Friday 3 August 2012

Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili

Walimu wastahafu wapo,wengine kama DSM tumewakuta katika tafiti ndio wanaofagia barabara wakiwa wameajiriwa na makampuni au na NGO/CBO zinazofanya usafi wa mji. Wanafagia na kuzoa taka-michanga vumbi kibao huku kavaa ndala huamini kama alikuwa mwalimu yupo ktk adha hiyo na mshahara wake kuupata tabu, akigongwa na gari hauguzwi na kampuni, balaa. Graduate toka high school wapo, universities pia wapo wengi hawana ajira bwerere wanakufa njaa sasa hivi.Vipi wanajeshi wastahafu ambao wakifundisha majeshi mbinu za vita, secondari na vyuo vya jeshi watashindwa kufunsiha? Mbona hata hapo walimu walipokuwepo wakifundisha utata wa mwanafunzi kuingia sekondari akiwa hajui kusoma na kuandika ulikuwepo? sasa hao wasiohitimu ualimu watawasotesha hivyo hivyo mradi watakapoamua kurudi darasani kama walivyofanya doctors kurudi kazini bila au na ufanisi.Mungu ausaidie walimu waone kama wazazi kuwa nao watoto wao wasomao wanakosa masomo ili warudi darasani pamoja na matatizo yao, wajikanye na kujitolea zaidi.

From: Fred Hans Kipamila <fhkipamila@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 3 August 2012, 15:30
Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili
kama walimu watakaidi amri hiyo kitatokea nini? watawafukuza wote kwa siku moja? kama watawafukuza itakuwaje kwa watoto wetu?

--- On Thu, 8/2/12, Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com> wrote:

From: Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, August 2, 2012, 10:56 PM

Mi nadhani wanapewa hivyo vyeo kwa madhumuni hayo; kutimiza matakwa ya serikali! LKK
 
From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, August 2, 2012 9:45 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili
Mahakimu hawajui dhiki za watumishi wengine kwani wao hula rushwa. Hawana dhiki na ndo maana wanakandamiza wanyonge wadai haki. Wala rushwa wakubwa na ndo maana wanasheria wenzao wanatuingiza kwenye mikataba mibovu. Tuna mahakimu wabovu na wanasheria wabovu. Ndo maana serikali inakimbilia huko, yaani kwa wabovu wenzao.

--- On Thu, 8/2/12, SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com> wrote:

From: SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 2, 2012, 11:27 AM

Ambaye hakutarajia matokeo ni mgeni wa utendaji wa kaya yetu. Jana hukumu ilishatolewa na mkuu wa kaya.Leo nimefurahisha na Kauli ya kamanda Mgaya ailiyekumbusha kuwa kama serikali haina uwezo 100% basi iseme inaweza asilimia ngapi! Hii ni logical thinking.Walimu turudi kazini na kujipanga upya----------Sent from my Nokia phone------Original message------From: Tracy John Kimambo <http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=tracykwetu@gmail.com>To: "Wanabidii" <http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>Date: Thursday, August 2, 2012 8:52:57 AM GMT-0700Subject: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni BatiliMahakama ya kazi imetoa hukumu yake leo kwa kutaka walimu waliokokwenye mgomo kurudi makazini na kwamba mgomo wao ni batili .-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

0 comments:

Post a Comment