Muhingo,
Unaogelea kwenye Mfumo Kristo tu.Pinga hoja au jenga hoja.Taifa lianaomba msaada wa pesa nje kuyapa makanisa na taasisi zake mbona hilo husemi.
Hivi hilo la Sensa mnaogopa nini watanzania wenzetu?
Mbona kila kitu mnataka yaliyo kinyume nasi;OIC,Mahakama ya Kadhi,Muda wa kusali Ijumaa,Watoto na dada zetu kijistiri kwa vazi la hijabu nk.
Unajua ninyi leo mtu akikamatwa kapora mkufu anachomwa moto lakini subiri siku Waislam watamfanyia tahafifu na kumkata mkono.Haki za binadamu wote watapinga huo unyama na haitakuwa watu wenye hasira kali.
Angalia dunia inavyomwangalia Yahya Jame na hukumu yake ya kifo lakini nani anaangalia kinachofanyika kwenye baadhi ya majibu USA au kinachofanywa na hizo ndege zisizo na rubani huko Yemen,Pakistan na Afghanistan.
Mnakera ila tunawavumilia tukijiaminisha kwamba pengine chuki yenu itakuja kupungua.
Walewale.
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, August 27, 2012 4:58 PM
Subject: Re: [wanabidii] KWANINI WAISLAMU HAWANA IMANI NA VITENGO VINAVYOHUSIKA NA TAKWIMU?
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Yaani Taifa liombe msaada wa fedha kutoka nje. Litafute fedha ili kuwafurahisha watu? Hatujawa mabwege kiasi hicho. Nafikiri matokeo ya sensa mbili zilizotolewa mfano hapa ni sababu tosha ya kuondoa swali la dini kwenye sensa. Serikali haikuwahi kukosa kufanya chochote kwa sababu ya % za dini hizo. Kila aliyehesabiwa anaweza kuoanisha mopango ya serilai na maswali yaliyoulizwa. Kwanini waliotaka swali la dini kuingizwa hawajatweleza kwa manufaa gani liwemo. Kama ni kufurahi si wajihesabu tu watalinganisha na takwimu zitakazotolewa na wajielewe no @ ngapi? Nina maana wakijihesabu wakakuta wako molioni 40. Taifa likitoa takwimu zake kuwa Tanzania ina wakazi milioni 50 basi watajua kuwa wao ni 80%. wakitaka wajiambie maana wengine hatuoni faida yake. --- On Mon, 8/27/12, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment