Mgomo una sifa moja, kwamba yule anayegoma ni lazima aumie kwa upande fulani lakini mwisho wa siku anakipata kile anachokitaka.
Date: Wed, 5 Sep 2012 22:38:24 -0700
From: ansbertn@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Date: Wed, 5 Sep 2012 22:38:24 -0700
From: ansbertn@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...
To: wanabidii@googlegroups.com
Mjengwa, Wasikilize kwanza waandishi wenzio, si polisi. Usiwavunje moyo, an usiwe mgumu kuguswa na hili linalotusibu. Katika hali hii ya msiba huu mbichi kabisa, kukejeli au kupuuza waandishi wale wale ambao mwenzao kauawa juzi eti kwa kuwa alikuwa "anauliza uliza maswali sana" ni dhambi kubwa; na harakati wanazofanya waandishi zinakuhusu, na zinalenga kukunusuru, hata wewe. Kumbuka, hata waandishi ni sehemu ya jamii. Lakini hawataki kutumiwa kama mifereji ya kupitisha propaganda chafu za polisi katika mazingira ambao polisi wenyewe wanataka kutumia fursa hiyo kunyanyasa jamii. Wewe andika, lakini ujue kuwa huitendei haki jamii hiyo hiyo unayoizungumzia. Ansbert Ngurumo Deputy Managing Editor Free Media P.O. Box 15261 Dar es Salaam Tanzania Mobile .+255 719 001 001 +255 767 172 665 www.freemedia.co.tz www.voxmediatz.com www.ngurumo.wordpress.com www.ngurumo.blogspot.com --- On Thu, 9/6/12, maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment