Monday 27 August 2012

Re: [wanabidii] John Mnyika:Msimamo Wangu Vurugu,Risasi,Kujeruhi na “kuua” Morogoro!

Hivi jamani hakuna kiongozi mwenye uwezo wa kukemea polisi kuwa hawaruhusiwi kuua raia?Can somebody take the leadership please?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

From: Pata Habari <patahabari@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 27 Aug 2012 23:12:52 -0700
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] John Mnyika:Msimamo Wangu Vurugu,Risasi,Kujeruhi na "kuua" Morogoro!

Niliwahi kutahadharisha baada ya tukio la Dkt Stephen Ulimboka kuwa serikali imeanza kutumia mbinu haramu kudhibiti fikra mbadala, CCM imeanza kuongoza serikali kiimla na ipo siku umma utafikia hatua ya kukiona kama chama cha mauaji.

Raia watatu wasio na hatia wamefyatuliwa risasi na mmoja amefariki. Haya yamefanyika kwenye maandamano ya amani ya wananchi kuwapokea viongozi wa CHADEMA kuelekea kwenye mkutano.

Vurugu zimeanzishwa na polisi kwa mujibu wa mashuhuda wa ushahidi wa video. Vyanzo vyangu vinaniambia sasa wameagiza gari tatu za FFU na gari za kuwasha toka Dar Es Salaam.

Tuombe MUNGU wasiamue kuvuruga mkutano wa hadhara ambao wananchi wamekusanyika kwa wingi hivi sasa. States captured by grand corruption of the ruling party cronies for so many years' resorts to bullets as a way of stopping M4C through the ballot.

Maisha ya wachache yako mashakani lakini si mabadiliko kwa maslahi ya  wengi.

John John MNYIKA,
27 Agosti, 2012

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment