Tuesday 28 August 2012

Re: [wanabidii] TUCHEKE PAMOJA MCHANA HUU MWEMA

Issue hapa ilikuwa kutupa vitu kuokoa maisha na sio kudhuru uhai wa mtu eti kulinda KILA KITU CHAKO kwa sababu unakionea uchungu. Hii ni kuonesha ni jinsi gani jamii hiyo ilivyo na roho mbaya kuweza kudhuru uhai wa mtu kuokoa mali sake.

--- On Tue, 8/28/12, Gaston Mbilinyi <mbilinyi.gaston49@gmail.com> wrote:

From: Gaston Mbilinyi <mbilinyi.gaston49@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] TUCHEKE PAMOJA MCHANA HUU MWEMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 28, 2012, 4:44 PM

Sioni ubaya kwa alichofanya mchaga dhidi ya Masai. Kwani katika hatari
kama hiyo ambapo suluhu ni uzito lazima upungue, ni heri wachache
wakafa kuliko wangekufa wote!

Msiba wa mtu mmoja na mali kidogo zilizopotea kamwe hauwezi
kulinganishwa na maangamizi ya watu  wengi na mali nyingi zikipotea
kwa mara moja pamoja!

On 8/28/12, jonaskiwia39@gmail.com <jonaskiwia39@gmail.com> wrote:
> Boti ilipokuwa inataka kuzama abiria wakakubaliana watupe mizgo yao
> baharini! Mzung akatupa compyuta akasema kwe2 zpo tele. Mchna akatupa box la
> sim akasema kwe2 zpo tele. Mhindi akamwaga kiroba cha tambuu akasema kwe2
> zpo kibao. Mmasai aka2pa shanga akasema kwe2 zpo nying. Mchaga akawa anahaha
> hajui cha ku2pa cos kila ki2 chake alikionea uchungu, ghafla akamsukuma
> mmasai akasema, Yesu na Maria hawa wapo tele Arusha.
> Soure Masanja Makandamizaji fb
>
> Regards,
> Jonas
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment