Friday 7 September 2012

Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Ndugu yangu hapa maswali ni mengi kuliko majibu, kwa vyovyote vile leo
hakuna mnene aliyewaamrisha wafunga buti kupiga mabomu na risasi. Si
unaelewa kwamba wao wakiambiwa ni kutekeleza bila kuhoji?

2012/9/7 amour chamani <abachamani@yahoo.com>:
> Mussa,
> Wachakutukana mbona hilo nimeisha salama.
>
>
>
> Walewale.
>
> ________________________________
> From: Mussa Billegeya <msbillegeya@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Friday, September 7, 2012 3:20 PM
>
> Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya
> Mambo ya Ndani
>
> Wakati lile kundi la Viongozi wa Taasisi za Kiislamu wanhamasisha Waislamu
> "kugomea" Sensa niliuliza, hivi wanapowachochea kugoma, wanawaeleza pia na
> tafsiri ya huko Kugoma kuna maanisha nini kwa mujibu wa Sheria...!!!!
>
> Leo hii wametiwa ndani, wanaanza kuandamana kuomba waachiwe (Utadhani
> wahalifu huwa waanchiwa kwa kuombewa)!!!!! Wananikumbusha mapigano ya
> utotoni mtu anaingia kichwa-kichwa kwenye ugomvi akipiwa mateke mawili
> matatu anaanza kupiga kelele "Kwani na Vya Mateke Vimo???"... sasa kama
> ulikuwa hujui kanuni za "ugomvi" kwa nini ulijiingiza kupigana!
>
> Mungu awasaidie KI-AKILI hawa wanaoandamana!!!
>
>
> ________________________________
> From: Samuel Sasali <samuel_sasali@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Friday, September 7, 2012 3:05 PM
>
> Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya
> Mambo ya Ndani
>
> Mhe. Usipate tabu Uzuri leo hakuna mabomu Polisi wako Professionally kabisa,
> unless waone fujo wanatoa ushirikiano wa kutosha, Ila ingekuwa chadema
> Kishanuka zamani sana.
>
> Samuel Sasali.
> Think Differently and Make a Difference
> ________________________________
> From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Friday, September 7, 2012 2:59 PM
>
> Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya
> Mambo ya Ndani
>
> Duh! where are we going jamani????????
>
> 2012/9/7 Samuel Sasali <samuel_sasali@yahoo.com>
>
> Ni Waislam wameandamana taarifa za awali zinasema Wanashinikiza ndugu zao
> walifungwa sababu Sensa waachiliwe mara moja ama sivyo liwalo na Liwe,
> Walipotaka Kuonana na Waziri Wa Mambo ya Ndani, Wameambiwa wateue wasemaji
> Wachache ndo Wanasubiria Majibu.
>
> Picha Zimeambatanishwa
>
> Samuel Sasali.
> Think Differently and Make a Difference
> ________________________________
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Friday, September 7, 2012 2:33 PM
> Subject: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo
> ya Ndani
>
> Ndugu zangu
>
> Nimesikia wafuasi wa dini fulani wamefanya maandamano makubwa kuelekea
> wizara ya mambo ya ndani jijini dar es salaam , mwenye habari zaidi
> atujuze .
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> "Vision is the ability to see the invisible!"
> Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
> P.O.Box 22499,
> Dar es salaam.
> Tanzania.
> Phone No: +255 754 636963
> +255 782 636963
> website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
> Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
> Skype ID: hkigwangalla
> Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment