Wednesday 1 August 2012

Re: [wanabidii] MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA

Hili nalo neno, maana kwenye matangazo ya mfano wa vitambulisho kuna picha. Nami naanza kufunguka kwasasa hivi hili mbona hawaliongelei kabisa!!! Labda kwakuwa wana Mapesa mengi hasa yale ya PPF, NSSF watachota na kuanza zoezi upya la kupiga picha.

Novat

From: "gm26may@gmail.com" <gm26may@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com; Wanazuoni@yahoogroups.com
Sent: Wednesday, August 1, 2012 11:22 AM
Subject: Re: [wanabidii] MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA

Na wakati tunajiandikisha kuomba hivyo vitambulisho mbona hatukuambatanisha na picha?

Au vitambulisho hivi vitakuwa havina picha?

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 1 Aug 2012 10:35:31 +0300
To: <Wanazuoni@yahoogroups.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA

2012/7/31 Misha <envmisha@yahoo.com>
 
Ndugu zangu natumaini mu wazima popote pale mlipo.

Hili zoezi la utoaji vitambulisho, linaruhusu na wageni kupata vitambulisho? Maana  wameambiwa wajiandikishe:

- Je,  kama wanapata vitambulisho wanakuwa ni kama raia ama?
- Je,  vitambulisho watakavyopata vitakuwa ni vya muda kulingana na mikataba yao ya kazi ama?

Wasalaam

MM
__._,_.___
Recent Activity:
.

__,_._,___

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment