Sunday 2 September 2012

Re: [wanabidii] Nilipopokea Taarifa Za Kuuawa Kwa Mwenzetu Daud Mwangosi Nikiwa Hapa Iringa...

Sielewi kwanini polisi wanajichukulia jukumu la kupiga risasi raia wa nchi hii bila sababu...kuna miji mingi mikubwa hasa Dar sio salama kabisa iwe mchana au usiku na hawa watu wameshindwa kudhibiti wizi unaotokea maeneo mbali mbali ya mji kama dar ila wanaua wananchi wasiokuwa na silaha wala chochote..nadhani sasa hatua zichukuliwe dhidi ya hawa wauaji...

From: maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, September 2, 2012 12:11 PM
Subject: Re: [wanabidii] Nilipopokea Taarifa Za Kuuawa Kwa Mwenzetu Daud Mwangosi Nikiwa Hapa Iringa...

Makene,

Kama nilivyoeleza, taarifa zilifikia kwa njia ya simu. Mtoa taarifa wangu hakuwa na maelezo ya  kina kwa vile hakuwa kwenye tukio bali alipokea taarifa kutokana na wadhifa wake. Nadhani kadri muda unavyokwenda tutapata taarifa zaidi za uhakika juu ya nini kilichotokea. Wakati huo huo , kwa bahati mbaya, Katibu wa Iringa Press alikwa safarini Dar, na Makamu wake pia.
Maggid,
Iringa
0788 111 765

2012/9/2 makene tumaini <makene_84@yahoo.com>
Kaka Maggid, labda sijakuelewa, taarifa ulizopewa hazikuelezea kabisa mazingira ya namna ambavyo mwanahabari mwenzetu Daudi Mwangosi uhai wake umekatiliwa wazi wazi kabisa, kwa makusudi. Ni ajabu kuwa masikitiko yako haya ambayo naamini ni ya dhati, hayaendi pamoja na kuusema ukweli wa kile kilichotokea, kama umepewa taarifa hizo, unless uwe hujawa well informed.

Mwangosi ameuwawa vibaya sana, Mungu atamlipia hapa hapa duniani. Pole za dhati kwa familia ya marehemu, ya watoto watano (nimeambiwa hivyo hapa) na mke mmoja.

--- On Sun, 9/2/12, maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

From: maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>

Subject: [wanabidii] Nilipopokea Taarifa Za Kuuawa Kwa Mwenzetu Daud Mwangosi Nikiwa Hapa Iringa...
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Sunday, September 2, 2012, 5:17 PM

Ndugu zangu,

Jioni ya leo nikiwa katikati ya kufundisha soka ya vijana hapa Iringa nilipigiwa simu na ndugu yangu Allen,  Katibu Wa CHADEMA , Iringa,  akinitaarifu tukio la vurugu zilizotokea Nyololo, Mufindi na hata kifo cha Mwanahabari mwenzetu, mpiganaji  Daud Mwangosi ambaye pia  ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari hapa Iringa. Kuondoka kwake kutaacha pengo kubwa. Inasikitisha sana.  Ni juzi tu nilikutana na kusalimiana nae nje ya ofisi zake kwenye jengo la Mwamoto.

Pole zangu binafsi kwa familia yake ya karibu na mbali.  Tuko nao katika wakati huu mgumu kwao.
Chini hapa ni baadhi ya picha nilizopata kumpiga Daud Mwangosi katika uhai wake.
Maggid Mjengwa,
Iringa
0788 111 765
http://mjengwablog.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment