Wednesday 5 September 2012

Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...

Mjengwa kwenda kinyume na maazimio ya wanahabari wenzako ni usaliti wa hali ya juu. Kama ulikuwa na hoja ya msingi ulistahili kuijenga hoja hiyo kwenye kikao cha maamuzi na kuweza kuwashawishi wanahabari wenzako juu ya kila unachokiona kuwa ni sahihi; namna nyingine yeyote kwa maelezo yoyote yale, hakuna maelezo mazuri zaidi kuwa utakuwa ni msaliti wa wanahabari wenzako.
 
Siku zote ni Umoja unaoleta mabadiliko.
 
Nakubaliana na Matinyi kuwa mgomo ni lazima ukuumize wewe kwanza kabla ya kumwumiza unayemgomea, na ndipo mafanikio yapatikane. Mjengwa hujanishawishi bado kuweza kuamini kuwa uamuzi wako wewe mmoja ni wa busara kuliko uamuzi wa wanahabari wenzako wote kwa pamoja.
 
Bart
 
From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, September 6, 2012 8:49 AM
Subject: RE: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...
Mgomo una sifa moja, kwamba yule anayegoma ni lazima aumie kwa upande fulani lakini mwisho wa siku anakipata kile anachokitaka. 
Date: Wed, 5 Sep 2012 22:38:24 -0700From: ansbertn@yahoo.comSubject: Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...To: wanabidii@googlegroups.com

Mjengwa,

Wasikilize kwanza waandishi wenzio, si polisi. Usiwavunje moyo, an usiwe mgumu kuguswa na hili linalotusibu. Katika hali hii ya msiba huu mbichi kabisa, kukejeli au kupuuza waandishi wale wale ambao mwenzao kauawa juzi eti kwa kuwa alikuwa "anauliza uliza maswali sana" ni dhambi kubwa; na harakati wanazofanya waandishi zinakuhusu, na zinalenga kukunusuru, hata wewe.

Kumbuka, hata waandishi ni sehemu ya jamii. Lakini hawataki kutumiwa kama mifereji ya kupitisha propaganda chafu za polisi katika mazingira ambao polisi wenyewe wanataka kutumia fursa hiyo kunyanyasa jamii. Wewe andika, lakini ujue kuwa huitendei haki jamii hiyo hiyo unayoizungumzia.

Ansbert Ngurumo
Deputy Managing Editor
Free Media

P.O. Box 15261
Dar es Salaam
Tanzania

Mobile      .+255 719 001 001
                  +255 767 172 665
http://www.freemedia.co.tz/
http://www.voxmediatz.com/
http://www.ngurumo.wordpress.com/
http://www.ngurumo.blogspot.com/

--- On Thu, 9/6/12, maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

From: maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, September 6, 2012, 1:16 AM

Mubelwa,Nakushukuru kwa kunielewa, na umeliweka vizuri hasa unapoandika; " Huwezi kumkomoa mtu kwa kutenda kile asichojali".
2012/9/5 Mubelwa Bandio <changamoto@gmail.com>
Salaam Mwenyekiti.
Waliogomea kuandika habari za kiPolisi wanaamini kuwa POLISI HAWAJALI KUHUSU JAMII.
LABDA NI KWELI.
Na...Ni kwa sababu hiyohiyo naamini kuwa kwa kuwa habari za kipolisi haziwanufaishi polisi bali jamii, kugoma kuandika ni kuipa adhabu ya pili jamii.
Huwezi kumkomoa mtu kwa kutenda kile asichojali

Nakuunga mkono.
ANDIKA TU....KWA MANUFAA YA JAMII
On Wednesday, September 5, 2012 6:04:33 PM UTC-4, maggid mjengwa wrote:
Ndugu zangu,

Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la  polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni mwa wanahabari ikiwamo kugomea kuripoti  habari zinazotoka kwenye  jeshi la polisi.

Mjengwablog, kama chombo cha habari na mawasiliano ya kijamii,  ina mtazamo wa kuendelea kuripoti habari za kipolisi, za kutoka ndani na nje ya jeshi hilo  ikiwamo taarifa za kichambuzi.

Tunafanya hivyo tukiamini, kuwa habari za kipolisi kwa kiasi kikubwa ni habari zenye kuihusu jamii.

Maggid Mjengwa,
Mwenyekiti Mtendaji,
Mjengwablog.
Iringa
0788 111 765
http://mjengwablog.com
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

0 comments:

Post a Comment