Tuesday 28 August 2012

Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania

Mo;
Is okey and well noted kwamba ninyi mupo wengi, naomba unifahamishe na unipe manufaa ambayo mnahisi mnayakosa ya wingi wengi mpaka tunafika mahala tunatoleana macho na kugomea zoezi ambalo mnafahamu fika kwamba ni la maana sana katika maendeleo ya Taifa lenu?
Mana kuishia tu kudai kujua idadi ya waumini wa kila dini haisaidii na ni kupotezeana muda tu,lazima kuna mambo mnaona mnayakosa/mnadhulumiwa kwa kuwa ninyi ni wengi,yawekeni wazi tuyajue otherwise msilete porojo hapa.
 
Reuben

----- Original Message -----
> From: mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com>
> To: aliGaston Mbilinyi <mbilinyi.gaston49@gmail.com>
> Cc: wanabidii@googlegroups.com; Omar J. K. ? <ommyj@yahoo.com>; support@jamiiforums.com; Prof. Abdul Sherrif DEWJI/Zbar <asheriff@zitec.org>; Abdu Khamis Prof Bukoba <abdu_k@hotmail.com>; Ahmed Rajab Mentor/Internationa Veteran <ahmed@ahmedrajab.com>; Jenerali Ulimwengu UNYUMBU <ulimwengu@jenerali.com>; Comrade patriot & revolutionary s/c Msoma <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>; "aboud.abdalla@ishoejby.dk" <aboud.abdalla@ishoejby.dk>; Abdalah Hamis Mzalendo/Znz <hamisznz@gmail.com>; Salim Said Salim Veteran Z'bar Journalis <sssalim47@yahoo.com>; Salma Said Znz Veteran Investigative Journalist <salma.said@omantel.om>; Dr Ahmed Gurnah <gurnah@hotmail.com>; Dr Amur A.Xx Amur/Dsm <dramur2006@gmail.com>; Salum H. MSOMA <shimid2008@yahoo.com>; "matinyi@hotmail.com" <matinyi@hotmail.com>; "jabirgood@yahoo.com" <jabirgood@yahoo.com>; "Ali Saleh Senior Editor, BBC/Kiswahili" <ali.saleh@bbc.co.uk>; Ally/Veteran journalist/Z'bar SALEH <allysaleh126@gmail.com>; Ibrahim Moustafa Saleh/Kfp <silima55@hotmail.com>; SAAD SALEH YAHYA <sya@nbi.ispkenya.com>; "Neema binti Saleh Addis Abeba, Ethiopie" <neemabbc@yahoo.co.uk>; Abujaafar Saleh <abujaafar@hotmail.co.uk>; Ali Mhamed SAID Ndugu/Jirani <ally.said@gmail.com>; Scorpion <hilali.moussa@yahoo.fr>; Ghassany/Mohammed Khelef Mohammed <mohammedkhelef@talk21.com>; Othman Miraji Othman <mwinjuu@hotmail.com>
> Sent: Tuesday, August 28, 2012 9:08 PM
> Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>
> Kama nimekuelewa vyema ni kuwa wanokataa kuhesabiwa ni Waislam.
> Waislam hawajakataa kuhesabiwa ila wanakataa kuhesabiwa bila ya dini
> yao kutambuliwa katika dodoso.
>
> Serikali hofu yao ni kuwa ikiwa kipengele cha dini kitawekwa
> itabainika ukweli kuwa Waislam ni wengi.
>
> M
>
> On 28/08/2012, Gaston Mbilinyi <mbilinyi.gaston49@gmail.com> wrote:
>> "..........HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania" ni hii hapa
> "sisi
>> wengi wao wachache!"
>>
>> Swali: Kama ndivyo ujuavyo, kwamba nyie ni wengi wao ni wachache,
>> kwanini unakataa kuhesabiwa?
>>
>> On 8/25/12, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
>>>
>>> Dear Sheikh Mhamed,
>>> As always! Your presentation abides by the rules: both ethical and
>>> historical
>>> I wish further courage, wisdom & perserverance  in this vital quest
> for
>>> TRUTH,
>>> in the interest of all Eastern Africans: Christians, Cannibals,
> Muslims,
>>> Pagans , Agnostics, Atheists ...
>>> There's no avoidance on this issue, if we all have PEACE &
> HARMONY within
>>> communities of our
>>> Lands/Nations/States.
>>> With my warmest support & respect,
>>> Salim H. M. Bwanatosha
>>> Perpetual Student of History, Social Anthropology and Comparative
>>> Swahili.
>>> Paris, France
>>> +33-6-33071051.
>>>
>>>> Date: Sat, 25 Aug 2012 07:07:50 +0300
>>>> From: mohamedsaid54@gmail.com
>>>
>>>> Hii makala niliiweka jana usiku katika JF.
>>>>
>>>> Hawakuwa na ustahamilivu wameiondoa jana hiyo hiyo.
>>>>
>>>> Sasa sijui kama na wao ni sehemu ya mfumokristo kama TBC1, ITV,
> gazeti
>>>> la Mtanzania na mfano kama huo lililoghushi tangazo la sensa au
> vipi.
>>>>
>>>>
>>>> M.
>>>                        
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>

0 comments:

Post a Comment