Matinyi,
Nadhani kwa kiswahili sanifu hatusemi ng'ombe hii na uwingi ukawa ng'ombe hizi.
Tunasema ng'ombe huyu na uwingi ng'ombe hawa.
Hivyo ki-ngeli, nadhani si sahihi kusema kwamba Wakurya "walipenda kuangalia ng'ombe zao" bali "ng'ombe wao".
Kama vile Mbuzi huyu, kuku huyu, nguruwe huyu na uwingi unakuwa ... hawa, na siyo hizi.
Date: Thu, 13 Dec 2012 10:54:34 +0000
From: khildegarda@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Waswahili husema-'Nyani haoni kundule'' Kama mkuu wa wilaya kaacha maeneo wilaya si zina kamati za kumshauri? labda wameona huko mapambano ndio yameanza ya wizi wa mifugo na vinginevyo hakupitiki kwa usalama wa kamati kaona wakuache kupoe. Anayetukana kinyume na maadili ndiye tu si pumba ubongo bali mpira uliojaa upepeo kichwani. Wajichorao si wale wenye kucheza utupu majukwaani hata wale watukanao hovyo au kutoa lugha chafu siziso maadili-Mtu mzima hovyo. Hao ndio wanaonyesha pumba na ubongo wao ulivyo na tope na wakiwa viongozi si wepesi kupokea mawazo ya watu mbali mbali huwa dictators. Pengine mtu hakusoma email zote kuona hiyo katiba amesoma kichwa cha habari akaona -kata hazitotoa maoni' akaona labda wamekataa. Kupayuka na lugha chafu inasaidia nini katika karne ya demokrasia na ya kujifunza kutoka kwa wengine hata wenye mawazo usiyo yapenda? Mwenye ila yake haachi !! Hongera kwa matusi-ubarikiwe.Kristmas njema.Nimekaa mara hakuna kijiji nisichofika-ninawaelewa. --- On Thu, 13/12/12, Chacha Mairi <chachamairi@gmail.com> wrote:
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment