Thursday 9 August 2012

RE: [wanabidii] Mtuhumiwa Kesi ya Kumteka Dr Steven Ulimboka Yuko Nje

Hili nalo neno


From: Happiness Katabazi <katabazihappy@yahoo.com>
Sent: Thursday, August 09, 2012 7:11 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Mtuhumiwa Kesi ya Kumteka Dr Steven Ulimboka Yuko Nje

Jamani ifike mahala watanzania tuache hii tabia ya kujadili na kuhuku mambo bila ya kuwa na ushahidi.mnaosema wote huyo mtuhumiwa Joshua yupo nje kwanza hata sura yake hamuifahamu na wala mahakama  hata siku moja hatujaowana kwenye mahakama ya hakimu mkazi kisutu mkija kuudhulia kesi yake na wala hamfahamu kesi hiyo inasikilizwa kwa hakimu gani wala anaishi gereza gani huyo mshitakiwa.
 
Ukweli ni huu anaishi gereza keko na kesi yake ilikuja Agosti 7 mwaka huu kwa ajili ya kutajwa na upelelezi bado haujakamilika na imearishwa hadi septemba.
Kwahiyo ni vyema na haki hii mitandao yetu ya mawasiliano tukaitumia vyema kuhabarishana habari tulizokuwa na ushahidi zao.huyo aliyeibua uzushi huu kuwa mtuhumiwa yupo nje akae akijua anaipaka matope mahakama na magereza na yeye mwenyewe.kumbukeni mitandao hii kuna wananchi wanaamini wakisoma habari zinazotundikwa humu ni sahihi,sasa kama kutakuwa na watu wanaoibua taarifa wasizonaushahidi watakuwa hawafanyi vyema.
ni vyema kabla ya kuingiza taarifa humu mtu anayeingiza taarifa hiyo kwanza ajilidhishe kuwa ni sahihi ama sivyo tutakuwa tukijenga jamii ya watu wenye tabia ya kuzuia mambo ya uongo

--- On Thu, 8/9/12, gm26may@gmail.com <gm26may@gmail.com> wrote:

From: gm26may@gmail.com <gm26may@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mtuhumiwa Kesi ya Kumteka Dr Steven Ulimboka Yuko Nje
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 9, 2012, 2:38 AM


Watamkamataje mtu wao?

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 9 Aug 2012 02:29:02 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Mtuhumiwa Kesi ya Kumteka Dr Steven Ulimboka Yuko Nje

Huu ni usanii, mbona hawajamkamata Msangi aliyetajwa laivu na Dr. Uli?? Hahahaaaa!



--- On Sun, 7/22/12, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote:

From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mtuhumiwa Kesi ya Kumteka Dr Steven Ulimboka Yuko Nje
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, July 22, 2012, 8:18 AM

huyu ndiye yule wa kanisani ama?

2012/7/22 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
Mtuhumiwa namba moja wa kesi ya kumteka dr ulimboka steven anayeitwa
dindayi sayi mkazi wa Kahama yuko nje kwa dhamana baada ya kutoa
milioni 2 ..

Kijana Dindayi Sayi alikua anashikiliwa kituo cha Kati Dar es salaam .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.





--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website:


[The entire original message is not included]

0 comments:

Post a Comment