Wednesday 1 August 2012

Re: [wanabidii] RE: SEREKALI LEGELEGE

ITS OUR TIME TO EAT..MICHELA WRONG ON JOHN GITHONGO SAGA..KIKULACHO....MALIZIA...kama wanakamati wa tume ya bunge ya nishati pia wanakula..nini kilichobaki?na kama hawakemewi..kwa nini tusiamini wezi ni hao hao walinzi wa maslahi ya Taifa?Mungu tunusuru tu kupigane...

2012/8/1 Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
imepoteza uhalali wa kutawala

On 8/1/12, Africa j bwamkuu <jbwamkuu@gmail.com> wrote:
> Si kwamba Serikali ni legelege, it's lack of priority and imagination
> combined with greedy of its leaders.
>
> 2012/8/1 Ndabazi Kasebo <ndabazi@gmail.com>
>
>> Dola billioni 300?Mbona pesa nyingi sana?
>>
>> On 7/31/12, LENGAI OLDOINYO <lengai2000@yahoo.co.uk> wrote:
>> >
>> >
>> > Ndugu Watanzania
>> > sasa ndio naamini kuwa Serekali ya CCM inayoongozwa na CCM ni legelege
>> > na
>> > inabidi ijiuzulu au Watanzania tuitoe madarakani Mwaka 2015.
>> >
>> >
>> >
>> > Wakati
>> > tumerudishiwa fedha za RADA na kuwepo kwa taarifa rasmi kuwa kuna
>> viongozi
>> > wa Tanzania na Wafanya biashara wameficha kwenye
>> > Benki za Uswiss dola bilioni 300 kwa nini Kiongozi kama
>> > Rais asiamuru fedha hizo ziletwe zikaboresha mishahara ya Madaktari na
>> > Walimu.
>> >
>> >
>> >
>> > Mimi napata mashaka kuwa
>> > huenda viongozi wanaotajwa ni hao hao wenye madaraka makubwa
>> > Serekalini.
>> > Sekta
>> > ya Elimu na Afya sio za kufanyia mzaha. Kwa wenzetu kuliko wajenge
>> > mabarabara
>> > ya Lami nchi nzima ni bora watu wawe na afya na elimu nzuri. Hapa kwetu
>> > tunakimbilia kujenga mabarabara ili wawekezaji wanaolifilisi Taifa na
>> > Wakubwa
>> > wenye biashara za Malori wapate njia za kutumia.
>> >
>> >
>> >
>> > Aubu kubwa sana. Serekali iache
>> > kutishia Wafanyakazi. Iwalipe kama inavyolipa Wabunge. Wafanyakazi wana
>> > hasira.
>> > Watu wanaacha ualimu wanakimbilia ubunge. Kisa wabunge wanalipwa zaidi.
>> > Watanzania
>> > inabidi kwa pamoja tuchukue hatua za haraka sana. Lazima tupewe
>> > matumizi
>> ya
>> > fedha za
>> > rada, epa, kwa maandishi na dola bilioni 300 zirudishwe.
>> >
>> > Mkereketwa
>> >
>> > Lengai Ole
>> > Letipipi
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>
> --
> Africa Jumanne Bwamkuu
> Information and Communication Technology Advisor/Trainer
> Information Reseach & Advisory Services, ILS
> Royal Tropical Institute (KIT), Amsterdam, Netherlands
> Tel. +31 (0) 20 568 8311
> Mob: +31 (0)6 443 67051
> Alternative e-mail: a.bwamkuu@kit.nl
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment