Tuesday 28 August 2012

RE: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI

Lengao Oldonyo,
 
Huo ni wako uendawazimu tu. Hujui maana na madhara au matokeo ya unabii wako wa kijinga kama huo. Samahani kama natumia lugha kali. Ninachojua ni kwamba huo unabii wako hautaishia katika kuwadhuru hao unaowaita wajenga makazi yao kwa njia ya rushwa. Ujue moto huo ukiwaka nawe utakuchoma vilevile. Hautaishia kwa hao wahanga wako Polisi.
 
Issue ya kudai haki, si kweli kwamba kila kudai haii ni kudai haki. Kwingine ni kuzua fujo na vurugu zisizo na msingi kwa kisingizio cha kudai haki. Kila haki ina taratibu zake. Tatizo la kizazi hiki kinachoingia darasani ili tu kufaulu mitihani na kuja mitaani kutamba na magamba ndilo hili, kwamba kila kitu kije kwa njia mkato.
 
Kila kitu kina taratibu zake. Wajibu una taratibu zake hali kadhalika haki ina utaratibu wake. Kama hutazingatia utaratibu kwa kila jambo, utakuwa unaleta fujo. Ukikung'utwa unaanza kung'aka unadhulumiwa, unaonewa, unateswa, unanyanyaswa na upuuzi mwingine kama huo.
 
Kama shule haikukusaidia, basi kirungu cha polisi kitakusaidia ujue. Mnabaki kung'aka tu maneno matupu na kuwatanguliza wavuta bangi kuleta fujo katika jamii, mkiwadanganya kuwa wadai haki zao bila kufanya kazi. Yakiwakuta ya kuwakuta mnadai Dola imewaonea.
 
Mfike mahali mjifunze tena kuwa kila jambo na taratibu zake.

--- On Tue, 8/28/12, Demetria Kalogosho <demetria.kalogosho@tgnp.org> wrote:

From: Demetria Kalogosho <demetria.kalogosho@tgnp.org>
Subject: RE: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 28, 2012, 9:32 AM

Chumvi ikiisha haribika , utaitia nini ikolee????????????

 

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of heche suguta
Sent: Tuesday, August 28, 2012 9:41 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI

 

Mimi nadhhani bado tunayo nafasi ya kurekebisha hili jeshi la polisi, kweli kuna shida kubwa sana kwa hili jeshi la polisi, kubwa sana..huwezi amini askari wanashirikiana na vibaka mchana kweupe hilo nimeliona kwa macho yangu yani hapa inatakiwa lifumuliwe liundwe kimaadili...na ueledi..

 

From: Leila Abdul <hifadhi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: info@butmaninternational.com; sematangotours@cybernet.co.tz; serenacarhire@habari.co.tz; sgresort@yahoo.com; sss@habari.co.tz; tours@albatros.co.tz; mia@albatros.co.tz; info@chadema.or.tz; rassingida@pmoralg.go.tz; mhariri@habarileo.co.tz; advertising@dailynews.co.tz; jennie@albatros.co.tz; shidolya@yako.habari.co.tz; sssafaris@cybernet.co.tz; s-s.kolowa@web.de; worldtourstanzania@hotmail.com; unasemaje@radiofreeafricatz.com; mwananchipapers@mwananchi.co.tz; globalpublishers@dar.bol.co.tz; educate@intafrica.com; costech@costech.opc.org; info@satif.or.tz; info@satf.org; eotf@raha.com; eotf@cats-net.com; zitto@chadema.or.tz
Sent: Monday, August 27, 2012 11:29 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI

Wewe umeanza kuchoma hapo kwako ?

2012/8/27 LENGAI OLDOINYO <lengai2000@yahoo.co.uk>

Mimi nawaambia Watanzania wanaodai haki zao kwa kuandamana kuzichoma nyumba zote za Polisi walizojenga kwa rushwa kwenye makazi yao ya uraiani. Wakija kwa risasi nyie nunueni petroli mkachome nyumba zao. Hatuwezi tena kuvumilia tabia za Polisi wa Tanzania kukisaidia chama cha Mapinduzi CCM kutunyanyasa kwenye nchi yetu. Mambo yaliyofanyika kule Morogoro hatukubali ni lazima tulipe kisasi.

 

-CCM imeshindwa kutoa ajira kwa vijana.

-CCM imeweka wawekezaji kwenye ardhi yetu na kuwaruhusu kutupiga risasi.

-CCM imeshishwa kuboresha sekta ya elimu.

-CCM imeshidwa kuboresha sekta ya afya.

-CCM imetangaza vita kati ya jeshi la Polisi na raia wanaitaka ukombozi.

-CCM imehamisha fedha za nchi na kuzificha Ulaya.

-CCM imeviua viwanda vyote Tanzania na kunyima watu ajira.

-CCM imeua mashirika yote ya umma kwa kujiuzia wenyewe kwa bei za kutupa.

-CCM imejiuzia majengo ya umma kwa bei za kutupa.

-CCM imeuza mahoteli kwa wawekezaji kwa visingizio vya kushindwa kuziendesha.

-CCM imekula cha juu katika tenda za kapata wawekezaji wa gesi na mafuta.

-CCM inanyima watoto wa wanyonge mikopo ya elimu ya juu.

-CCM inakumbatia wezi wa mali za umma.

-CCM inachimba madini ndani ya hifadhi za Taifa.

-CCM imeuzia watu binafsi ardhi ya nchi kwa mikataba mibovu.

-CCM inauza wanyama hai ambao ni rasilimali za Watanzania.

-CCM inawinda wanyama na kuwaua kwa faida za wageni.

-CCM imeua shirika la reli Tanzania.

-CCM imeua shirika la ndege Tanzania.

-CCM inafanya biashara ya madawa ya kulevya.

-CCM inafanya biashara ya viungo vya ndugu zetu Alibino.

-CCM inanyanganya Watanzania ardhi kwenye makao yao ya asili bila fidia.

-CCM wanaiba kura kwenye chaguzi mbali mbali.

-CCM wanapenda chaguzi zirudiwe ili kupata mwanya wa kuibia Watanzania.

-CCM wanajitibu nje ya nchi kwa gharama kubwa na kuwaacha masikini wakifa.

-CCM wametoa mikataba mibovu katika sekta ya madini.

-CCM wanaingiza bidhaa ambazo sio za viwango nchini.

-CCM inaingiza madawa ya binadamu yaliyoisha mda wake.

-CCM inatoa maagizo ya kuwaua watu wanaosimamia haki za Wafanyakazi.

-CCM wanatembelea magari ya kufahari lakini watoto wa walipa kodi hawana madarasa na madawati.

-CCM haitaki Demokrasia Tanzania kwa sababu viongozi wake ni Mafisadi.

-CCM wanafanya biashara kwenye maofisi ya umma.

-CCM inaongoza kwa kutoa ahadi za wongo kwa wapiga kura.

 

Mimi sasa najiuliza Watanzania wakitoka kudai haki zao za msingi kuna tatizo gani. Kule Ulaya watu wakiandamana kwa amani wanapewa ulinzi na Jeshi la Polisi. Hapa Tanzania jeshi linatumika kuwaua watu wanaodai haki zao. CCM inatumia Jeshi la Polisi kuwanyima Watanzania haki ya kudai huduma muhimu. Tunalipa kodi za kazi gani kama hatupati huduma badala yake Viongozi wanaenda kuficha fedha ulaya. Nalitangazia Jeshi la Polisi kuwa kuanzia leo. Kila raia mtakayempiga risasi tutachoma nyumba zenu zote uraiani kwa kutumia petroli. Viongozi wanatuibia nyie mnawalinda sisi vijana hatukubali hilo.

Mkereketwa

Lengai Ole Letipipi.

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment