Thursday 9 August 2012

Re: [wanabidii] TAARIFA MPYA YA SSRA KUHUSU KUSITISHWA KWA FAO LA KUJITOA

Umesema kweli novat, ni jambo la aibu sana, Sheria haijawa exercised inabadilishwa. 

Moses Msofe
0756 260 321

On 2012 Ago 9, at 13:11, SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com> wrote:

Mi najaribu kufikiria mbali zaidi kuwa hawa wabunge wetu wanatakiwa kutujibu juu ya masula wanayotolea maamuzi au kutungia sheria ambayo ni kunyume na maslahi ya waajiri wao (wananchi)
Hata kama watabadilisha wana Kesi ya kujibu. Nasema hili kwasababu yanaonekana kuanza kuwa mazoea ya Wabunge kujifanyia mambo Kiholela, mfano mwingine ni ule wa Sheria ya marekebisho ya Katiba, sheria ya Bodi ya Mikopo, ya Vyombo vya Habari,ya ubinafsishaji, na nyinginezo kama hizo.
Mungu atunusuru.
Novat

From: Demetria Kalogosho <demetria.kalogosho@tgnp.org>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, August 9, 2012 12:10 PM
Subject: RE: [wanabidii] TAARIFA MPYA YA SSRA KUHUSU KUSITISHWA KWA FAO LA KUJITOA

Jamani karibuni Mkatoe mada hii muhimu kwa jamii hapa TGNP ili watu welimike hasa wasio na uwezo wa kufikia na kutumia mitandao ni vizuri kuelimishana maana ufahamu waweza kumuokoa mtu
 
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of mwemezi makumba
Sent: Monday, July 30, 2012 4:07 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA MPYA YA SSRA KUHUSU KUSITISHWA KWA FAO LA KUJITOA
 
Dr Gabagambi umenena vema kuhusu subira, ni vema kutafakari jambo kabla ya kulitolea uwamuzi na hiyo inahitaji muda! lakini SSRA hawawezi kuwa sahihi katika hili kwa kuwa hiyo ni fedha ya mwanachama na hayo ni maisha yake! hakuna mtu anaekuja nyumbani kwako na kutoa masharti juu ya jinsi unapaswa kutumia kipato chako. Fedha halali yao ni kodi wanazochukua, wakitaka kuweka masharti ya namna hiyo ni lazima wabadirishe mfumo wa upatikanaji wa fedha hizo za pension...mathalani kama serikali inajali watu wake fedha ya pension ichangie yenyewe na waajiri, mwanachama asikatwe! hapo wanaweza kuwa na amri juu ya lini wapi na jinsi gani mwanachama anatakiwa kutumia fedha yake. Lets call a spade a spade Dr, hivi do you real believe kuwa uwamuzi huo umefanyika out of people's

concern? unafikiri ni kwa manufaa ya wananchi? wangekuwa wanajali wananchi wenzao wangeweza kujipatia maisha ya kifahari wakati walimu mishahara ya kutupa...wangeshindwa kusimamia rasilimali za nchi vizuri ili kuwasaidia wananchi wao? wangechezea bandari kiasi cha kuzalisha kidogo kiasi hicho, wangetafuna pesa na kujigawia vitaru katika mbuga za wanyama? wange kubali kuingia ubia wa 10% katika makampuni makubwa na mashirika ya umma na kuyasaidia kukwepa kodi?
Ambacho amkubali watu wa aina yako na walioserikalini ni kuwa watanzania wanauwezo wa kufikiri na kuamua mambo yao ndio maana kila kukicha mnajifanya kuwachagulia maisha watakayoishi...mara lazima muungane, mara tunawatunzia pesa zenu, mara mtakuwa na vazi la taifa, mara, mara mara........kubalini kwamba tunaakilia na tunaweza kusimamia maisha yetu bwana! na tatizo hili bahatimbaya linakwenda mpaka kwenye malezi ya watoto wetu, hatuwaamini kama watakuwa na tunawajengea malezi tegemezi matokeo yake mpaka kazi tunawatafutia, wake tunawozesha na mwisho tunawarithisha mpaka nafasi zetu...wapi na wapi.
From: Damian Gabagambi <gabagambi2005@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, July 30, 2012 3:22 PM
Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA MPYA YA SSRA KUHUSU KUSITISHWA KWA FAO LA KUJITOA

Tujipe muda wa na tuweke nguvu kidogo katika kutafakari suala hili, nadhani SSRA wako sahihi.
 
Dr. D. M. Gabagambi
 
From: Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, July 27, 2012 6:52 PM
Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA MPYA YA SSRA KUHUSU KUSITISHWA KWA FAO LA KUJITOA

Hawa jamaa hawaelewi somo. KIPENGELE CHA KUZUIA WANACHAMA KUJITOA
KIONDOLEWE KWENYE SHERIA MARA MOJA. Hayo mafunzo yatolewe baada ya
hilo kufanyika.

2012/7/27 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>:
> Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),
> inapenda kutoa ufafanuzi juu ya mafao ya kujitoa. Ufanunuzi huu
> unakwenda sambamba na taarifa mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa na
> vyombo vya habari na kuleta mkanganyiko miongoni mwa Wanachama na
> Wadau wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii.
>
> Kufuatia hali hiyo, Mamlaka inatoa ufafanuzi ufuatao:
> - Marekebisho kuhusu kusitisha fao la kujitoa yamefanyika ili kutimiza
> lengo na madhumuni ya Hifadhi ya Jamii ambayo ni kuhakikisha kuwa
> mwanachama anapostaafu anapata mafao bora yatakayomwezesha kumudu hali
> ya maisha uzeeni.
>
> - Ni kweli kuwa Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na Sheria
> ya Mamlaka zimefanyiwa marekebisho. Mchakato wa marekebisho hayo
> ulihusisha wadau kwa kuzingatia utatu yaani wawakilishi kutoka Vyama
> vya Wafanyakazi, Chama cha waajiri pamoja na Serikali.
>
> - Kwa kutambua tofauti ya ajira, tofauti ya mazingira ya kazi, tofauti
> ya sababu za ukomo wa ajira, na umuhimu wa Mwanachama kunufaika na
> michango yake wakati angali katika ajira, Mamlaka inaendelea na
> mchakato wa kuandaa miongozo na kanuni za mafao ambazo lengo lake ni
> kuboresha maslahi ya Wanachama. Miongozo na kanuni hizo zitajadiliwa
> na Wadau wakiwemo Wafanyakazi, Waajiri na Serikali kabla ya kuanza
> kutumika.
>
> - Kufuatia kuanza kutumika kwa Sheria hiyo maombi mapya ya kujitoa
> yamesitishwa kwa kipindi cha miezi sita hadi pale miongozo
> itakapotolewa ili kuiwezesha Mamlaka na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
> kutoa elimu kwa Wadau.
>
> - Tangazo hili halitowahusu Wanachama waliojitoa kabla ya tarehe
> 20/07/2012.
> - Mamlaka inakanusha vikali kwamba, sitisho la fao la kujitoa si kwa
> sababu za Kiserikali au kwa sababu mifuko imefilisika. Tunapenda
> kuwahakikishia kwamba Mifuko yote ipo thabiti na michango yote ya
> Wanachama ipo salama.
>
> - Hivyo, Mamlaka inawaomba Wanachama na Wadau wote wa Sekta ya Hifadhi
> ya Jamii kuwa na utulivu wakati mchakato huu ukiendelea kwa lengo la
> kulinda na kutetea maslahi ya Mwanachama.
>
> Imetolewa na kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji
> SSRA-Makao Makuu
>
> --
> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Ezekiel J. Massanja
Director of Finance and Administration
Legal and Human Rights Centre
P.O. BOX 75254
Dar es Salaam

Tel: +255 22 2773038, 2773048
Fax: +255 22 2773037
Cel: +255 754 283593

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment