Sunday 12 August 2012

Re: [wanabidii] SERIKALI SIKIVU

Ndugu Method!

Soma vizuri mawazo ya wajumbe utaelewa kuwa mwaongea lugha moja!

Lugha ya picha imetumika

Au akili yako nyembamba haijaua methali?( Kiswahili darasa la nne , shairi " Karudi Baba Mmoja Toka Safari ya Mbali")

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: method francis ngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 12 Aug 2012 12:20:26 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] SERIKALI SIKIVU

serikali zote duniani zinafanya mambo mengi kama unakumbuka ata serikali za kikoloni zilifanya mengi tu ikiwemo kujenga shule, hospitali, barabara, reli, watu walipata ajira nk. Swali ni je ziliyoyafanya yaliwalidhisha wananchi kutokana na rasilimali na nafasi zilizokuwepo? Yote muliyoyaorodhesha ni sawa lakini je yapo kwa kiasi gani na ubora gani? ukifananisha na rasilimali zilizopo pamoja na matarajio ya umma?
Ni vyema tukawa  na references kabla ya kutoa orodha, ebu tueleze ni kipi kimefanywa kwa ubora zaidi ya kingine na kwa nini? Linganisha rasilimali zetu na tulichokifanya ndo tuweze kukubalina vizuri.
Munachokieleza ni sawa na mtu kumiliki eneo la ekari mia akalima eka moja tu na akajisifu kwamba anazalisha vizuri sana. Kwa mfano eleza kwamba katika barabara tumetumia bilioni kadhaa kujenga barabara za urefu kadhaa za kiwango cha lami na kiwango cha changalawe, na je hizo barabara zina ubora gani ukifananisha na viwango vya kimataifa. Pesa ulizotumia kujengea barabara hizo zinawiana vipi na ubora(value for money).
Uzuri ni kitu relative na ni muhimu kuwa na reference ili tuwe na lugha moja. Unaweza kujiona umevaa vizuri sana lakini baada ya kukutana na wengine waliovaa vizuri zaidi ukajiona ulichovaa ni cha hali ya chini. Kuna viashilia vingi kwamba hatukusanyi kodi zetu vizuri na kuwa na mikataba mibovu ya madini, tanesco, migomo ya madaktari, migomo ya walimu, maandamano ya wazee wastaafu wa afrika mashariki nk. Kama tunakusanya na kutumia vizuri tulichokuwanacho sidhani kama tungekuwa na utitili wa matatizo hayo.
Unaweza kuuza nyumba moja pekee uliokuwa nayo billioni na kumununulia mkeo kitenge na khanga na zilizobaki ukahonga nyumba ndogo na kunywea pombe. alafu mkeo akusifie kwamba umefanya vizuri sana katika swala la kumununulia nguo. Hilo litakuwa ni tatizo la uwezo wa kufikiri na kushindwa kufanya balancing kati ya faida na hasara. Ata ukimununulia sanduku zima la nguo hawezi kukuelewa bado, kwa vile cha maana ulichokifanya akilingani na fedha ulizokuwanazo

2012/8/10 mwemezi makumba <mwecoma@yahoo.com>
Serikali hii imefanya mengi jamani, hatuwezi kuyaorodhesha hapa tukamaliza. Isipokuwa ni vema tukaweka yale ya msingi na yanayoathiri watu wengi;-
Mfano;- Serikali Imeleta makocha wa mpira kutoka nje ya nchi na Tanzania sasa haikamatiki katika viwango vya soka.
            2. Imefungia magazeti yanayosema uongo kama mwanahalisi bila hata kulipeleka mahakamani au kufanyia kazi tuhuma zilizotolewa na gazeti hilo.
3. Imejitahidi kupanga bajeti inayowawezesha viongozi kwenda ulaya kufanya shoping ya nguo zao
Idadi ya magari imeongezeka mjini kiasi cha kusababisha foleni kutokana na kuwawezesha wananchi kuwa na kipato cha kutosha.
4. imejenga uhusiano mzuri na mataifa ya nje kwa kuyagawia vitalu vya kuwinda, kuwapa migodi ya madini kwa masharti nafuu.
5. imetupa uhuru wa kuongea na kujadili haya tunayojadili bila kuomba ruhusa kama ilivyokuwa...
6. imesimamia vizuri kwa haki na usawa ugawaji wa ardhi na matumizi yake kwa kila mwnanchi..dar sasa majumba kila sehemu yaliyopangwa vizuri...
nimengi jamani wengine mnaweza kuendelea...

From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, August 10, 2012 11:12 AM

Subject: Re: [wanabidii] SERIKALI SIKIVU
Imefanya mengi sana, ninayoyakumbuka ni:
  • Kujenga barabara ya Mtwara - bukoba - kwa tax.
  • Imekamata watu waliokula hela za epa.
  • Imeongeza wawekezaji hadi vijijini.
  • Imefanya uchaguzi wa halali na haki, tena kwa amani.
  • Imewafungulia mashtaka wahuni wanaotaka kuhatarisha usalama, kuanzia Arusha, Mwanza, singida hadi Mbeya.
  • Imefanikiwa kupunguza mfumuko wa bei na gharama za maisha.
  • Imefanikiwa kujitangaza kimataifa, hadi rais wa nchi kuuuubwa ya Marekani akaja hapa.
  • Imajaribu kulinda maslahi ya wafanya kazi wa afya na walimu pamoja na mafao ya uzeeni/ kustahafuu?
  • Imewafanya wananchi wakopesheke katika ma bank hata wakiwa na kagenge.
  • Imeingiza watu wengi katika ajira kwa kuongea na china ndugui zetu, waliotuletea pikipiki, amabazo wanazitumia kujiingizia kipato. Ingawa wapinzani wanawaambia wajipatishe ajali ili wakatwe miguu muhimbili.
Bado unataka zingine?
Mimi ni msaidizi maalumu wa naniiiii!--- On Thu, 8/9/12, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

From: Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] SERIKALI SIKIVU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 9, 2012, 11:32 PM

Hakuna hata moja.
2012/8/10 <http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=jonaskiwia39@gmail.com>
Kitigwa,kujali maslahi wa wabunge wetu kila wanapolalamika hali ya maisha kuwa ngumu
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
Date: Fri, 10 Aug 2012 08:55:11 +0300
Subject: [wanabidii] SERIKALI SIKIVU
Natafuta kitu cha kusifia ambacho Serikali yetu imekifanya kwa kiwango cha kuridhisha. Natamani kuandika japo post moja ya kusifia serikali yetu "sikivu"! Nisaidie kama unafahamu jambo lolote lililofanywa na serikali na liko katika kiwango safi! Ninataka kupumzika kukosoa tu, nichukue likizo kidogo, siku 2/3. Ye yote mwenye jambo LA KURIDHISHA lililofanywa na serikali anisaidie!
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
-- Nicomedes M. Kajungu

P.O.Box 7520, Mwanza.
Cel: +255 782 315 688,
        +255 767 48 32 71,
        +255 719 451 850

Email: http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=nicomedes76@gmil.com
Skype add: nkajungu
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment