Thursday 2 August 2012

Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili

Mimi bado napata shida kuangalia undani wa tatizo la waalimu na Serikali ambayo ni mwajiri wao.Je, Mahakama kwa kutoa uamuzi huo wa kuwataka wasitishe Mgomo na watangaze kwenye vyombo vya habari kuwa mgomo umekwisha utamaliza tatizo hilo?Mwalimu anayelazimika kukubali AMRI ya mahakama atafundisha kwa moyo au atarudi tu kazini? Mh!Serikali ilione tatizo kwa ndani, isilitizame kwa nje tu!

From: SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, August 2, 2012 9:27 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili

Ambaye hakutarajia matokeo ni mgeni wa utendaji wa kaya yetu. Jana hukumu ilishatolewa na mkuu wa kaya.
Leo nimefurahisha na Kauli ya kamanda Mgaya ailiyekumbusha kuwa kama serikali haina uwezo 100% basi iseme inaweza asilimia ngapi! Hii ni logical thinking.
Walimu turudi kazini na kujipanga upya

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Tracy John Kimambo <tracykwetu@gmail.com>
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, August 2, 2012 8:52:57 AM GMT-0700
Subject: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili

Mahakama ya kazi imetoa hukumu yake leo kwa kutaka walimu walioko
kwenye mgomo kurudi makazini na kwamba mgomo wao ni batili .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment