Thursday 6 December 2012

Re: [wanabidii] Mchumba Ake Dr Slaa Kugombea Ubunge Kawe

Topic inaanzishwa na Juma Mzuri, aliyeleta orodha ya kutunga ya majina ya viongozi wa CHADEMA matawi ya vyuo vikuu. Akadanganya. Akaumbuliwa hakurudi. Akarudi na copy and paste ya maswali ya Mwanakijiji kutoka kule JF juu ya uchangiaji fedha kwenye fundraising za M4C, leo kaibuka na hii ambayo nayo pamoja na kwamba hataki ku acknowlege ameitoa JF.

Ok, akishaanzisha Juma Mzuri mmoja wa wachangiaji wa mwanzo kabisa anakuwa ni Antony, halafu eti Antony kada, kwanza anaunga mkono tetesi, anafikia hitimisho, kama alivyofanya siku ile ya majina ya uongo ya viongozi wa matawi ya vyuo vikuu, kisha eti anasema anasikitika juu ya infightings kwenye chama hicho.

Infightings zipi? Tangu lini tetesi zikatumika kuhitimisha hoja?! Kwa wale wanaojua hoja hii nyingine mfu ikiwa ndiyo kazi za sekretarieti mpya mitandaoni, kule JF ilianzishwa na watu wawili, alianza Tuntemeke, kisha akafuatia Ritz, leo kaibeba 'mwenzao' aitwaye Juma Mzuri, kisha akarukia Antony...nasikitika kuwa na pot kama huyu hasa. Aibu!

Sent from my iPad

On Dec 6, 2012, at 7:31 PM, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:

Joe,

Duuh, huo unafiki sio Ikolo?

Haya mzee wangu!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Date: Thu, 6 Dec 2012 17:07:23 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Mchumba Ake Dr Slaa Kugombea Ubunge Kawe

TonnyP huwezi kuficha unafiki wako

On Thu, Dec 6, 2012 at 4:43 PM, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
Juma,

Ina maana Halima Mdee naye anatemwa kwenye chain ya nduguz tuliyoisikia juzi?

Mie nitasikitika sana kama imeanza infighting ndani ya chama hicho!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

-----Original Message-----
From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 6 Dec 2012 04:59:21
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Mchumba Ake Dr Slaa Kugombea Ubunge Kawe

Nimepata tetesi etu mchumba ake dr slaa bi josephine anatarajia
kugombea ubunge jimbo la kawe mwaka 2015 hii ni habari njema kwa
wapenda demekrasia na wanawake wote kwa ujumla .

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment