Mimi naona tatizo ni: Na Wazanzibari je, hawana haja ya kuwa na Vitambulisho wanapokata tiketi kuja ng'ambo hii? Wao wakidondoka majini hawahitaji kutambuliwa?
--- On Wed, 8/15/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote: From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> Subject: RE: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA To: "Wanabidii googlegroups" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Wednesday, August 15, 2012, 12:05 PM
Tatizo liko wapi? Kuna shida ya kuwatambua marehemu, waliopota na majeruhi kila inapotokea ajali, shida ambayo inaanzia kwenye tiketi ambako hakuna utambulisho rasmi unaofanywa. Katika nchi za wenzetu huwezi kukatiwa tiketi ya usafiri wowote bila kitambulisho. Sisi Tanzania bado hatuna vitambulisho rasmi lakini tuna kadi za mpiga kura na hivyo vitambulisho vya Zanzibar. Sasa Sumatra wakisema vitumike, tatizo liko wapi? Kama huna vyote hivyo, basi tumia pasipoti kama kitambulisho, jambo hata hapa Marekani linafanyika kwa maana ya nyaraka rasmi itolewayo na serikali. Hakuna tatizo hapa. Matinyi.
Date: Wed, 15 Aug 2012 08:31:00 -0700 From: shivyawata@yahoo.com Subject: Re: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA To: wanabidii@googlegroups.com Kwa jinsi hii! Kwa lugha nyepesi ni lazima uwe na passport ili uingie Zanzibar
Novat
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Wednesday, August 15, 2012 9:24 AM Subject: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA
Mamlaka ya usafirishaji wa majini na nchi kavu Sumatra imetangaza kuwa kwa raia yeyote anayetaka kwenda Zanzibar ni lazima awe na kitambulisho ama cha Makazi, cha mkazi au kura ili upewe tiketi ya kusafiria kwenda Zanzibar. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment