Friday 24 August 2012

Re: [wanabidii] Mwanahalaisi na islamic media

Hapana, wanahaki ya kupinga sababu wanazo na serikali hawataki kuzijibu zaidi .ni kutoa vitisho...

On Aug 24, 2012 2:02 PM, "Matthew Mdidi" <matthew.mdidi@yahoo.com> wrote:
Ulichoandika ni kweli tupu. Kuna gazeti linaitwa An-nuur huwa linaandika "with impunity" mambo ambayo kama yangeandikwa na gazeti lingine kama Mwananchi au Tanzania Daima, wahariri wake wangeshapelekwa Mahakamani siku nyingi sana!!!  
 
From: mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, August 24, 2012 1:33 PM
Subject: [wanabidii] Mwanahalaisi na islamic media

Wakati Serikali ikisisitiza kuwa sensa ni lazima, vyombo vya habari vya kiislam, vinashiriki kuipinga ,redio zimekuwa zikifanya hivyo na hata leo siku mbili kabla ya sensa magazeti yote ya kiislam yametoka nahabari zinazolenga kuikwamisha lakini hatujasikia serikali ikichukua hatua kama za Mwanahalisi.

kwa kuwa sirikali inasema itamshughulikia mtu yeyote atakayekwamisha Sensa nitashangaa kama magazeti ya leo hayatapewa onyo au kuchukuliwa hatua yoyote.
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
0 comments:

Post a Comment