Hotuba ya mhe niliisikiliza tangua mwanzo hadi mwisho. Kama wewe hujaona dosari, naona nisijipe jukumu gumu la kueleza dosari zipo wapi na nimekwishaeleza kwa aina yote na kutumia maneno yote kwenye postings za awali. Jitume kidogo usikilize hotuba, halafu usome thread zote za wachangiaji na ujipime baada ya hapo kama utakuwa bado na swali tutajaribu kukusaidia kama utakuja open-minded bro.
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 20 Aug 2012 08:31:16 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
Tony,
Kama unalalamikia utaratibu alioutumia Mh. Tundu Lisu kuwasilisha bungeni hotuba yake na sio utetezi wake kwenye kamati, kuumbuana unakokusema kunatokea wapi?
From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, August 20, 2012 4:46 PM
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, August 20, 2012 4:46 PM
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
Anael,Narudia kusema kuwa mie nalalamikia utaratibu alioutumia kuwasilisha hoja bungeni (hotuba yake) na sio utetezi wake kwenye kamati! Mbona mnakosa umakini wa kuelewa hoja nyieee? Ndio maana nasema ushabiki wa itikadi unawaponzaa! Siamini kama baadhi yenu ni vilaza kiasi hicho, mnafanya makusudi kutokana na kughubikwa na ulevi wa itikadi! Au hamsomi mtiririko wa uchangiaji, mnarukia katikati! Watanzania tuna ulemavu wa kutosoma na tunaposoma hatuzingatii yaliyoandikwa! Sitaki kuamini wewe ni mmoja wapo!
On Aug 20, 2012, at 16:29, "Chambi Chachage" <chambi78@yahoo.com> wrote:
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
From: Anael Macha <kowiri@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 20 Aug 2012 16:38:06 +0300
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
Tony,
Naomba unisaidie, Mhe TL aliambiwa alete utetezi kaleta wewe unamlaumu. Ulitaka apeleke nini? Naomba unijibu as unalikwepa ukilalamikia ushabiki. Sina hakika kama unajua nina kadi ya chama gani.
Kama Jaji Werema au Spika wangekaa kimya baada ya kauli ya TL haya yangetokea? Kwanini tusione akina spika ndo wameamua kutoheshimu mihimili mingine?
Asante
Sent from my iPhone
Sent from my iPhone
Tony, hiyo ni strategy ya muda mrefu ya kukimbia ama kuzima hoja; sisi ngoja tujikumbushie harakati za Clare Short kwenye Bunge la Uingereza:31 Jan 2007: January 30 session: Former international development secretary Clare Short attacked the government, as it came under fire from all sides over the sale of a radar system to Tanzania.-------My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.
Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
Skype: chambi100
Twitter: @UdadisiFacebook: http://www.facebook.com/chambi78Blogs: http://udadisi.blogspot.com & http://ufunuo.blogspot.com
Group: http://groups.yahoo.com/group/wanazuoniFrom: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, August 20, 2012 9:10 AM
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
Chambi,Sina comment kwavile hauna courtesy kwangu na tulishakubaliana kutoendelea na ubishi na wewe kuhusu bon-fide! Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Mon, 20 Aug 2012 06:02:39 -0700 (PDT)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bungeKudhani/Kuamini kuwa eti 'liberal democracy'/'parliamentary democracy' ya Tanzania itafuata tu njia ile ile ambayo Uingereza, Marekani na nchi zingine za Magharibi/Kaskazini zinafuata ni ndoto ya alinacha. Hebu turejee mfano wa jinsi suala la rada lilivyojadiliwa katika Bunge la Uingereza na la Tanzania. Kwa tafsiri ya mwanazuoni mahiri wa Mfumo Dola wa Tanzania, Tony D, hata Claire Short aliyeiwekea ngumu rada isiuzwe Tanzania katika mjadala wa Bunge la Uingereza atakuwa ni mwanaharakati aliyekengeuka kwa kutozingatia kile ambacho Tony Bin D anasisitiza hakitakiwi kufanyika Bungeni eti kwa mujibu wa nadharia za Udola!Tanzania ya sasa inapitia katika kipindi kigumu ambacho uwanaharakati bungeni ni muhimu ili kuondoa uozo. Ni uwanaharakati uliozaa sakata la Buzwagi lililong'oa mafisadi waliokuwa katika mhimili mmoja wa dola. Pia ni uwanaharakati uliozaa sahihi 70 zilizong'oa mafisadi wengine katika mhimili huo wa dola. Sasa ni wakati kwa uwanaharakati kuwaondoa mafisadi katika huo mhimili mwingine wa dola ambao unapaswa kuhakikisha kuwa haki inatendeka na kuonekana kuwa inatendeka. Mwanafikra wa Mfumo wa Dola, Tony , atakuwa amemsoma pia Antonio Gramsci aliyesisitiza kuwa jamii ina wanazuoni wa aina kuu mbili - waliojikita katika jamii (organic intellectuals) na waliokumbatia mfumo uliopo (traditional intellectuals). Labda Gramsci naye amepitwa na wakati kwa kuwa tu alikuwa na itikadi ya mrengo wa kushoto kwa Tony!From: Tony <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, August 20, 2012 4:57 AM
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
Mhe. Lisu,You may also read a book, which gives more on parliamentary culture in contemporary political philosophy: Carl Schmit is the theorist whose doctrine in political thought and critique of liberalism ideals sheds light on theories of modern politics, The book "Crisis of Parliamentary Democracy" first published in 1923 with a revision in 1926 has remain unchallenged in the field since Hobbes theories of mediaeval Britain.Tunasaidiana kupanuana uelewa tu...From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 20 August 2012, 11:19
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
TL,Sijui uelewa wangu na wako kwenye hili kama wazidiana kiasi gani, wewe mwanasheria inawezekana unao utaalamu huu (!) wa kuweza kubashiri uelewa jadidi wa binadamu mwenzio katika kipindi kifupi! Kwanza maandiko ya Rosa na Lennin nimeyasoma na yamepata critique za kila aina na wanataaluma wengi na mahiri hapa duniani. Na they're no longer upheld na kubeba umahiri (authority) wa siasa za kimamboleo! Lakini itikadi yako ambayo naiona toka matendo na hotuba zako, imelalia kuhusudu ujamaa wa akina Marx na waliofuata itikadi hiyo (Wachina na Wakyuba), sioni ajabu unapokumbatia maandiko hayo kwenye karne ya leo. Ukumbuke theory zao zilidumu miaka 70 tu na zimebadilishwa sana hata waliozishikilia hadi leo. Activism haitumiki ndani ya mabunge bali inatumika kwenye "deliberative democracies practices" mara nyingi activism, social justice movements, structural inequalities na deliberative democracy hutumiwa vizuri na institutions za kisiasa nje ya Bunge. Bunge ni structured state organ na ni taasisi inayofuata prescribed procedures, rules na kuongozwa na katiba. Tofauti na activism ya jambo lolote huwa haielekei hata siku moja kufuata utaratibu ingawa kinadharia, wanashikilia kufanya kuwa na taratibu katika kudai wanachokitaka! Katika karne hii baada ya liberal democracies kuingia kwa kasi tumeshuhudia uanaharakati kuingia kwenye bunge; mfano vyama vya kijani (green parties), ambao ni wanaharakati wa mazingira. Hata hao waliingia bungeni na hawajafaulu sana na walikuwa na lengo maalum. Staili ya activism hii kwenye democracy mara nyingi tangu mwanzo wa karne hii tunaishuhudia kwenye vyombo vya habari (democratic media activism), ambayo inakubalika na jamii kwavile ni kati ya "social movement theories" za akina Melucci, Cohen+Arato, Habermas, na Fraser. Uanaharakati kama tunaouona hapa Tz na ambao umekuwepo nchi nyingine (na sio kwenye mabunge), ambao wewe unatuaminisha ni sawa na wakudai haki na utawala bora, mara nyingi hufadhiliwa na vikundi kutoka nje ya nchi husika na huwa si endelevu kwavile baada ya kubadilisha utawala uliopo kwenye nchi husika, huishia hapo na makundi mengine ya kianaharakati huibuka kupinga status-quo! Ufadhili huo hufanywa na vikundi vyenye maslahi ya kiuchumi au with strategic interest kwa taifa husika! Kulingana na historia, uanaharakati wa aina hii unatumika nje ya taasisi za kidola kama pressure groups ukisaidiwa sana na tasnia za habari. Unaweza kusoma tofauti hizi kwenye kitabu cha Fishkin & Laslett cha 2008. Swali dogo la kujiuliza ni kwanini theories za akina Lennin leo hazitawali tena dunia na zimebaki rejea za wanafunzi wa political history na uchumi wa kijamii? Hazina mshiko ena kwenye neo-political philosophy na hata uchumi jamii mamboleo. Tunachangia hapa kupanuana uelewa tu na sio kudhalilishana au kubezana kama mwelekeo ninaouona kushamiri kwako. Utusamehe bure kama tunakuudhi Mheshimiwa. Jambo ambalo nalishangaa kidogo kwenye hoja yako hapa ni uwezo gani ulio nao wa kudhani mtu anayekupinga kuwa na uelewa mdogo kuhusu jambo unaloelezea? Unajuaje uelewa wako ni wa juu kuliko wengine (authoritative)? Hiyo nayo ni dosari, kama mwanasiasa inabidi uibadilishe, ni sawa kama ungekuwa upo mahakamani ili kushinda kesi. Ni tafakuri yangu tu! Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.From: Tundu Lissu <lissubulali@yahoo.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Sun, 19 Aug 2012 23:57:49 -0700 (PDT)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
Tony,Nilichokisema bungeni kinaitwa na Kanuni za Kudumu za Bunge 'Maoni ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.' Kwa sababu hiyo, hayo ni maoni yangu. Lakini kwa kuwa yametolewa in my official capacity kama Msemaji wa Kambi, ni maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Tumejenga utamaduni mzuri katika Kambi yetu ambapo Maoni ya Msemaji wa Kambi hujadiliwa kwanza kabla ya kuwasilishwa Bungeni. Of course, kama Msemaji wa Kambi amefanya kazi yake sawa sawa, what's eventually presented in Parliament will bear a very strong imprint, if not style, of the author. Mimi huandika hotuba zangu mwenyewe, nafanya research mwenyewe na kwa hiyo whatever you see presented in the House bears my unmistakeable style and ideological bent hata kama kimejadiliwa na kupitishwa kwenye Kambi. Kuhusu kuchanganya uanaharakati na siasa, n.k., nadhani uelewa wako wa historia ya Western democracies ni too limited kuweza kutusaidia kwenye mjadala huu. Kwa vile unaelekea kutokujua nitakuelekeza kwa wanaharakati wakubwa wa siasa za kimapinduzi wa karne iliyopita, Vladimir Lenin na Rosa Luxemburg ambao, licha ya ku-dedicate maisha yao yote kwenye harakati za kuupindua mfumo wa demokrasia ya kiliberali, waliandika sana juu ya haja, na namna, ya kutumia uwanja wa siasa za kibunge kwa malengo ya kimapinduzi. Rosa Luxemburg wrote a beautiful pamphlet titled 'Reform or Revolution'. Nakushauri ukitafute ukisome. Lenin, perhaps the greatest revolutionary mind since Marx, aliandika kijitabu kiitwacho 'Left Wing Communism or an Infantile Disorder?' ambapo alizungumzia sana umuhimu wa parliamentary politics. Kwa hiyo kaka, unachokisema kuhusu kutokupeleka uanaharakati Bungeni kinatoka zaidi kwenye kichwa chako na sio historia halisi ya demokrasia za Magharibi. Tundu From: deogratius temba <deojkt@yahoo.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
Sent: Fri, Aug 17, 2012 6:35:45 AM
Utamaduni wa kuendelea kulindana na kupena anafasi za kazi kwa wanaojulikana au waliotufanyia mambo fulani kama sehemu ya kulipana fadhila unaendelea. Taifa hili halitakaa libadilike kwa kuendelea kuwaajiri watu vihiyo, wasio na uwezo huku wenye uwezo wakikimbilia nchi za nje na wengine kujifanyia shughuli zao binafsi. kuna kundi la watanzania weledi, waadilifu na wenye uwezo mkubwa wa kubadilisha taifa hili lakini hawapewi nafasi kwasbabu tunataka watakaotulinda.Suala la majaji ni la kusitikisha, Rais anapoingia madarakani anataka kudfanya kazi na safu ya watu atakao watumikisha bila kuhojiwa, wasaidizi wa 'ndiyo mzee' ambao watafanya wanachoamabiwa bila kuhoji au kukataa, ambao wataamriwa kuvunja sheria, katiba au haki za binadamu na kukubali. hili linahitaji mabadiliko makubwa na ni Kuwa na katiba mpya nzuri itakayompokonya Rais wa Tanzania madaraka ya kuteua kila mtendaji wa serikali. Vinajana wanaohitimu vyuo vikuu sasa wataenda wapi? kama wazee wanateuliwa hata baada ya kupoteza uwezo wa kuona?Hivi tujiulize Tume ya utumishi wa mhakama inafanya nini? kazi yke ni nini? macommisner wa Tume nao wanakula mishara na posho bila kufanya kazi kumbe rais anateua majaji na watendaji wakuu wa mhakama peke take. Tubadilike, na tujitokeze kutoa maoni kwenye mchakato wa katiba mpya kama haturidhiki na hili.-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- "By faithfulness we are collected and wound up into unity within ourselves, whereas we had been scattered abroad in multiplicity"Saint Augustine (354-430) Theologian From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, August 17, 2012 9:05 AM
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
Flano;Sidhani majadiliano ya wanachana wa mtandao yanaweza kuchapishwa bila kuvunja privacy na hatimilki ya wanachama. Watu huchangia hapa kwa sababu ya limited exposure principle; huenda wangejua kuwa wanachochangia hapa kitachapishwa magazetini wasingefanya hivyo. Pia wanachama wa jukwaa wanachangia sio kwa nia ya kufanyia biashara maongezi yao. Na akichapisha mazungumzo haya kibiashara watafaidika vipi kutokana na mauzo ya nakala za gazeti hilo? Mimi siafiki! Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.From: flano mambo <flein47@yahoo.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Thu, 16 Aug 2012 21:45:42 -0700 (PDT)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bungeBalile umelonga, ni vema wananchi wenzetu wanaoweza kununua gazeti wajue jinsi wenzao walivyopata fursa ya kubadilishana mawazo watawezajifunza namna watu wanavyotoa hoja na kuzitetea lakini pia mwelekeo wa mitazamo ya kisasa. Kaprint mazungumzoFrom: "deobalile@yahoo.com" <deobalile@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com; Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sent: Friday, August 17, 2012 7:37 AM
Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge
Laurean, Katu, Tonya, Lissu, moderator na wanabidii wote, Pamoja na salaam za gazeti la JAMHURI na kwa kuwa mjadala unaoendelea hapa umetokana na hatua ya gazeti letu kuchapisha habari hii ya Majaji Vihiyo Watajwa, na kwa kukuwa mjadala huu ni mtamu, naomba ruhusa yenu majadiliano haya niyachapishe katika toleo la JAMHURI Jumanne ijyayo na wananchi wasio na access ya mtandao wafaidi uhondo huu. Naamini ombi langu litakubaliwa kwani maelezo haya tunayotoa kutoka kwenye sakafu za mioyo yetu na tungependa Watanzania watuelewe hivyo. Asanteni kwa kunikubalia ombi langu. Mtanzania mwenzenu, Balile, D. Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network -----Original Message----- From: "Laurean Rugambwa B. " <rugambwa@hotmail.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Fri, 17 Aug 2012 03:59:28 To: Tony PT<tony_uk45@yahoo.co.uk>; Wanabidii Group<wanabidii@googlegroups.com> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge Tony, Sijibu hoja zako maana umezielekeza kwa Mh. Lissu. Naomba nichangie tena kwenye huu mjadala: itafute CV ya current CJ; then uje urudi hapa tuongee. Ukisha soma useme bila woga kama mtu kama huyo alifaa au alistahili kuwa CJ kati ya majaji wengine lukuki wenye sifa za kipee kwenye mahakama kuu na rufaa! Wewe unajua ila unafanya makusudi kuwa suala la kuteuliwa kuwa jaji haliishii kwenye sifa za kikatiba za mtu anayefaa kuteuliwa kuwa jaji, hata maandishi yangu haya yanaweza kunifanya nisichaguliwe kuwa jaji hata kama nina sifa. Maana wakati unawatetea watu ujue mambo ya hivi yanavyoweza kumfanya mtu wa kawaida tu hata sio wewe mchambuzi wa mambo kuona kuwa kuna shida sana kwenye chombo cha kutoa haki. Unasema Somalia, kwa utaratibu wa sasa usiporekebishwa nchi itakuwa Somalia.Hapa ndipo utaona madhara ya kutosema. Uliona Jaji mtu mzima Kenya wakati wa Moi aliulizwa kwenye interview juzi kwanini hukumu zake zimekuwa zinaitetea serikali mara zote hakuwa na jibu wale jamaa tena vijana wakamnyima kazi ya Ujaji! Asubuhi njema. LR Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania. -----Original Message----- From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> Date: Thu, 16 Aug 2012 20:09:25 To: <wanabidii@googlegroups.com> Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge TL Nimekuelewa na nafurahi kwa kunijuza kuwa ulishapeleka mambo haya kwenye kamati husika! Ninachotaka kufahamu toka kwako ni je, hoja hii ni ya kwako kama mbunge au ni ya kambi ya upinzani kama ilivyosomwa nawe bungeni? Unachokisema ni sahihi, uozo ni mkubwa karibu kila sehemu! Lakini unadhani uanaharakati utaweza kuondosha uozo huu bila kufumua katiba na baadhi ya sheria zilizopo? Nasema hivi kwani ulichokisema kinaweza kupuuzwa kama CJ Ramadhani alivyofanya na pia CS Luhanjo alivyofanya na kufaulisha mikataba ya majaji licha ya taarifa ya kamati mkakati? Tatizo la uanaharakati katika misingi ya kutumia mhimili mmoja wa dola unayoiona kuwa inafaa haileti matunda mema sana na haijafaulu sana kuleta mabadiliko unayoyaeleza sehemu nyingine za dunia hii. Uanaharakati wa nje ya mihili ya nchi ndiyo husaidia kwenye mabadiliko ya tawala na kurejesha utawala bora. Kwa baadhi ya mataifa hususan ya magharibi, uanaharakati nje ya mihimili ya nchi husaidiwa sana na vyombo vya habari ambavyo havina maslahi ya wanaharakati hao au toka kwingine kati ya mihimili ya nchi. Napata taabu sana kuona kama uonavyo wewe, yaani kuchanganya siasa na uanaharakati na kutumia mhimili kama meza ya kuendesha harakati za kuumbua mihimili mingine! Pia napata tatizo kukubali kama bunge kazi yake ni kuadabisha serikali. Dhana ya trinity of interdependence ndiyo inazaa taifa imara kila mhimili ukiheshimu mwingine kwa kufuata mipaka ya kazi inayoeleweka na inayotokana na katiba. Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania. From: Tundu Lissu <lissubulali@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Thu, 16 Aug 2012 12:02:19 -0700 (PDT) To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge Tony, Hoja zako hazina tofauti hata kidogo na hoja za mwanaCCM mmoja katika hao walionihoji. Kwa kifupi, watu wa aina yako hamkutaka haya mambo yasemwe popote hadharani. 'Kuheshimiana miongoni mwa vyombo vya dola' ni lugha ya waliozoea kufanya maovu gizani bila kuhojiwa kwa sababu uchafu wao hauonekani. Kuwasema hadharani watu wa aina hii ni njia pekee ya kuanza kuchukua hatua za kuondoa uozo huu na kuwaondoa wachafu wenyewe. Bunge halina wajibu wa 'kuheshimu' mihimili mingine kwa maana yako, lina wajibu wa kuisimamia na kuiadabisha inapotoka nje ya mstari wa kikatiba. Ndio maana Bunge lina mamlaka ya kumwondoa Rais madarakani kama anafanya matendo yanayoenda nje ya kiapo chake cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi Katiba. Bunge halitakaa litimize wajibu wake huo kama linafundishwa 'kuheshimu' maovu ya mihimili mingine linalopaswa kuisimamia kwa kuogopa kuyasema maovu hayo hadharani! Uchafu niliouonyesha kwenye Addendum yangu umekuwepo siku nyingi. Kila anayetaka kujua uchafu huu anafahamu. Ikulu ya Kikwete inafahamu. Mwanasheria Mkuu wake anafahamu. Mahakama yenyewe inafahamu. Majaji wote wanafahamu. Mawakili wanafahamu. Kila mwenye macho anafahamu. Wote hawa wanaofahamu wamenyamaza kimya kwa sababu ya 'kuheshimiana.' Ni kulindana. Wako kimya kwa sababu wana maslahi ya kuwa kimya. Hawajali haki, wanajali maslahi yao. Hawajali kwamba mhimili wa Mahakama ukioza namna hii watu watalazimika kuchukua sheria mikononi mwao na nchi haitatawalika. wanajali maslahi yao ya sasa hivi. Kesho itajiju yenyewe. Kwa bahati mbaya kabisa, Bunge letu sio la maCCM pekee yao tena. Bunge letu sio la waoga na wanaojipendekeza tu ili wapate trip za nje ya nchi za Spika. Bunge letu sio la wasiojua Kanuni tena au wasiojali kama kuna Kanuni au la. Kwa kifupi, Bunge letu sio la wajinga na wachumia tumbo tu. Bunge letu pia ni la wanaharakati wanaojali na wanaochukia uovu na kuchukua hatua za kuuondoa vile vile. Unafikiri kuitwa 'mwanaharakati' ni tusi. Mimi nadhani mwanaharakati, katika mazingira halisi ya nchi yetu, ni mtu pekee mwenye akili! Wengine wote ni wale wale wenye mtazamo ule ule wa chama kile kile! Nchi hii inahitaji mabadiliko, nay, mapinduzi makubwa! Mapinduzi hayo hayataletwa na watu wanaoogopa kuwaumbua waovu kwa kisingizio cha 'kuheshimiana.' Na kwa taarifa yako, kwa sababu nilishakusikia ukihoji kama mambo haya yalipelekwa kwenye Kamati ya Katiba na Sheria kabla hayajafikishwa Bungeni. Hilo pia lilikuwa swali la Chiligati kwenye Kamati. Yalikwenda siku nyingi kabla ya kuzungumzwa Bungeni. Nilishawa-serve notice Karimjee Hall tangu mwezi Juni. Waziri na Naibu wake walikuwepo, Attorney General na Naibu wake na maafisa wao karibu wote walikuwepo. Wasajili kadhaa wa Mahakama Kuu na Mahakama va Rufani walikuwepo. They'd have seen it coming. Of course kwa sababu ya utamaduni wa kulindana na kuogopana, nay, 'kuheshimiana', wote walifikiri natania. I never joke on matters of this importance. Neither should you! Now that the Djein is out of the bottle all cowards are waxing lyrical about 'kuheshimiana kwa mihimili ya dola'! Give me a break! Rais anapojaza Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani na Majaji wa aina hii anaonyesha wazi kwamba haheshimu muhimili wa Mahakama. Rais wa aina hii hapaswi kuheshimiwa, anapaswa kuwajibishwa kwa kuvunja Katiba. Impeachment is his due dessert. Majaji feki aliowajaza Mahakamani hawapaswi kuendelea kupokea mshahara wa umma wakati sio Majaji 'kwa mujibu wa Katiba.' Wanapaswa kujiuzulu au kuondolewa kama hawana uadilifu wa kuachia ngazi wenyewe. Tunapaswa kujifunza kwa wanavyofanya Wakenya kusafisha Mahakama yao baada ya miaka mingi ya uozo wa aina ya wa kwetu. Kwa hiyo kaka Tony, I make no apologies whatsoever for having played my small part in this mighty contest. Castro said nearly sixty years in 'History Will Absolve Me', his defence speech after the unsuccessful assault on Moncada Garrison: "A true man chooses the side of duty, a true man does not choose the side of advantage." I've chosen my side, to do my duty, however unpleasant, and to do it thoroughly! You obviously have chosen the side of advantage, of 'kuheshimiana', etc. I wish you luck. Tundu From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Thursday, August 16, 2012 11:01 AM Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge Weston,Unachosema ni sahihi, spika angeweza kuliona hilo na kuamua jambo hilo lirudishwe kwenye kamati husika. Lakini hilo unalolisema haliwezekani maana hoja za tundu lisu ziliwasilishwa kama hoja ya kambi ya upinzani, yeye akiwa msemaji wake mkuu wa wizara kivuli ya sheria na katibu.Wasiwasi wangu tukiendelea na utaratibu wa mhimili mmoja kuumbua mhimili mwingine ni kukosekana kwa staha ya kuheshimiana na kufikia kusambaratisha utawala mzima! Kila mhimili una madudu yake, bunge limejaa uozo, mahakama usiseme na serikalini ndio kilio! Sasa wakiumbuana wenyewe kitakachofuata ni taasisi zote kukosa legitimacy ya wananchi! Ndicho mnachokitaka? Hatari zake ni mbaya sana mithili ya Somalia. Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania. From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Thu, 16 Aug 2012 07:49:20 -0700 (PDT) To: <wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge Tony, Hoja yako binafsi nimeielewa sana tu. Hupingi mapungufu ya uteuzi wa majaji. hupingi ushahidi wa Tundu Lissu (Mh.) na hupingi kuwa vyombo hivi vya dola havina matatizo. Tatizo lako ni namna ya uwasilishaji wa ushahidi kamaulivyofanywa na Mh. TL. Msingi wa hofu yako ni kuwa chombo cha dola kimoja kinaonekana kufedhehesha vyombo vingine vya dola, yaani Bunge linaviumbua Mahakama na Serikali. Hoja yako ni kuwa vyombo hivi viwekeane staha. Hoja yako ina mantiki. Ila ulipaswa kutambua chanzo cha tatizo hili. Mh.TL alituhumiwa kwa uzushi. Alichokuwa anajaribu kufanya ni kuthibitisha kuwa hakusema uongo. Na mahali pa kuthibitishia ni Bungeni. Hata hivyo Spika alipaswa kutumia busara kuona ushahidi huu hautoki nje, na hasa ungeishia katika kamati. Kumlaumu mh. ni kumuonea. Alidhalilishwa sana siku ile. Kuambiwa kichwa ni kwa ajili ya kufikiri si kufuga tu nywele au wengine mnajifanya ni wasomi zaidi ya wengine si maneno mazuri kuambiwa mtu mzima. Baeleze babunge ba CCM baache kutoa kashfa. bajenge hoja.--- On Thu, 8/16/12, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote: From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge To: wanabidii@googlegroups.com Date: Thursday, August 16, 2012, 7:16 AM Anael,Mbona arguments zenu hazizingatii uti wa hoja! Tatizo sio kutosema, na sijasema hivyo kwenye hoja yangu! Hoja ni unatumia utaratibu gani kusema kero hii! Tatizo lenu ninaloliona hapa jukwaani mara nyingi ni ushabiki wa kiitikadi! Akiongea lolote na kwa vyovyote vile mtu huyu ruksa, lakini akiongea mwingine wa itikadi ile na kwa njia ile, ni dhambi! Hiyo ni misguided fanaticism; tuachane nayo! Jukwaa ni la kuelimishana na sio kuenezea itikadi ya vyama. Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania. From: Anael Macha <kowiri@hotmail.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Thu, 16 Aug 2012 16:43:11 +0300 To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Utetezi wa Mhe Tundu Lisu mbele ya kamati ya haki, maadili ya bunge Sasa Tony, mhe Lissu asingesema haya ulitaka afenyeje? Afukuzwe/asimamishwe? Kwa msingi huu ulioueleza bora asingepelekwa kamati ya maadili. Au?Sent from my iPhone On Aug 16, 2012, at 6:49, "Tony PT" <http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote: Martin,Unachokisema hapa ni sawa lakini sio jibu la nilichokisema. Matumizi ya lugha kufanana sio hoja na kama nilivyosema sitetei uozo kama alivyoueleza kwa ufanisi mkubwa Mhe TL. Tatizo langu nililosema hapa ni utaratibu alioutumia. Pia sioni ajabu kushambuliwa kwake na baadhi ya wabunge kwani wabunge walichokuwa wakikisema (ukiacha baadhi yao), ni pia utaratibu uliotumika. Mara nyingi mimi hutoa mchango hapa kuzingatia jambo mbele yetu na siendeshwi kirahisi na ushabiki wa kikundi fulani. Nimetoa maoni yangu sio kwa kuangalia ni nani amesema jambo. Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania. From: martin pius <http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=malagila01@yahoo.co.uk> Sender: http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com Date: Thu, 16 Aug 2012 03:33:14 +0100 (BST) To: <http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: