Sunday 5 August 2012

Re: [wanabidii] Tanzania Malawi ziunde Shirika la Maendeleo la Ziwa Nyasa

Kuna matatizo mengi sana maeneo hayo ila Ziwa Nyasa na mali zake ndio chanzo cha yote haya ndio maana kwangu naonelea kuanzisha kamisheni ya kushugulikia tatizo hili ambalo mwisho wa siku itaundwa moja yenye kusimamia maslahi ya pande zote .

Hayo mengine sipendi sana kuyaongelea hapa hayahusiani na Mada hii haswa yanayohusu Udhaifu wa upande wetu Tanzania na hili ni tatizo la kiuongozi .

2012/8/5 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
Yona nadhani huna taarifa na tatizo lenyewe.

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Yona F Maro" <oldmoshi@gmail.com>
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Tanzania Malawi ziunde Shirika la Maendeleo la Ziwa Nyasa
Date: Sun, Aug 5, 2012 3:11 am

Ndugu zangu

Kufuatia kutokuelewana kati ya Tanzania na Malawi Juu ya ziwa nyasa na
maeneo mengine ya karibu na eneo hilo haswa yanayozunguka ziwa nyasa ,
ni vizuru tujifunze kutokana na baadhi ya nchi zilizofanya katika
kushiriki pamoja katika utumiaji wa rasilimali za mito , maziwa ,
bahari na rasilimali nyingine zilizoko mpakani au zinazounganisha nchi
hizo .

Kwa hapa Afrika haswa maeneo ya maziwa makuu kuna

Nile Basin Initiative  http://www.nilebasin.org kwa ajili ya maendeleo
ya mto nile na nchi husika ambapo mtu huo umepita ingawa kuna baadhi
ya nchi hazijasaini baadhi ya mikataba yake .

lake victoria basin commission www.lvbcom.org kwa ajili ya maendeleo
ya ziwa Victoria kwa nchi za jumuiya ya afrika mashariki haswa .

Lake Tanganyika Authority http://lta.iwlearn.org/ kwa ajili ya
maendeleo ya ziwa Tanganyika

Katika kamisheni zote za maendeleo tajwa hapo juu Tanzania ni mshiriki
na mtendaji katika shuguli za kila siku za maziwa hayo , kwa uzoefu
huu tulioupata katika maeneo mengine pia tunaweza kuupeleka kwenye
ziwa nyasa na maeneo mengine ya bahari ambayo yanaweza kuleta utata wa
kimipaka na kutoelewana kwingine kwa siku zijazo .

Tukumbuke watu wanataka maendeleo na sio porojo na vitisho , jamii
nyingi haswa za kiafrika zimekuwa zinaishi pamoja kwa kipindi kirefu
hata wakoloni walivyoweka mipaka yao bado jamii hizo ziliendelea kukaa
pamoja kwa kutumia jumuia kama za afrika mashariki , sadc , comesa na
ecowas  .

Mungu ibariki Afrika .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment