Saturday 18 August 2012

[wanabidii] Re: dc karatu aokoa jahazi la sensa

Dc karatu aokoa jahazi la semina kwa makaran wa sensa baada ya kuwepo taarifa za utata za kuahirishwa kwa mafunzo,kuapa na kulipwa hela za semina. Asubuhi mapepa makarani walikusanyika nje ya ukumbi wa karatu sekondary bila kujua kinachoendelea. Ndipo akaingia dc ndugu Daudi Felix Ntibenda na kutoa amri mambo yaendelee kama yalivyopangwa kwan saikukuu inapata ila sensa itaendelea, makarani wakapiga makofi na kuendelea na utaratibu, hata hvo habari hzi zilileta taharuki kubwa kwa makaran na watu wengine kwa mda mfupi sana. Source ni mimi mwenyewe ndani ya ukumbi,

----------
Sent via Nokia Email

------Original message------
From: Phares Magesa <magesa@hotmail.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,"wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, August 18, 2012 8:51:25 PM GMT+0000
Subject: [wanabidii] Iddi njema kwa wote

Nawatakia wote sikuu kuu njema ya Iddi, Mwenyezi Mungu awajalie wote kila la heri.

Mungu ibariki Tanzania , Mungu ibariki Afrika.

Phares Magesa.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment