
>> Selemani
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment