Makene,
Asante kwa darasa lako kama kweli kutoka moyoni mwako unaamini hivyo na una nia njema ya kutaka nasie tuamini hivyo.
Walewale.
From: makene tumaini <makene_84@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, September 23, 2012 12:25 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Godfrey Ngupula Nafikiri ni vyema tu ukajenga hoja zako vizuri bila kutukana upande wa pili na kuonekana unataka tu kutetea upande mwingine. Ninavyosoma hoja zako nashindwa kuona tofauti yako na wale wengine unaowapinga. Wote mnakuwa na hoja zile zile, mnatofautiana tu mahali pa kusimamia (forums). Nikichangia tena hapa nitakuonesha mahali ambapo hapakutofautishi na hao unaoonekana kuwapinga. Nilishawahi kuandika hapa, kuwa na dini na tofauti sana na kuwa mdini. Tuweni na dini zetu tu, lakini udini hakuna mtu atanufaika nao, asilani. Mwenye dini atatetea haki na utu wa mwanadamu...mwanadamu yeyote, awe ana dini asiwe na dini. Awe anaswali/sali naye pamoja au la! Mlio wadini endeleeni. Tulio na dini tutaendelea kuwapigania hata ninyi, maana tunaamini matatizo tuliyonayo hayatubagui katika kutumaliza kama ambavyo sisi tunataka kubaguana. Matatizo ya nchi hii hayasababishwa na dini yoyote, let alone mfumo. Kiongozi mbovu au fisadi haina uhusiano na dini yoyote. Hakuna mtu ataweza kuongoza nchi (au chama chochote) kwa kufikiri kuwa kinaweza kuwabagua Watanzania wa dini fulani. Tunashukuru kuwa hicho chama wanachokiita cha cha kususa na kuandamana, kimeendelea kuwatetea Watanzania wote, wakiwemo hao hao wanaokizushia na kukisemea uongo, kwa kupanga, kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Wanaopenda kusoma, jaribuni kusoma mara kwa mara utangulizi wa hotuba ya Malcom X, The ballot or the bullet. --- On Sat, 9/22/12, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment