Friday 3 August 2012

Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili

Kama ni hivyo serikali isiumize kichwa kutafuta mchawi anaefanya watoto wafaulu bila kujua kusoma na kuandika.
 
bali itegemee kupata wataalamu wapya kwa mfano watakao jua hesabu za 4 + 5 = 45, 26 - 6 = 2.
 
2012/8/3 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Hnry,

Sina la kuongeza, ndivyo itakavyokuwa. Nimefundisha kwa takribani mika 15, kinachofanywa na serikali ni mauaji.

Vifo kutokana na migomo ya madaktari inaonekana, ya kimwili, lkn kwa walimu wanaua akili za watu!!

Tutapokubaliana nao taifa litakuwa kaburini kwani sasa liko ICU.

Felix

2012/8/3 Henry John <mwakigali@yahoo.com>
Angalieni hii,
Kitaeleweka tu, vinginevyo itakuwa hivi:
a) 1+1 =13
b) 73-3=7
c) 3*3=333
d) 7*2=77
Na kwenye physics usiseme, kila formula itakuwa reciprocal.That's will be our plan B.Sipati picha kwa ndugu zangu wa histry, binadamu wa kwanza alikuwa kuku, twende kazi......

Mahakama zetu nazo inabidi ziangalie namnaya kutoa haki.Sasa zimekuwa za kuminya haki za wanyonge badala ya kutoa haki,haiwezekani kila kinachopelekwa mahakamani na serikali kuhusu migomo serikali ndo iwe sahihi mara zote, haiwezekani kuna kitu.

Haya madhara yatakayotokea kwenye tasnia ya elimu yataathiri taifa zima wala si kundi fulani la watu,jamani watanzania kuna haja ya kuungana na kuangalia upya hili swala la elimu kupromka kila siku.Walimu walishakata tamaa siku nyingi sana, huko mashuleni kumekuwa vichaka vya kulelea watto na wengine wanaenda kujifunza naman ya kutumia madawa ya kulevya na umalaya.Tutegemee matokeo mabaya zaidi ya haya tuliyoyashuhudia miaka ya karibuni.
Hili kundi inabidi liangaliwe upya na kuwe na mjadala mpana wa masilahi ya walimu na elimu kwa ujumla.Kama mkuu kasema hana uwezo wa kulipa 100% basi angesema ana uwezo wa kulipa asilimia ngapi,hata asilimia 30% ingesaidia kuwapa molari ya kazi hawa watu walikata tamaa kabisa kama si watumishi wa serikali.Nadhani hili ndilo kundi linalolipwa kidg sana ukilinganisha na makundi mengine ya wafanya kazi wa serikali.

Tanzania ni yetu sote ingawa sasa watawala, bunge na mahakama wanaona ni yao peke yao na wataamua kulipwa vyovyote watakavyo na huku mahakam zikiendelea kutukandamiza na kuminya haki za walalahoi wala si walalahai.

Enyi viongozi wetu machozi ya wananchi wenu ni laana kwenu, hamtakaa muwe na amani katika hivyo viti vyenu,mara zote mtaona kuna watu wanataka kuwapindua na matkeo yake ni pamoja na kufungia vyombo vya habari,kupeleka watu msituni kwa mates kama si kuwaua na amri kibao kutoka kwa mahakimu ili kuwalinda.

With regards Mwakigali John

--- On Fri, 3/8/12, Ndabazi Kasebo <ndabazi@gmail.com> wrote:

> From: Ndabazi Kasebo <ndabazi@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, 3 August, 2012, 0:22
> Ipo siku kitawaka tu!Hii serikali
> huwa inashindwa na mafisadi wa EPA
> na wengineo kama akina Zo............. lakini cyo migomo ya
> wafanyakazi.Kila mgomo ni batili,ipo cku itawwatokea puani.
>
> On 8/2/12, method francis ngonge <mngonge@gmail.com>
> wrote:
> > imefika mahali watanzania inabidi tuhoji uwepo au
> kutokuwepo mahakama
> > nchini, tuna wasiwasi chombo cha mahakama kimeingiliwa.
> serikali ijue tuko
> > macho na tunafuatilia muenendo wa chombo hicho. Kama
> wamekubali kuwa ndani
> > ya serikali tuelewe na tutafute namna ya kupata haki
> zetu. Be careful we
> > are closely watching what is going on behind the
> curtains
> >
> > 2012/8/2 weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
> >
> >> Mahakimu hawajui dhiki za watumishi wengine kwani
> wao hula rushwa. Hawana
> >> dhiki na ndo maana wanakandamiza wanyonge wadai
> haki. Wala rushwa wakubwa
> >> na ndo maana wanasheria wenzao wanatuingiza kwenye
> mikataba mibovu. Tuna
> >> mahakimu wabovu na wanasheria wabovu. Ndo maana
> serikali inakimbilia
> >> huko,
> >> yaani kwa wabovu wenzao.
> >>
> >> --- On *Thu, 8/2/12, SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>*
> wrote:
> >>
> >>
> >> From: SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>
> >> Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu
> rejeeni kazini mgomo
> >> ni
> >> Batili
> >> To: wanabidii@googlegroups.com
> >> Date: Thursday, August 2, 2012, 11:27 AM
> >>
> >>
> >> Ambaye hakutarajia matokeo ni mgeni wa utendaji wa
> kaya yetu. Jana hukumu
> >> ilishatolewa na mkuu wa kaya.
> >> Leo nimefurahisha na Kauli ya kamanda Mgaya
> ailiyekumbusha kuwa kama
> >> serikali haina uwezo 100% basi iseme inaweza
> asilimia ngapi! Hii ni
> >> logical
> >> thinking.
> >> Walimu turudi kazini na kujipanga upya
> >>
> >> ----------
> >> Sent from my Nokia phone
> >>
> >> ------Original message------
> >> From: Tracy John Kimambo
> >> <tracykwetu@gmail.com<http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=tracykwetu@gmail.com>
> >> >
> >> To: "Wanabidii"
> >> <wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
> >> >
> >> Date: Thursday, August 2, 2012 8:52:57 AM GMT-0700
> >> Subject: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu
> rejeeni kazini mgomo ni
> >> Batili
> >>
> >> Mahakama ya kazi imetoa hukumu yake leo kwa kutaka
> walimu walioko
> >> kwenye mgomo kurudi makazini na kwamba mgomo wao ni
> batili .
> >>
> >> --
> >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >> Pata nafasi mpya za Kazi
> www.kazibongo.blogspot.com
> >> Blogu ya Habari na Picha
> www.patahabari.blogspot.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1121.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>
> >> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership
> signifies that you agree
> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.

> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership
> signifies that you agree
> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
> >>
> >>
> >>
> >
> > --
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership
> signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >
> >
> >
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment