Sunday 12 August 2012

Re: [wanabidii] ' Madudu' Ya Olimpiki London- Hata Kungekuwa Na Medali Za Vijiti, Bado Tungeambulia Patupu!"

Steven Kiprotich from Uganda has worn the marathon followed by Kirui and Wilson Kiprotich from Kenya! Was eager to see if there is any Tanzanian, especially from the Rift Valley!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 12 Aug 2012 14:26:22 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] ' Madudu' Ya Olimpiki London- Hata Kungekuwa Na Medali Za Vijiti, Bado Tungeambulia Patupu!"

Naangalia live marathon ndio wamefikisha 28km. Top 4 position ni Kenya, Uganda and Ethiopia

Sent from My Samsung Tab 10.1

On Aug 12, 2012 12:25 PM, "heche suguta" <hechesuguta29@yahoo.com> wrote:
Mimi nafahamu kuna watu kule Tarime wana nguvu ya kutosha kurusha mkuki umbali mrefu kweli kweli, yaani hiki kitu cha aibu sana, hata kuruka Long jump kweli watz mil 47 hatuwezi?!!! huu ni ujinga wala sio aibu..inaonyesha jinsi gani tuna watu wazembe wasiojali mazoezi na wanaoshindia chips...

From: maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Saturday, August 11, 2012 2:24 PM
Subject: [wanabidii] ' Madudu' Ya Olimpiki London- Hata Kungekuwa Na Medali Za Vijiti, Bado Tungeambulia Patupu!"

Kocha wa Riadha, Samwel Tupa analaumu maandalizi mabovu. Kwani hatukujua miaka minne iliyopita kuwa kuna Olimpiki mwaka huu? Um
efika wakati wa kuingizwa watu wenye fikra mpya kwenye Kamati yetu ya Olimpiki.

Haiwezekani, kwa ' Taifa Kubwa' kama letu kushindwa hata kufika fainali ya mchezo wowote kwenye Olimpiki wakati tunashindwa kwenye kurusha mikuki na kisiwa cha wavuvi cha Trinidad Na Tobago kilichotwaa medali ya dhahabu kwenye kurusha Mikuki. Na hata Karzastan, imechukua dhahabu kwenye kuendesha baiskeli! Tusipoangalia tutakuja kuiona Sudan Kusini ikinyakua medali yake ya dhahabu kabla haijafikisha miaka mitano ya uhuru wake, hakyamungu!

( Pichani nikimaliza mbio za Dar Vodacom Half Marathon kwenye Uwanja wa Taifa miaka michache iliyopita.)

Maggid,
Iringa.
http://mjengwablog.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment