Sunday 23 September 2012

Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA

Mada hii tulishaijadili, imerudije tena?

--- On Sun, 9/23/12, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, September 23, 2012, 12:13 AM

Ubariiwe, thanks. Inaelimisha. Ichape hii taarifa yako kwenye gazeti.
 
Watu wanakosa Self-efficacy ya kuona wanaweza kufanya kitu kwa maendeleo yao, kujituma sio tu kikazi na darasani-kujifanyia vyao wenyewe badala ya kulaumu wengine.
Waafrika wakiwa ulaya wanafanyakazi ya kuosha vyombo, kudeki, kutembeza barua, kuendesha taxi usiku mzima, anapika na kujioshea vyombo mwenye-akirudi bongo hata sahani hawezi kuondoa mezani akapeleka jikoni na kuleta mabadiliko katika familia na ukoo wake. Ukiwabebea bango wazembe ndani ya familia-kuna kitu kibaya cha uafrika wetu wanaanza kukuona 'mnoko'.Mnarudi nyuma. Nani anazua madrasa isiwe na shule ya chekechea au msikiti/kanisa isiwe na shule ya mzingi, makao makuu ya dini yasiwe na sendondari au university moja kwa nchi? Au-isijenge Referral Hospital kwa mchango kutoka Oman au roma-England? Vile vyakula vya kulisha maelfu Iftah, Krismas vingenunua madawati, vitabu, vitanda vingapi vya zahanati kwa dhehebu hilo. Wala leo waenda chooni leu kukitoa lakini desk, kitabu, kitanda cha wagonjwa hudumu miaka. Tujichungue matendo yetu. Gharama ya matangazo ya 'Dume' na michezo yao na yale ya kisiasa ya maandamano nchi nzima na na mapigano vi shule ngapi bora huko porini zingejengwa ukaongeza sifa ya chama chako. Kuchangia shule ya kata iwe bora hatutoi ila ya kulisha watu kisiasa posho watembee nukta moja zinatoka mamilioni. Huwa tunajihoji? Why lawama kwa Rais daima?
 
Bado huyo anayeoza kichanga apate mifugo alimbikize tu na anayehamia misitu na mbuga za hifadhi kukata miti, anayechimba mchanga mpaka kung'oa milingoti ya daraja, usimwambie-atakupiga panga. Akitoka hapo angalia atafanya nini-kaongeza mke, pombe za misifa. Lakini huyo ana lawama kichizi na jirani akijitahidi yeye ndio wakwanza kuiba na kuvuna. Hawezi kuiga kitu hata ukimpa mfano hata ukimuwezesha. Ukifuatilia vikundi vilivyowezeshwa, waliosomeshwa kwa kuhisaniwa waliowengi hawaoni ile nafasi kuwa ya pekee wajitahidi waongoke. Hichi kidudu cha lawama tu, kutokujituma kama hao wahiti Ulaya waliopelekwa na Muingereza walisaga lami, kuendesha train na town buses, kufagia barabara etc sasa ni matajiri. Sisi ufisadi tu na kusingizia viongozi na bado tutawapigia kura  hao wa makabila yetu tuwaitao mafisadi na kuwalaumu. Tutahusika na mikataba mibaya ya wawekezaji, kuchukua leseni za madini maofisini kwetu kujipa wenyewe, kusafirisha visichana badala ya kuvisomesha kuvipeleka Oman kuolewa na mizee kutafuta utajiri, kutozipa shule na health services tuanzishazo au tupewazo ziwe katika top 5 au 10. Wanaohusika na elimu ya shule, vyuo na elimu jamii wanasoma pia mitandao hii, tunahitaji mabadiliko ili tupate mental and cultural revolution ya kutuwezesha kujituma kama wenzetu badala ya kutumia visingizio vya kuonewa toka ulimwengu uanze.
Ahsante Mkinga. watanzania tubadilike.
 

From: Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 23 September 2012, 9:29
Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA

Umaskini ni jambo baya sana, ni mbaya zaidi kama umaskini ukampata aliyekosa hekima. Maskini aliyekosa hekima siku zote hufikiria kuwa umaskini wake umesababishwa na mtu mwingine, na mara nyingi hufikiria umesababishwa na aliye na uafadhali (Nimekuwa maskini kwa sababu wewe ni tajiri). Umaskini uliokosa hekima huondoa utashi wa kuchanganua na kuchambua matendo yako binafsi yanayokufanya uwe maskini.
 
Ni umaskini huu wa kukosa hekima, ndiyo maana hata baadhi ya viongozi wetu wengi wanaamini watanzania tumekuwa maskini kwa sababu ya wageni; kwa sababu ya wazungu na waarabu (ukoloni na utumwa au biashara isiyo na uwiano), IMF, World Bank, n.k. Fikra hizi ndiyo zinashuka kutoka Taifani mpaka kwenye makundi ya kijamii yaani makundi ya kiimani kama dini, kikabila, n.k. Baadhi ya waislam wanaamini umaskini wao umesababishwa na wakristo, na baadhi ya wakristo wanaamini kuwa utajiri wa baadhi ya waislam umesababishwa na utawala wa Viongozi waislam (Ali Hassan Mwinyi na Kikwete), na kuna watu wanaamini kuwa makabila fulani kama wachaga na Wahaya wamekuwa na maisha bora zaidi kwa sababu ya makabila yao, n.k. Yote ukiyaweka pamoja ni matunda ya kuamini kuwa umaskini au dhiki ni lazima viwe vimesababishwa na mtu mwingine na wala siyo mazao ya matendo yako.
 
Kama ni kutawaliwa, mbona mataifa karibu yote Duniani, wakati fulani yalikuwa makoloni? Baadhi ya mataifa koloni mbona yamekuwa na maisha bora kuliko wakoloni wao? Kama umaskini unasababishwa na dini ya kiongozi mkuu, inawezekanaje leo hii katika baadhi ya Mataifa kama Uingereza kuna matajiri wakubwa ambao siyo wakristo (waislam na Wahindi) licha ya kwamba uongozi wa nchi hiyo miaka yote umeshikwa na wakristo tu tena katika ngazi zote? Leo hii hata wakati wa machafuko, waarabu wanakimbilia ulaya, kwenye mataifa ambayo yanaongozwa na wakristo, na wananchi wake wengi ni wakristo, mbona hawaji huku kwetu ambako tuna jamii kubwa ya kiislam?
 
Tujiulize mifano midogo, Chuo kile Kikuu cha Morogoro, walipewa Bakwata bure, wanafunzi wanaoenda pale wanapata mikopo ya serikali kama vyuo vingine - je maendeleo yake yapoje kikilinganishwa na vyuo kama Tumaini ambao walianza bila ya kupewa hata jengo moja na serikali, na wanafunzi wake wakiwa hawapati mikopo ya serikali?
 
Ushauri wangu kwa watanzania, katika matatizo yetu, tunapofanya tathmini tujiangalie wenyewe kwanza kabla ya kufikiria kuwa matatizo yetu yanasababishwa na mtu mwingine. Mtu anapodai wakristo wanapendelewa, ni lazima achanganue wanapendelewa katika nini. Kama ni hospitali na shule za kanisa, wakristo, waislam na wasio na dini mkienda katika hospitali na shule hizo mnapata huduma sawa, mnalipia sawa (tena kwa upande wa wakristo wakati mwingine kuna michango makanisani ya kuzianzisha na kuzitegemeza taasisi hizo). Kama kuna kitu ambacho mkristo anapata, zaidi nadhani ni moral satisfaction (kusema hii ni shule au hospitali ya kanisa letu).
 
Waislam wanaongelea mgawanyo wa nafasi za uongozi serikalini, lakini tujiulize hizo nafasi zipo ngapi, na wakristo wapo wangapi kiasi cha kuwafaidisha wakristo? Leo hii mawaziri wapo karibu 50, wakati watanzania tupo karibu milioni 45. Hata kama nafasi hizo wangepewa zote waislam au wakristo, je zitabadilisha tatizo la ajira kwa kundi fulani? Malalamiko ya upendeleo wa uongozi yangekuwa na mantiki kama endapo mawaziri hao wa dini fulani wanafanya kazi kwa manufaa ya dini yao. Na kwenye hili, kama kuna mtu ana taarifa za dini fulani kupendelewa au kubaguliwa katika huduma fulani kutokana na dini yake, basi taarifa ziwekwe wazi kuliko kuwa na maneno ya jumla jumla ya kuokoteza (sweeping statements).
 
Kwangu mimi kwenye maneno haya ya kuchochea mauaji ya kidini ni makosa ya jinai, wahusika wanastahili kukamatwa na kuhukumiwa kwa kadiri ya sheria za nchi, hilo lisipofanyika ni kutokana na ulegelege wa seriikali. Siamini kuwa hao wanaojiita viongozi wa dini ya kiislam wanaochochea ubaguzi wanafanya hivyo kuwawakilisha waislam wote. Tumesikia juzi kauli ya Mufti Mkuu kuhusu Ponda, nae anataka serikali imchukulie hatua Ponda, naye haridhishwi  na serikali kuona Ponda analelewa. Kauli ya mfitini mmoja au wawili waislam isichukuliwe ni kauli ya waislam wote.
 
Na katika hili la serikali kushindwa kuchukua hatua lisichukuliwe kiujumla kuwa halifanyiki kwa kuwa Rais au IGP ni muislam, bali ni udhaifu wa kiutendaji wa hii serikali yetu. Hata katika masuala mengine yasiyohusiana na dini kama EPA, Meremeta, Tangold, n.k. serikali yetu imechukua hatua gani? Mimi nauona kuwa ni udhaifu wa serikali katika kuchukua maamuzi magumu inapohitajika kuliko udini wa wenye mamlaka.
 
 
Bart

From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, September 23, 2012 7:08 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA

Maskini Chamani sijui Walewale,
 
Ondoa ujinga kwanza. Utakuponza.

From: "matinyi@hotmail.com" <matinyi@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com; "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, September 22, 2012 8:52 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA

Jamani acheni kutukanana. Sisi wote ni maskini wa kutupwa ndani ya Tanzania. Tuijenge nchi yetu. Umaskini ama ujinga dawa yake ni kuung'oa na siyo kugombana wenyewe.
Matinyi.



T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "amour chamani" <abachamani@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
Date: Sat, Sep 22, 2012 12:49 pm


Ngupala,
Hebu jenga hoja ya maana wacha kutukana haitawasaidia hata kidogo.Dawa ya haya mambo ni kuacha dhulma mliyoifanya kwa miaka yote tangu na baada ya uhuru.Hiyo mifano ya Sadam na Gadaf inahusiana vipi na hili la hapa?
Wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa hiyo dogma yenu ya kanisani kwa nini mnaitumia katika maisha yenu ya kila siku.
Kama unajua mifano sema kanisa lilichokifanya Rwanda au ndicho mnacho taka kutufanyia sisi?
Hayo hamuwezi kwani sisi mbali ya huo ujinga na wingi wetu kama wa kuku HATUNA CHA KUPOTEZA.
TUKO CHALI HATUOGOPI KUANGUKA.
Ole wenu ninyi mafisadi,watawala,wasomi(educated fools) nk.
Hii nchi ni yetu wote acheni kiburi cha mfumo kristo.



Walewale.



________________________________
From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, September 22, 2012 7:02 PM
Subject: RE: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA



Ndugu Muhingo,naafikiana nawe mia kwa mia. Hawa jamaa ni lazima waelewe kuwa hakuna njia ya mkato.Kama wanaƶa wanaonewa,wajifunge mkanda,wajipange kupitia njia ile ile wenzao wamepitia.Martin Luther king aliwaambia wamerekani weusi,kama mkitaka kujikomboa,basi mwenye uwezo wa kuimba na aimbe,na mwenye uwezo wa kupigana,na apigane na mwenye kusoma na asome.Ndio matunda yake leo hii hata wanaonekana na kushika nafasi za juu serikani. Mtu anayedhani anaweza fanya lolote kwa vita au vurugu,cha muhimu ajiulize atakimbilia wapi asipopatikana? Zanzibar walipokuwa na vurugu walikimbilia Uk.Mbona hawakwenda Bubai? Elimu ya mjinga ni majungu na dawa ya mpumbavu ni upumbavu.Kupanga ni kuchagua.Lakini na ikumbukwe kila amwagae damu,naye damu yake huyo itamwagwa. Wako wapi akina Osama,Saddamu na Gadaffi?.Tunajua wanajifunza judo misikitini,pia kutengeneza mabomu ya petrol nk.Lakini hawatafanikiwa....Ngupula


------------------------------
On Sat, Sep 22, 2012 11:09 AM EEST ELISA MUHINGO wrote:

>Wewe unaamini kuwa Serikali inatoa mabilioni hayo kuimarisha ukristo? Ipo Serikali ya Namna hiyo?
>Kama serikali itatoa fedha kwa hospitali za missioni kwa sababu zinatoa huduma wala si biashara huko ni kuimarisha ukristo? Kuna hospitali yoyote inayotoa huduma kama hizo inayonyimwa ruzuku kwa sababu siyo ya kikriso? Kwanza hospitali hizo zinaendeshwa na makanisa tu lakini ni za wagonjwa bila kujali ni wa imani gani. Tunaziona za Agakhan. ni commecial/bussiness as usual.. Ni hospitali za wagonjwa tatajili. Mvumi ya Dodoma au Kilimatinde ni za wagonjwa wote. ndiyo maana serikali huzipa ruzuku.

>Tusiwe wapumbavu kama ndugu zetu hawa ila tujaribu kuona namna gani tutakwenda nao. Wanakoelekea wanaweza kuleta sokomoko. Kama wakikubaliana kuwa uislamu ni kuua na kuuawa itakuwa balaa kwa sababu ipo siku watalaumu kuwa jua halijawaka sana kwenye maeneo yao
>
>--- On Fri, 9/21/12, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:
>
>
>From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>Subject: RE: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Friday, September 21, 2012, 11:18 PM
>
>
>
>Basi kama yanayosemwa ni kweli,nani anayepaswa kuwajibishwa hapa?mtoaji au mpokeaji?Nani tulimpa dhamana ya kulinda rasmali zetu?....ccm ndio iliyoshika dola,si waache tu kutoa?
>
>Long time ago nilikuwa nafikiri ni baadhi tu ya watu fulani wasio na uelewa mzuri ndio wanaoendekeza hizi chuki zisizo na ukweli wowote.Now am almost convinced that some religion beliefs are like cancer.They eat every one regardless of his understand. Regards,Godfrey Ngupula
>
>------------------------------
>On Sat, Sep 22, 2012 07:34 EEST MikiDadi Waziri wrote:
>
>>Bwana Mbegu
>>Hayo yanayosemwa yote ni yakweli, Ndio maana hakuna mtu yeyote mwenye
>>kukanusha..
>>On Sep 21, 2012 8:52 PM, "Edgar Mbegu" <embegu@hotmail.com> wrote:
>>
>>  Nape yuko wapi kujibu shutuma? Serikali ya CCM inaongozwa na Maaskofu;
>> Serikali ya CCM inawapendelea Wakristo kwa kuwapa mabilioni... Serikali
>> haifai hii kumbe!
>> Kamati ya Ulinzi na Usalama wapo? Hawa watu si wanatangaza vita kama ile
>> ya Rwanda? IGP yupo? Hawa watu si wanapanga kuvuruga maandamano ya CHADEMA
>> kwa kutangaza kutoka kupambana nao? Hao watu walipewa kibali cha kufanya
>> mkutano wa kidini au wa kisiasa au wa uchochezi?
>>
>> > Date: Fri, 21 Sep 2012 20:31:38 +0300
>> > Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
>> > From: mngonge@gmail.com
>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> > Inteligensia ilikuwepo na ipo, tatizo mitambo yao iko insensitive na
>> > mambo kama hayo na hivyo hayasomeki vizuri kwenye mitambo yao. Wala
>> > hawana sababu ya kurekebisha mitambo kwa vile yaliyo ya msingi kwao
>> > yanasomeka. Nafikiri yanayosomeka kwao mwayajua
>> >
>> > 2012/9/21 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>:
>> > >
>> > > frmapunda,si wewe tu unayeumia.Wakristo wengi wanaumia sana kwa vituko
>> vya waislamu na ukimya wa serikali.Kwa mtazamo wangu kwa hali hii naona ni
>> hatari sana kwa Tanzania kuongozwa na raisi muislam kwani hawa jamaa kama
>> ambavyo hawaamiki kumiliki hata bunduki kwa jamii ya kimataifa,hawaamiki
>> hata kidogo kushika dhamana ya juu ya uongozi kama raisi.Tumeona hivyo
>> kipindi cha Mwinyi na sasa Jk pia. Kuishi na jamii ya watu hawa inahidi
>> umakini na ukali wa hali juu na sio kuwachekeachekea tu.Wakristo wanapoamua
>> kuzaa na kuoa kwa mpango ili kutoa malezi bora kwa watoto wao,wao wamepanga
>> kuzaliana kwa ustaarabu wa kuku,hao wakristo wakipanda hizo baiskeli,wao
>> kinawauma nini? Mimi binafsi ninawashauri sana,wabadikike kama ulimwengu
>> ulivyobadilika,wapange uzazi wa mpango na watafute maisha bora kwa watoto
>> wao,waache majungu.
>> > >
>> > > Fr,huku mwanza kuna radio kwa neema,imewafungua watu kuhusu haya
>> yanayotokea na kanda ya ziwa we are very aware. Jamii ya kikristo iko
>> makini sana na ina mipango madhubuti sana ktk chaguzi zijazo.maombi pia
>> yanaendelea na umakini wa hali ya juu unachukuliwa.Hakika,wanazaa watoto
>> kama kuku kwa lengo la kuijaza tz wjtafanikiwa lak4ni ni ktk magereza na
>> magereji.Maisha bora kwa mtanzania yataletwa na mtazania mwenyewe. Wahutu
>> waliwaua watusti,leo hali ikoje huko burundi?anayetawala ni nani?wahutu au
>> watusti?.vipaji akili na hekima ni tunda la kumcha Mungu wa kweli.Mungu wa
>> vurugu hakika yake,hatafanikiwa Tanzania.Regards,Godfrey Ngupula
>> > >
>> > > ------------------------------
>> > > On Fri, Sep 21, 2012 4:40 PM EEST frmapunda91@gmail.com wrote:
>> > >
>> > >On Monday, March 28, 2011 6:21:21 AM UTC-7, Henry Kaisi wrote:
>> > > Wakati habari juu ya babu huko Loliondo zinapumzika kidogo, naomba
>> niwape na haya niliyoyasikia kwa masikio yangu kutoka redio Imani. Hii ni
>> redio ya Waislamu ambayo inatangaza kutokea mkoa wa Morogoro. Sijui kama
>> husikika nchi nzima au la. Hapa kwetu Arusha kulikuwa na kongamano kubwa la
>> Waislamu wa madhehebu yote, jana Jpili na lilianza tangu asubuhi hadi
>> jioni. Walikuwepo watoa mada mbalimbali, lakini mimi nilifanikiwa kumsikia
>> mmoja, pamoja na immamu wa mkoa aliyetoa maazimio ya kongamano.Bila shaka
>> magazeti yataripoti vizuri. Nimesukumwa kuandika tena kwa urefu kwani
>> nilisikitika sana kusikia maneno ambayo sikuwahi kuyasikia tangu nizaliwe
>> yakiongelewa hadharani ndani ya nchi yangu. Nakumbuka nilisoma maazimio ya
>> Mwanza, lakini hii imenistua sana. Kama tunamwomba Mungu basi tuongeze
>> nguvu, kama hatuombi basi tuanze. Kwa mtindo huu, ninawasiwasi na amani ya
>> Tanzania ambayo tumejivunia miaka hamsini sasa. Mliopata neema ya kupata
>> nafasi za juu
>> > > serikalini, sijui serikali inayaonaje mambo haya. Hayajaanza leo, ila
>> imeyaachia yaendelee. Makanisa yanazidi kuchomwa, hakuna msikiti uliwahi
>> kuchomwa kama sijakosea. Wakristo wanavamiwa na kupigwa, hakuna mhadhara wa
>> Waislamu uliwahi kuvamiwa. Redio Imani na magazeti ya Kiislamu (mfano
>> Al-alnuur) yanazidi kumwaga sumu ya udini, na ubaguzi, na chuki, lakini
>> sijawahi kusikia vyombo hivi vikikemewa. Huu, ukimya wa serikali na vyombo
>> vyake, sijui maana yake ni nini? Sumu hii ikiishapandwa kuing'oa ni kazi.
>> Jamaa hawa walifanya mambo yao sirini tangu enzi za Mwinyi, na sasa,
>> wameamua kuyaweka wazi na kuhamasisha Watanzania waziwazi tuuane. Haiingii
>> akilini mwangu. Je, viongozi wetu wa dini wanazo taaarifa za kutosha kuhusu
>> mambo haya? Wanachukua hatua gani? Je, sisi tuchukue hatua gani? Shehe
>> Ilunga Hassan ndiye niliyeweza kumsikia. Ameongea mambo mengi, lakini yote
>> ni ya kupandikiza chuki ndani ya Watanzania. Ameanza kwa kutoa pongezi kwa
>> kile Waislamu
>> > > walichokifanya huko Mto wa mbu (Arusha) kwa kuwapiga wachungaji, na
>> kuwajeruhi, nk. Amesisitiza kuwa Tanzania inaongozwa na mfumo Kristo. Na
>> sasa umefika wakati mfumo huo uondolewe na hiyo ndiyo itakuwa pona ya
>> Waislamu. Serikali inaongozwa na maaskofu. Wao ndiyo wanaweza kumwambia
>> rais tunataka hiki au la. Amesisitiza kuwa amani tunayoiona TZ ipo kwa
>> gharama ya Waislamu. Umefika wakati Waislamu waseme basi kwa mfumo Kristo
>> ili na Wakristo wabebe gharama ya amani hii. Ametoa takwimu kuwa mwaka 1992
>> Serikali iliingia mkataba na Wakristo, na tangu hapo imekuwa ikitoa fedha
>> za kuwaendeleza wao huko Waislamu wakibaki nyuma. Kwa mfano, mwaka 2009,
>> serikali imetoa bilioni 45, mwaka 2010 bilioni 54, na mwaka huu kwa miezi
>> miwili hii na siku imekwisha toa bilioni 611, zote hizi zikiwa ni
>> kuwaendeleza Wakristo. Wakati serikali ikifanya hayo yote, Waislamu
>> wameachwa nyuma na watoto wao wamezidi kuwa wamachinga huku watoto wa
>> Wakristo wakiendesha baiskeli za
>> > > kizungu na kufurahia beach. Amesema ifike mahali Waislamu waamue kama
>> walivyofanya Wahutu dhidi ya Watutsi. Ati Kikwete hawezi kuongoza nchi bila
>> maaskofu, maana kila analotaka kufanya lazima awaone. Amesema kuwa Chama
>> cha kususa na maandamano kipo tu kwa ajili ya maslahi ya Wakristo. Waislamu
>> wanadanganywa wakidhani hicho chama kipo kuwatetea WaTz kumbe kipo kwa
>> ajili ya Wakristo. Makafiri wanasaidiana wao kwa wao hivyo waislamu waamke,
>> waungane hili kuuondoa m

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment