Wednesday 8 August 2012

Re: [wanabidii] Stop UNESCO From Influencing Uranium Mining in Tanzania

Bwana ezekiel unajua waswahili husema akutukanaye hakuchagulii tusi,hatuna haja ya kujadili hoja moja wakati kuna hoja zingine nzito zinazohusu taifa letu,tujadili zote kwani mawazo na michango yetu ndo inaijenga Tanzania. Wakenya mi nawafahamu na nimekaa kidogo kule and for real ni nchi ambayo baada ya miaka kumi ijayo itakuwa na vijana wengi MACHIZI KUTOKANA NA BIASHARA YA MIRAA inayofanyika takribani mini yote ya western kenya na pande zote za kenya na madawa haya wengi kenya wanayatumia kama biashara halali kabisa na wanauza uingereza,hivyo kutokana na mchanganyiko huu na ajira kuwa tete vijana wengi wanatumiwa na kuanzishiwa NGOs zenye kujifanya kutetea maslahi ya Tanzania kumbe ni kujitetea na kujinufaisha wao,kwa miongo mingi walitumia uzembe na utothubutu wa Watanzania kunufaika kiuchumi na raslimali zetu,hii iko wazi na wengi wanajua,michezo hii wamekuwa wakiifanya kwa njia tofauti tofauti,na sasa wataakikisha wanarobe mashirika ya kimataifa yatawapatia fedha kwa visingizio vya kutetea mazingira ya Tanzania wakati hawaishi kwetu,kujinufaisha na kuzuia juhudi za Tanzania kuwa THE ECONOMIC GIANT OF EASTERN AND CENTRAL AFRICA,wanajua wao kwa sasa ndio wanaongoza but upinzani wetu unawashitua na watafanya kila mbinu kuturudisha nyuma ili tuwe nyuma yao kila siku na waendelee kutupiku,hata ukienda mugumu kwenye hotel kama VIPs utawakuta wako hapo kama walinzi na sekta nyingi wamekamata na watajifanya ni wakurya na wajaruo wa Tarime sasa wana vitambulisho vya kupigia kura and soon watajiandikisha kwenye mchakato wa vitambulisho vya Taifa,hawa hawa watajifanya watanzania na kujifanya ku support wakenya kwa mipango hii ya wizi na utakuta wengi watawaamini,mimi kamwe siwezi kuvumilia wizi huu,mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, SASA NAIROBI INATOSHA TUACHIENI KILICHOCHETU,MNAZO LAKE NAKURU,MOUNT KENYA,NAIROBI PARK,AMBOSELI,MASAI MARA-NA MACHIMBO KIDOGO YA DHAHABU HUKU NYANZA-MIGORI,SUNA NA KEHANCHA -fanyieni kazi hizo hata kama hazitoshi ndo nchi mliyopewa na MUNGU.

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, August 8, 2012 11:41 AM
Subject: [wanabidii] Stop UNESCO From Influencing Uranium Mining in Tanzania

Inatakiwa iwe hivyo , lakini ujue kampeni hizi zinavyoanzishwa zinaenda kwa jina la mkenya , nchi ya Kenya and so on , kwa kampeni hizi msishangae mashirika au NGO mbalimbali zikifunguliwa kenya kwa ajili ya kuja kufanya kazi tanzania kwenye suala hili na mengine yanayohusiana na hayo .

2012/8/8 <ezekielmassanja@gmail.com>
Nimesoma msgs hapa wiki iliyopita na hii kuhusu majibizano makali na Wamalawi. Leo naona yanaanza kwa Wakenya sijui kesho yatakuwa kwa akina nani. Kwa nini tusijadili tu hoja badala ya kusema Wakenya au Wamalawi.

Kwanza mnaamini kwamba Wakenya ndilo tatizo letu kwenye madini na raslimali zingine kweli?

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
From: Abraham Akyoo <aaakyoo@gmail.com>
Date: Wed, 8 Aug 2012 11:30:38 +0300
Subject: Fwd: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Wanafikiri Watanzania wa sasa ni wale waliyowachezea kwenye trade fare Ulaya miaka ya 1970-80,90, na kusema mlima kilimnjaro uko kwao pamoja na Serengeti, Kutumia BACK DOORS kuuza Tanzanite na kusema imetoka kwao. BIG NOOOO, hawa jamaaa ni (MOTIVATIONAL SPEKERS MATAPELI) ukiwabana vizuri hawana lolote. UKIFANYA NAO BIASHARA MARA MOJA MARA MBILI HATA KAMA NI YAKUUZA NYANYA KAA CHOJO WATAKUPIGA. UKIWASHTUKIA WANAKUJA NA STORY MINGI HAWATAKIWI KUPEWA NAFASIHATA KIDOGO.
 
---------- Forwarded message ----------
From: <ezekielmassanja@gmail.com>
Date: 2012/8/8
Subject: Re: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com

Kwa mtazamo wangu huu si wakati mzuri kuendelea kuchima raslimali zetu hizi tulizopewa na mwenyezi MUNGU. Tuziache kabisa kwani viongozi wa sasa hawafai, uwezo hawana na pia hawana nia thabiti kuendeleza taifa hili badala ya kujiendeleza wenyewe binafsi na familia zao.

Mwenye mfano mzuri wa kile uongozi wetu wa sasa ulichofanya vizuri upande wa mali asili zetu kuona kwamba zinanufaisha watanzania aulete.

Ni mawazo yangu tu.

Massanja
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
From: Christian Nicholas <kristian_nick@yahoo.com>
Date: Tue, 7 Aug 2012 12:26:59 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Nadhani Tanzania sasa tunataka kuchezewa,mheshimiwa Rais nakuunga mkono kwa juhudi za kuhakikisha raslimali za
Tanzania zinawanufaisha watanzania,kenya hawana raslimali na wivu na hasira za kijinga ndo zinazowasumbua,tupingane sawa kwa siasa zetu,lakini inapokuja kwenye swala la raslimali za Tanzania Tumwache Rais wetu atupiganie na tumuunge mkono kwa juhudi hizi,nani atashughulika na raslimali zetu kama sio sisi hata kama kuna wawekezaji? tuungane kupinga udhalimu wa kenya kwa kututisha na hoja za hovyo,kenya na wakenya tafadhali nyamazeni kimya mtuachie raslimali tulizopewa na MUNGU WETU,SASA TUMESOMA WATANZANIA ,TUNAWEZA KUSIMAMA,TUPO VIJANA TULIO TAYARI KUSHINDANA NA NAIROBI,KENYA NYAMAZENI MSITUCHEZEE,TUMENYAMAZA VYA KUTOSHA SASA INATOSHA,CHEZEENI NCHI NYINGINE SIO TANZANIA YA SASA,KIKWETE SONGA MBELE,watanzania wataka maendeleo tuko nyuma yako.siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Monday, August 6, 2012 7:02 PM
Subject: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

THIS IS WHAT URANIUM MINING IN AFRICA LOOKS LIKE

Do you see any tourists?

Do you see any wildlife?

The government of Tanzania is planning a Uranium mine in the Selous - one of the largest wildlife preserves in Africa. It is a continuing philosophy of environmental destruction for short term gain that includes the Serengeti highway, soda ash mining on Lake Natron and more.

One of our fans in Kenya has started this petition. Please take a minute to sign and share it.

http://www.avaaz.org/en/petition/Stop_UNESCO_From_Influencing_Uranium_Mining_in_Tanzania/?wsUqncb
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment