Monday 20 August 2012

Re: [wanabidii] KUELEKEA SENSA

Hivi kwa nini watu wanashikiwa akili zao na watu wachache hili suala limeshikiwa bango mpaka naogopa. Nami pia namfano hai kuhusiana na hili Juzi asubuhi nikiwa nyumbani kwangu dirisha langu linatizamana na dirisha la nyumba nyingine ambao ni waislam mtoto akasikia tangazo la sensa akamwambia bibi yake na sisi tutaheswabiwa bibi akamjibu sisi hatuta hesabiwa kwa sababu ni waislam. Imagine inaaanza kumpandikiza udini mtoto mdogo wa miaka mitano. Hivi kweli tutafika.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 20 Aug 2012 17:57:40 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] KUELEKEA SENSA

Wadau angalieni hiyo attachment kisha msaidie kutoa ushauri mimi  nimechoka kabsaaaaaaaaaaaaaaaa.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment