Kule Bukoba watatwambia nini wakati kwa sasa mkoa wa Kagera ni wa pili kutoka mkiani kwa umaskini? Migomba unakufa kila siku serikali imelala. Watatangaza kitu gani kama mafanikio?
From: Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, December 18, 2012 2:38 PM
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1 Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Haya (kwa mtazamo wangu) ni miongoni mwa yanayosababisha CCM na serikali ichukiwe. Na Mwenyezi Mungu anisamehe inastahili kuchukiwa. Sioni sababu kama Mwakyembe amefanikisha kufungua usafiri wa reli Dar es Salaam (muujiza), alipiwe ili akatangaze! Nini? Kwa ajili ya nani? Halafu hata wakitumia mabilioni ya Shilingi kwa matangazo, kama Nanyamba kule Mtwara wanakunywa maji yenye tope, Kojani kule Pemba hakuna vyoo na uwezo wa kiuchumi unaotegemea uvuvi ni mdogo, kama eneo kubwa la nchi lina hayo Seleman anayoyaita majengo, yawe kwa mfano wa shule zisizo na walimu na vifaa, ama zahanati zisizo na wataalamu wa afya, dawa ama vifaa vya tiba, na tamka jingine lolote, ina maana gani? Mimi nadhani bado kuna haja kwa serikali kutafuta namna bora ya kuwajibika kwa umma. Wakibaki na fikra za ki-Lukuvi Lukuvi, kukimbilia matngazo yenye takwimu za kupikwa, watazomewa, hata kama hawatasikia kwa maana watakuwa kwenye runinga, lakini aibu itabaki kuwa juu yao. Ni suahuri tu, waachane na mkakati huo, wafanye kazi ili Watanzania wawapime kwa matokeo ya kazi zao. --- On Tue, 12/18/12, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:
|
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment