Tuesday 4 September 2012

[wanabidii] Re:Taarifa kwa jamii

kuna taarifa kuwa kuna mazoezi ya judo na mafunzo ya kutengeneza mabomu ya petrol yamekuwa yakiendelea ktk mingi ya misikiti hapa nchini. Lengo kuu ni kujiandaa kwa mapambano ya kuondoa kinachoitwa mfumo kristo hapa nchini. Binafsi nimezifanyia kazi taarifa hizi na nimejihakikishia kuwa ni za kweli. Naomba kwa taarifa hii myafanyie uchunguzi haya na kuyadhibiti,kwani sidhani kama mtakuwa na udhuru kuwa hamkujua tutapokutana the Hague.Mbaya zaidi,ktk mchezo huu mchafu,hata baadhi ya watu wenye dhamana ya kuchukua hatua,wanayajua haya lkn wameamua kunyamaza kimya.Ngupula Godfrey



------------------------------
On Tue, Sep 4, 2012 5:21 PM EEST Hildegarda Kiwasila wrote:

>Pamoja na maoni yako mazuri Yona lakini kwa Mtanzania-maneno ya Mbunge wa Wawi ZNZ kasema kweli-
>'Tuna virusi vya ubongo vya tazamo finyu na mtindio wa kinamna!!' Tuna matatizo.

>Kama kweli tunaweza kuona kufanya biashara na nchi zilizowekewa vikwazo ni makosa-nchi yetu mojawapo ktk Muungano wetu ingepeperusha bendera yetu ktk meli za Iran na issue hii iliposemwa wakaanza kupinga kumbe kweli (Nchi imefanya hivi kwa uhuru wake).Ina maana nchi hiyo haina maofisa waliosomea Sheria za biashara na mataifa ya kigeni; mabalozi wajuao mahusiano na matakwa ya UN, wachumi na watu wa sheria za makampuni na uwekezaji?

>JKama hatuna virusi asemavyo Mbunge wa WAWI ZNZ- Jee, wafanya biashara kwa kutumia sera ya baishara ya sasa wangekwenda nchi za nje na kuleta bulb na vifaa vingine skepa vya umeme ambavyo vinakuja kufanya milipuko ya umeme majumbani?

>Au, je watumishi wa umma na wafanyakazi wa tanesco wangediriki kuunganishia watu umeme kutoka gridi za serikali na kufanya meter za LUKU zisile umeme watumie bure na wanaunganishia hivyo mpaka foreigners na makampuni yao na majumba yao makubwa?

>Wenye viwanda wangenunua chuma chakavu na anaona huu ni mfuniko wa sewer line, taruma la reli na kuweka hali mbaya ktk mashirika na ya mashimo mjini ya kuathiri watu na magari? Mbongo na kirusi chake haonei huruma kwa nchiye.

>Jee wale ambao wanakaribisha wageni na kuwapa ardhi na kuwaozesha huku wakinyanyaswa wao na wageni wao wangeendelea hivyo daima ktk ardhi yao kisha wanahitaji msaada wa polisi kumuondoa mgeni walio mwingiza wenyewe. Huku tunachinjana wenyewe twanunua silaha toka nchi jirani kwa madebe ya mahindi tunaingia nyumba hadi nyumba vijijini na kuwabaraza, kuiba na kuumiwa ndugu zetu. Bado na hiyo silaha ya polisi inapobarasa watu polisi wanapotupiwa mawe na mishale na binadamu mbongo  kutumia visingisio vya maandamano kupora maduka na kuvunja magari ya watu wasio na hatia.

>Uhuru wa kufanya biashara na kuwa na makampuni ya kuzoa takataka kwa mfano, uhuru wa makampuni binafsi ya wabongo kununua mazao kwa niaba ya serikali yakiwa yanapewa mikopo; kuchukua mkopo ili kuuzia wanavijiji madawa ya mifugo, ya mazao na kuwauzia mbegu na mbolea-imekuwa nogwa. Dawa na mbegu zanunuliwa zilizo-expire viwandani aua mavitu ya kutupa yananunuliwa kwa bei rahisi nje na kuingizwa kuuzia wakulima na wafugaji wanyonge ambao kuingizwa umasikini zaidi.

>Wanatumia nafasi ya sera ya PPP na private sector participation na mikopo wapewayo kununua inputs fake na kutesa watu wa nchi yao. Private sekta inatesa mkulima na mfugaji, public sekta inachakachua hela na makusanyo ya kodi mbali mbali wadhulumiwa kubaki kutafuta njia nyingine za mkato na kuumia zaidi.

>Kampuni ya ulinzi inalipwa laki 3.5 kwa mlinzi mmoja kwa mwezi mlinzi analipwa 80,000/= kwa mwezi au pungufu ya hapo tena anazipata ndo ndo ndo sio kwa mpigo matokeo yake anaunda mchezo wa wizi katika lindo anatimka.

>Ikishindikana kurusha bendera ya Bongoland ktk chombo cha kigeni na kufanya biashara na nchi zenye vikwazo vya kimataifa, tutaandikisha kampuni zitakuwa za kidini na tutaandikisha kuwa tunapeleka misaada huko kumbe ni biashara. Hata wao waumini wao wengine hizo nchi kubwa Ulaya wajao makwetu huku au kwenda maeneo ya vita huenda kwa ujanja ujanya kusaidia kidini au kama RED CROSS and Crescent lakini ni Chui ndani ya kondoo.Au hutumia haki za binadamu misaada na kupeleka silaha (Syria, Congo, Libya) ambazo zinadhihirika kwa vita zinazoendelea, waasi kupata silaha za kisasa bila ya kufahamu zilifikaje. Ila wao hawashitakiwi (under haki za binadamu). Na vita ikiisha anapelekwa the Hague kushitakiwa Raisi au kiongozi wa vita sio wa waasi ambao wao wamempa Silaha. Watuonee tu. 

>Anyway, Tanzania-Mbinu za uhalifu, majungu na mitazamo mgano, janja janja tunazo nyingi lakini za maendeleo, ukweli, haki na upendo kamilifu kwa nchi yetu, jamii yetu, wazazi na watoto wetu ktk haki sawa ni chache. Tayari Wambulu na Wamasai wanauana Kilindi Tanga wiki hii kwa marungu na mikuki (magazeti ya jana kuna vita huko).Hapa polisi wa kuzuia maandamano na kuua watu hakuna ila ni mpambano na mauaji yetu wenyewe wote wakiwa wahamiaji toka Mbulumbulu na Simanjiro kuhamia Kilindi na mmoja kulishia mifugo ktk shamba ya mwenzake kama kumkomoa.

>
>________________________________
>From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Tuesday, 4 September 2012, 13:44
>Subject: [wanabidii] TAHADHARI : KUFANYA BIASHARA NA NCHI ZENYE VIKWAZO
>
>Ndugu zangu
>
>Kumetokea wafanyabiashara toka nchi mbalimbali zilizowekewa vikwazo
>mbalimbali na umoja wa mataifa kutaka kufanya biashara na baadhi ya
>raia wa watanzania kwa sharti la kutumika kwa bendera ya Tanzania
>katika biashara hizo , biashara zenyewe ni kati ya Tanzania na nchi
>hizo .
>
>Kwakuwa nchi hizi zimewekewa vikwazo sasa zinatumia wananchi wao
>kutafuta masoko na fursa nyingine nje ya mipaka yao kinyume na sheria
>za kimataifa na mikataba mingine ya kimataifa inayohusiana na
>biashara .
>
>Ni vizuri watanzania wawe makini na mitego hii maana hata wao wenyewe
>binafsi wafanyabiashara wanaweza kuwekewa vikwazo au hata mali zao
>kushikiliwa na mbaya zaidi ni nchi yetu kuingia kwenye matatizo na
>mataifa mengine tunayoshirikiana nayo kwa njia moja au nyingine .
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment