Saturday 4 August 2012

[wanabidii] MSIBA WA MELI YA MV SKAGIT YAWAUNGANISHA WAZANZIBARI WAISHIO NJE!

MSIBA WA MELI YA MV SKAGIT 
YAWAUNGANISHA WAZANZIBARI WAISHIO NJE!

Wazanzibari waishio nje na ambao jamaa zao walipoteza maisha yao na wengine kuathirika katika msiba wa kuzama boti ya MV Skagit,
wameungana pamoja baada ya huu msiba na sasa wameanzisha blog inayoitwa ZANZIBAR NI KWETU.
Wazanzibari hao wanakusudia kulitumia hili blog ili kutoa maoni yao juu ya hali ya kila siku ya kisiasa na mambo mbalimabli ya kijamii na 
utamaduni ya huko Zanzibar. Wameona kuwa ipo haja ya kufanya hivyo kwa pamoja ili sauti yao ipate kusikika sio Visiwani tu bali hata Tanzania Bara.

Source: www.zanzibarnikwetu.blogspot.co.uk

0 comments:

Post a Comment