Friday 7 September 2012

Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Hakuna mwenye nyumba ila mpangishaji au mwenye kushika zamu PERIOD. Tanzania haimilikiwi kwa kura za kushika ofisi ila anayeshika ofisi anapewa dhamana tu (ni zamu) na zamu ikiisha mwingine anachukua nafasi yake naye anakuwa chini ya mwenye zamu. Ndio wanasema siku hizi kwamba 'KUTESA NI KWA ZAMU'. Hii nyumba ni yetu wote wenye dini mbili kuu na wenye dini zingine ndogo au za  kuabudu miti, mawe, juu nk. Na kwa kuwa wanaotoa zamu siyo wapumbavu kwamba wasijue hila ya mwenye zamu hata kama hawasemi waziwazi basi hiyo siyo kibali cha mwenye zamu kuona kwamba waliompa kijiti ni mbumbu. Lahasha. Hata kama mwenye zamu atapanga safu za zamu ya watu wa chini yake hiyo nayo inaitwa zamu nalo litapita. Ni zamu pia. Na kama zamu zitahskishwa kwa mtindo huo basi mwingine wa tofauti akiingia kama naye ana roho inayofanana basi atatesa naye kwa zamu yake na hasa kama wanaofanyiwa zamu watanyamaza iwe kwa uchawi au kwa fimbo. Katika mazingira yote hayo ikiwa mmoja zamu yake inakaribia kwisha anaweza kuwa na woga au aliowaweka kwenye zamu ndogo pia huwa na hofu kwamba Farao afyataye hatakuwa anamjua Yusufu na hivyo wasiwasi wa wana wa Israel (Yakobo) kuteswa na Wamisri! Hata kama anyekuja hatakuwa ana nia ya kilipiza kama vile Ysufu hakulipiza kisasi kwa ndugu zake au kama Mandela na makaburu basi wale walikokuwa kinyume na Yusufu/Mandela huwa na hofu au dhamira zinawasuta. Matokeo yake ni kuwa aliyekuwa mtumwa akawa Makamu wa rais katika nchi ya utumwa na Mandela kuwa rais katikati ya ubaguzi. Na mwisho wa siku adui za Yusufu walimwinamia kama aliyoota kwenye ndoto na kama vile Mandela anavyoheshimiwa duniani kote. Somo ni kuwa uovu huwa unashindwa siku zote maana hauna shirika na kweli na kweli ndio Mungu mwenyewe. Tunajua utumwa wa ndugu za Yusufu kwa sababu ya dhambi ya kumwuza ndugu yao uliisha baada ya miaka 400 na kwenda kwenye nchi yao itiririkayo asalo na maziwa. Vivyo hivyo na adui za Mandela watachukua karne nyingi kushika uongozi Afrika Kusini. Laiti viongozi wangejua hilo wasingeacha legacy mbaya nyuma yao. Tutawakumbuka sana waasisi wa nchi hasa Mwalimu Nyerere kwa legacy nzuri aliyotuachia ingawa baada yake wamekuja mbweha na mbwa mwitu wasioona mbali.
 
Mungu ibariki Tanzania.

From: Steven Stey <parokostey@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 7 September 2012, 18:08
Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Kaaz Kweli Kweli  mtoto Wa mwenyenyumba nani wewe?

Paroko Stey

On Sep 7, 2012, at 18:10, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

> Kweli mwenye nguvu mpishe, serikali pamoja na vijana wa mwema leo
> wametii  amri mbele ya hawa jamaa. Leo ilikuwa zamu yao kutii amri na
> kuwaachia mara moja waliogomea sensa. Nani zaidi? serikali au hao
> jamaa? Nani kasema maandamano si dawa? Tulifikiri na leo wataua lakini
> thubutu? Cha mtemakuni wangekiona si Morogoro na Iringa mulikuwa na
> nguvu? Leo nguvu yenu iko wapi? Kwani hao jamaa walioandamana leo
> muliwapa kibali au imekuwaje mjomba? Sisi yetu macho
>
> 2012/9/7 Gaston Mbilinyi <mbilinyi.gaston49@gmail.com>:
>> Kwanini hukuwauliza vizuri hao waliokupa habari unazikiri kuzisikia? Siku
>> nyingine ni muhimu ukafanya hivyo.
>>
>>
>> On Friday, September 7, 2012, Yona F Maro wrote:
>>>
>>> Ndugu zangu
>>>
>>> Nimesikia wafuasi wa dini fulani wamefanya maandamano makubwa kuelekea
>>> wizara ya mambo ya ndani jijini dar es salaam , mwenye habari zaidi
>>> atujuze .
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment