Thursday 6 September 2012

Re: [wanabidii] Ansbert Na Wengine...Yahusu wanahabari kugomea kufanya kazi na polisi.

Mjengwa na Yona ebu twambie hatua za haraka haraka ambazo munaziona ni
muafaka kuchukuliwa na wanahabari kutokana na unyama aliotendewa
mwenzao na vijana wa Mzee Mwama. maana kuibeza hatua waliyoamua
kuchukua alafu musitwambie watumie utaratibu gani kulaani unyama huo
ni hadhiti za karumekenge.

Sijaona kama muna pendekezo mbadala bali munaona si vyema wagomee
habari za polisi. Binafsi kwanza sina uhakika kama kuna kitu kikubwa
jamii itakikosa kwa muda wa wiki au miezi kadhaa kwa sababu ya
wanahabari kutoandika habari za jeshi la kutungua raia wasiokuwa na
hatia badala ya majambazi. Ebu tuelishe ni aina ya habari gani itokayo
jeshi la polisi tutakayomiss na muhimu sana kwetu. Siku hizi simu za
mkononi ni nyingi zitatumika kupeana tahadhari pale jeshi hilo
litakapoamua kututungua ata kama watatukuta majumbani ali mradi ni
amri imetoka juu.

Kama ni kutwangana risasi kwa amri halali toka kwa mabosi wao huwa
wanatoa matangazo wenyewe kwenye eneo la tukio, kama ni tahadhari ya
matukio ya hatarina hasa yanayohatarisha maisha ya wanene TBC1 ipo na
inaonekana nchi nzima, watajitokeza na kutangaza wenyewe. Kama ni
kulinda mikutano wanaotaka habari zao zijulikane si polisi bali
wanasiasa nao huwa wanahakikisha mambo yanajulikana kwa jamii.

Ebu tuelimishe hiyo makala muhimu sana tutakayomiss kwa sababu ya
wanahabari kugoma kuandika habari za jeshi la polisi ni ipi?. Sana
sana atakayepata hasara ni waziri Nchimbi (mwanasiasa) na propaganda
za kipolitiki toka vyombo hivyo. Na hicho ndo kilicholengwa.
Hivi kwa kasi iliyopo kwa polisi kuua raia munafikiri ni polisi gani
tunayekaa naye mtaani atataka habari zake za kuchinja watu kama kuku
zijulikane? Nijuavyo mimi habari za kuwawinda raia kama swala na
kudhulumu roho zao tutahakikisha jamii inazipata lakini za kuwajenga
kipolitiki hatuandiki ng'o.


2012/9/6 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>:
> Kwanza hili suala limeundiwa tume na tume imeanza kazi , bora muache kwanza
> tume imalize kazi yake ndio hatua zaidi zichukuliwe .
>
> Mkigoma mnajiumiza wenyewe sikuhizi kuna njia nyingi za watu kupata habari
> au kuhabarishana kwahiyo njia hizo zitatumika kupeleka habari zaidi kwa watu
> kuliko nyie ambao mmeonekana kuangusha fani ya habari nchini kwa siku za
> karibuni .
>
>
> 2012/9/6 Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
>>
>> Journalists of Tanzania UNITE, you have nothing to lose but your golden
>> chains!! Maggid, umeambiwa kuwa mgomo una matatizo yake, lakini mwisho wa
>> siku utapata unachotafuta. Huu si mgomo wa kudumu, ni wa muda tu! Jiunge na
>> wenzio ili kieleweke.
>>
>> Mara ngapi watu wamevamiwa na kwenda polisi au kupiga simu bila kupata
>> msaada?? Hapa tulipofikia, polisi hawatusaidii, hawana maana; kwa hivyo
>> usipoandika habari zao kwa muda, wala hakuna jamii itakayoathirika!! LKK
>>
>>
>>
>> ________________________________
>> From: mngonge <mngonge@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Thursday, September 6, 2012 11:25 AM
>> Subject: Re: [wanabidii] Ansbert Na Wengine...Yahusu wanahabari kugomea
>> kufanya kazi na polisi.
>>
>> Kama ni kuripoti uovu watakaoendelea kuufanya kwa umma nafikiri hilo
>> wanahabari wataliandika na kulitangaza kwa sababu litakuwa linagusa
>> jamii nyingine pia. Lakini kama ni mambo mengine ukienda kuwauliuliza
>> nenda wewe yakupate ya marehemu Mwangosi
>>
>> 2012/9/6 maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>:
>> > Ansbert na wengine,
>> >
>> >
>> >
>> > Ahsanteni kwa mitazamo yenu. Katika hili yawezekana tukawa na mitazamo
>> > tofauti, ni hali ya kibinadamu. Kwangu mimi, kwa wanahabari huu si
>> > wakati wa
>> > kutangaza mgomo wa kuripoti habari za kipolisi, kinyume chake, ni wakati
>> > wa
>> > kushambulia kwa pamoja kwa kuwakabili polisi na wahusika wengine kwa
>> > maswali
>> > yenye kuhitaji majibu.
>> >
>> > Huu ni wakati wa jeshi la wanahabari kuishambualia polisi kama taasisi
>> > muhimu ya dola ili ipate majibu ya maswali ambayo jamii inataka majibu
>> > yake.
>> > Mbali ya tukio la mauaji ya mwandishi mwenzetu Daud Mwangosi, hatuwezi
>> > kuacha kufanya kazi na polisi kupata majibu ya matukio mengine ya
>> > kihalifu
>> > yanayotokea katika jamii kwa vile tu tuna mgogoro na polisi.
>> >
>> > Naamini, tofauti na kugoma, kuna njia nyingine za kuishinikiza Serikali
>> > na
>> > hata taasisi ya polisi kuchukua hatua katika yanayotokea. Na moja ya
>> > njia
>> > hiyo ni kila linapotokea tukio, kwa wanahabari kwa uwingi wetu, '
>> > kuvamia'
>> > ofisi za wenye kuhusika na kutoa majibu ya maswali ambayo jamii inataka
>> > majibu yake.
>> >
>> > Msimamo wangu huu unaeleweka hata na baadhi ya viongozi wa juu wa Iringa
>> > Press Club ambao nina ushirikiano nao mzuri. Na jema katika hili ni
>> > kuwa,
>> > ushauri wangu wa namna ya kwenda mbele umepokelewa vema na Makamu
>> > Mwenyekiti
>> > ( Francis Godwin) na Katibu Mkuu wa IPC ( Frank Leonard) ambao kimsingi
>> > nimefanya mazungumzo nao na wanaufanyia kazi ushauri wangu.
>> >
>> > Vinginevyo, naelewa hasira na jazba tuliyo nayo wanahabari wengi
>> > kutokana
>> > na kilichotokea. Hata hivyo, hata katika hali kama hii, tuwe na ujasiri
>> > wa
>> > kumeza vipande vya barafu. Tutangulize hekima na busara. Ndio, tutulie
>> > na
>> > kupanga mikakati ya pamoja itakayohakikisha jamii tunayoitumikia
>> > hainyimwi
>> > haki yake ya kimsingi ya kupata habari ikiwamo habari za kipolisi. Na
>> > hata
>> > katika hili, jamii ina mengi inayoyahoji kupitia wanahabari. Wenye
>> > kuhitajika kuhojiwa ndio hao tunaofikiria kuwagomea. Naam, tuna lazima
>> > ya
>> > kuwahoji wahusika. Ni kazi yetu.
>> >
>> > Ndio, mikakati hiyo ituhakikishie wenye kuhusika na kutoa majibu ya
>> > unyama
>> > uliomtokea mwanahabari mwenzetu hawapati muda wa kupumua. Hii ni pamoja
>> > na
>> > sisi tulio mstari wa mbele kuhakikisha kila kukicha wahusika wanatukuta
>> > nje
>> > ya milango ya ofisi zao tukisubiri majibu ya maswali ambayo jamii
>> > inayauliza.
>> >
>> >
>> > Kwamba matukio kama ya mauaji ya Daud Mwangosi kamwe yasiwe ni ' Upepo
>> > tu
>> > unaopita'- Kwa wanahabari kugomea kuwakabili polisi kwa maswali ni
>> > namna
>> > moja au nyingine ya kutengeneza mazingira ya kuruhusu ' Upepo upite'.
>> >
>> > Kufanya hivyo ni kulisaliti jukumu letu la msingi- Kuitumikia Jamii ya
>> > Watanzania.
>> >
>> > Maggid Mjengwa
>> > Iringa
>> > 0788 111 765
>> > http://mjengwablog.com
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> > be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment