Wednesday 15 August 2012

Re: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA

Elisa,

Naona tunaumisha vichwa na watu wanaotaka talaka, kuvunja ndoa! Watazalisha maneno na matatizo lukuki lakini nia ni kuukorofisha muungano! Huwezi ukawa na unilateral decisions halafu ukawa wa kuzitolea sababu ili kuhalalisha kushindwa kwako kuwa na jibu sahihi!

Wazenji sasa watakuwa wanatukamata tukiwa hatujavaa chupi (caught with our pants down), na kisingizio ni kutafuta sababu za kuficha aibu ili eti kudumisha muungano! We're just idiots na sijui wameshatuelewa hivyo na wanakuja na vituko lukuki wakijua sisi tutajaza!

We're irritatingly idiots and mercifully stupid! God Bless Tanzania!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 15 Aug 2012 13:44:43 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA

Mimi naona tatizo ni: Na Wazanzibari je, hawana haja ya  kuwa na Vitambulisho wanapokata tiketi kuja ng'ambo hii? Wao wakidondoka majini hawahitaji kutambuliwa?

--- On Wed, 8/15/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA
To: "Wanabidii googlegroups" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, August 15, 2012, 12:05 PM

Tatizo liko wapi?
Kuna shida ya kuwatambua marehemu, waliopota na majeruhi kila inapotokea ajali, shida ambayo inaanzia kwenye tiketi ambako hakuna utambulisho rasmi unaofanywa. Katika nchi za wenzetu huwezi kukatiwa tiketi ya usafiri wowote bila kitambulisho. Sisi Tanzania bado hatuna vitambulisho rasmi lakini tuna kadi za mpiga kura na hivyo vitambulisho vya Zanzibar. Sasa Sumatra wakisema vitumike, tatizo liko wapi? Kama huna vyote hivyo, basi tumia pasipoti kama kitambulisho, jambo hata hapa Marekani linafanyika kwa maana ya nyaraka rasmi itolewayo na serikali. Hakuna tatizo hapa.
Matinyi.
 
Date: Wed, 15 Aug 2012 08:31:00 -0700
From: shivyawata@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA
To: wanabidii@googlegroups.com

Kwa jinsi hii!
Kwa lugha nyepesi ni lazima uwe na passport ili uingie Zanzibar

Novat

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, August 15, 2012 9:24 AM
Subject: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA

Mamlaka ya usafirishaji wa majini na nchi kavu Sumatra imetangaza kuwa
kwa raia yeyote anayetaka kwenda Zanzibar ni lazima awe na
kitambulisho ama cha Makazi, cha mkazi au kura ili upewe tiketi ya
kusafiria kwenda Zanzibar.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment