Friday 10 August 2012

Re: [wanabidii] SERIKALI SIKIVU

Serikali hii imefanya mengi jamani, hatuwezi kuyaorodhesha hapa tukamaliza. Isipokuwa ni vema tukaweka yale ya msingi na yanayoathiri watu wengi;-
Mfano;- Serikali Imeleta makocha wa mpira kutoka nje ya nchi na Tanzania sasa haikamatiki katika viwango vya soka.
            2. Imefungia magazeti yanayosema uongo kama mwanahalisi bila hata kulipeleka mahakamani au kufanyia kazi tuhuma zilizotolewa na gazeti hilo.
3. Imejitahidi kupanga bajeti inayowawezesha viongozi kwenda ulaya kufanya shoping ya nguo zao
Idadi ya magari imeongezeka mjini kiasi cha kusababisha foleni kutokana na kuwawezesha wananchi kuwa na kipato cha kutosha.
4. imejenga uhusiano mzuri na mataifa ya nje kwa kuyagawia vitalu vya kuwinda, kuwapa migodi ya madini kwa masharti nafuu.
5. imetupa uhuru wa kuongea na kujadili haya tunayojadili bila kuomba ruhusa kama ilivyokuwa...
6. imesimamia vizuri kwa haki na usawa ugawaji wa ardhi na matumizi yake kwa kila mwnanchi..dar sasa majumba kila sehemu yaliyopangwa vizuri...
nimengi jamani wengine mnaweza kuendelea...

From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, August 10, 2012 11:12 AM
Subject: Re: [wanabidii] SERIKALI SIKIVU
Imefanya mengi sana, ninayoyakumbuka ni:
  • Kujenga barabara ya Mtwara - bukoba - kwa tax.
  • Imekamata watu waliokula hela za epa.
  • Imeongeza wawekezaji hadi vijijini.
  • Imefanya uchaguzi wa halali na haki, tena kwa amani.
  • Imewafungulia mashtaka wahuni wanaotaka kuhatarisha usalama, kuanzia Arusha, Mwanza, singida hadi Mbeya.
  • Imefanikiwa kupunguza mfumuko wa bei na gharama za maisha.
  • Imefanikiwa kujitangaza kimataifa, hadi rais wa nchi kuuuubwa ya Marekani akaja hapa.
  • Imajaribu kulinda maslahi ya wafanya kazi wa afya na walimu pamoja na mafao ya uzeeni/ kustahafuu?
  • Imewafanya wananchi wakopesheke katika ma bank hata wakiwa na kagenge.
  • Imeingiza watu wengi katika ajira kwa kuongea na china ndugui zetu, waliotuletea pikipiki, amabazo wanazitumia kujiingizia kipato. Ingawa wapinzani wanawaambia wajipatishe ajali ili wakatwe miguu muhimbili.
Bado unataka zingine?
Mimi ni msaidizi maalumu wa naniiiii!--- On Thu, 8/9/12, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

From: Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] SERIKALI SIKIVU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 9, 2012, 11:32 PM

Hakuna hata moja.
2012/8/10 <http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=jonaskiwia39@gmail.com>
Kitigwa,kujali maslahi wa wabunge wetu kila wanapolalamika hali ya maisha kuwa ngumu
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
Date: Fri, 10 Aug 2012 08:55:11 +0300
Subject: [wanabidii] SERIKALI SIKIVU
Natafuta kitu cha kusifia ambacho Serikali yetu imekifanya kwa kiwango cha kuridhisha. Natamani kuandika japo post moja ya kusifia serikali yetu "sikivu"! Nisaidie kama unafahamu jambo lolote lililofanywa na serikali na liko katika kiwango safi! Ninataka kupumzika kukosoa tu, nichukue likizo kidogo, siku 2/3. Ye yote mwenye jambo LA KURIDHISHA lililofanywa na serikali anisaidie!
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
-- Nicomedes M. Kajungu
P.O.Box 7520, Mwanza.
Cel: +255 782 315 688,
        +255 767 48 32 71,
        +255 719 451 850

Email: http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=nicomedes76@gmil.com
Skype add: nkajungu
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

0 comments:

Post a Comment