Saturday 18 August 2012

Re: [wanabidii] MSAADA TUTANI.

 
Jaribu kupiga 0766447444 ya jamaa yangu anafanya kazi huko.
Ameridhia nikupe namba yake ili umuulize unachotaka kama
atakuwa na msaada.
 

From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, August 18, 2012 12:28 PM
Subject: [wanabidii] MSAADA TUTANI.

Wakuu.

Naomba mwanabidii mwenye mawasiliano au wanabidii waliooko mogodi wa
dhahabu wa Buzwagi wanisaidie mawasiliano ya kitengo cha ajira
nimeingia kwenye tovuti sijaiona.

Kuna kazi walizitangaza kwenye Dailynews lakini anuani ya barua pepe
waliyotoa kwa ajili ya kutuma maombi ina mushkeri wa kupokea barua
pepe.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
+255 (0) 713 (784) 24 67 64.

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment