Wednesday 1 August 2012

Re: [wanabidii] RE: SEREKALI LEGELEGE

Si kwamba Serikali ni legelege, it's lack of priority and imagination combined with greedy of its leaders. 

2012/8/1 Ndabazi Kasebo <ndabazi@gmail.com>
Dola billioni 300?Mbona pesa nyingi sana?

On 7/31/12, LENGAI OLDOINYO <lengai2000@yahoo.co.uk> wrote:
>
>
> Ndugu Watanzania
> sasa ndio naamini kuwa Serekali ya CCM inayoongozwa na CCM ni legelege na
> inabidi ijiuzulu au Watanzania tuitoe madarakani Mwaka 2015.
>
>
>
> Wakati
> tumerudishiwa fedha za RADA na kuwepo kwa taarifa rasmi kuwa kuna viongozi
> wa Tanzania na Wafanya biashara wameficha kwenye
> Benki za Uswiss dola bilioni 300 kwa nini Kiongozi kama
> Rais asiamuru fedha hizo ziletwe zikaboresha mishahara ya Madaktari na
> Walimu.
>
>
>
> Mimi napata mashaka kuwa
> huenda viongozi wanaotajwa ni hao hao wenye madaraka makubwa Serekalini.
> Sekta
> ya Elimu na Afya sio za kufanyia mzaha. Kwa wenzetu kuliko wajenge
> mabarabara
> ya Lami nchi nzima ni bora watu wawe na afya na elimu nzuri. Hapa kwetu
> tunakimbilia kujenga mabarabara ili wawekezaji wanaolifilisi Taifa na
> Wakubwa
> wenye biashara za Malori wapate njia za kutumia.
>
>
>
> Aubu kubwa sana. Serekali iache
> kutishia Wafanyakazi. Iwalipe kama inavyolipa Wabunge. Wafanyakazi wana
> hasira.
> Watu wanaacha ualimu wanakimbilia ubunge. Kisa wabunge wanalipwa zaidi.
> Watanzania
> inabidi kwa pamoja tuchukue hatua za haraka sana. Lazima tupewe matumizi ya
> fedha za
> rada, epa, kwa maandishi na dola bilioni 300 zirudishwe.
>
> Mkereketwa
>
> Lengai Ole
> Letipipi
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.





--
Africa Jumanne Bwamkuu
Information and Communication Technology Advisor/Trainer
Information Reseach & Advisory Services, ILS
Royal Tropical Institute (KIT), Amsterdam, Netherlands
Tel. +31 (0) 20 568 8311
Mob: +31 (0)6 443 67051
Alternative e-mail: a.bwamkuu@kit.nl
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment