Thursday 2 August 2012

Re: [wanabidii] Maji yashazidi unga Olimpiki

Mzee Matinyi, hata tukiomba maombi ya kushusho moto kama maandalizi yalikuwa poor hakuna maana.

2012/8/2 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Jamani,
Tuzidisheni maombi ili walau tupate hata medali ya mbao - mambo magumu huko Landani.
Hakuna njia nyingine ya kutuokoa isipokuwa sala tu kwa kuwa kujipanga kama taifa hatuwezi katika michezo, siasa, usafiri majini, n.k.
Ni mwendo wa sala tu ndio umebaki.
 
Tanzania hali mbaya Olimpiki  Send to a friend
Wednesday, 01 August 2012 21:31

Imani Makongoro
NDOTO za Tanzania kutwaa medali kwenye michezo ya Olimpiki zimeendelea kuyeyuka baada ya jana, mwogeleaji mwingine, Magdalena Moshi kushindwa kufurukuta.
Magdalena ameshindwa kupenya katika mchujo wa mita 100, free style hatua ya makundi baada ya kutumia muda wa dakika 1:05:80.
Magdalena anakuwa mchezaji wa tatu wa Tanzania kuondolewa katika hatua za awali za michezo hiyo inayofanyika London, England.
Wengine waliong'olewa mapema ni bondia Seleman Kidunda na mwogeleaji Ammaar Ghadiyali.
Tegemeo pekee la Tanzania kwenye Olimpiki sasa limebaki kwa wanariadha Mohamed Msenduki, Faustin Mussa na Samson Ramadhan

http://www.mwananchi.co.tz/michezo/18-michezo-mingine/25234-tanzania-hali-mbaya-olimpiki

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment