Thursday 9 August 2012

Re: [wanabidii] Fw: Tuwe Tunawahi

anza na hii

Na Mwandishi wetu

AMA KWELI dunia imekwisha, makanisa, watumishi wa Bwana wanazidi kumtia hasira Mungu kila kukicha, Afrika ndiyo inaongoza. Mtumishi mmoja wa Mungu nchini Ghana amenaswa hivi karibuni akimwogesha mke wa mtu ambaye ni muumini wake kwa madai anamtakasa.

Picha ya mtumishi huyo ilipigwa kwa siri na kamera ndogo iliyotegwa eneo la tukio.

Habari zinasema mtumishi huyo (jina lake halikupatikana mara moja) alimwogesha mwanamke huyo wakati wa mfululizo wa maombi ya utakaso maarufu kwa jina la Deliverensi.

Baada ya kumaliza kumwogesha, alimfuta maji kwa taulo na baadaye kumpaka mafuta aliyodai yana upako wa ki-Mungu 'Anointed'.

Ni vyema jamii ikaangalia upya sera za makanisa, hasa ya kiroho, wanayojiunga nayo kwani mengi hayafuati maagizo ya Mungu bali shetani.

kisha hii
 
Staili Hii Ya Kutoa Mashetani Yasababisha Kifo

NewsImages/6560986.jpg
Wednesday, August 08, 2012 12:34 AM
Mtoto wa miaka mitatu wa nchini Malaysia aliyedaiwa kuwa ana mashetani, amefariki dunia baada ya jaribio la kuyatoa mashetani hayo kwa jumla ya watu saba kumlalia juu ya mtoto huyo kwa muda mrefu huku wakisali.
Ibada ya kuyatoa mashetani ya familia ya toka China, nchini Malaysia imepelekea kifo cha mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu.

Tukio hilo lilitokea ndani ya nyumba ya wazazi wa mtoto huyo kwenye mji wa Bukit Mertajam kaskazini mwa Malaysia.

Polisi baada ya kutonywa kinachoendelea ndani ya nyumba hiyo walivunja mlango wa nyumba hiyo na kuwakuta watu saba wakiwemo wazazi wa mtoto huyo na hausigeli wote wakiwa wamepandiana kumlalia mtoto huyo ili kuyatoa "mashetani wake wabaya".

"Walikuwa wakiimba huku wakisali ibada zao ili kuyaondoa mashetani wabaya toka kwenye mwili wa mtoto huyo", alisema msemaji wa polisi.

Gazeti la The Star la nchini Malaysia limeripoti kuwa ibada hiyo ya kuyatoa mashetani ya mtoto huyo ilidumu kwa takribani masaa 20 na mtoto huyo alifariki kutokana na kushindwa kupumua baada ya kuelemewa na uzito wa watu saba.

Washiriki wa ibada hiyo walikuwa na umri kati ya miaka 16 na 67 ambapo kati yao alikuwa ni baba wa mtoto huyo, bibi, mjomba, shangazi na binamu zake wawili pamoja na hausigeli toka Indonesia.

Kaka wa baba wa mtoto huyo ndiye aliyewapa taarifa polisi ambapo washiriki wa ibada hiyo wote wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kwa kesi ya mauaji.

2012/8/5 <gm26may@gmail.com>

Inakula
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: moses <mosesgasana@yahoo.com>
Date: Sun, 5 Aug 2012 21:32:10 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Tuwe Tunawahi

Sawa lakn ukitaja hao waumini si mbaya.Haili muda wako sana.Nami ntatafiti zaidi

Sent from my iPhone

On Aug 5, 2012, at 6:49 PM, gm26may@gmail.com wrote:

Soma magazeti utayajua
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: moses <mosesgasana@yahoo.com>
Date: Sun, 5 Aug 2012 17:37:17 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Tuwe Tunawahi

Duh ni waumini gani hao wanaungama wakiwa uchi?

Sent from my iPhone

On Aug 5, 2012, at 3:11 PM, gm26may@gmail.com wrote:

Ndugu Weston!

Acha kuhukumu iman isiyo yako!

Kila mtu ana namna yake ya kuungama na anaamini ndio njia sahihi kutokana na iman yake!

Siku hizi kuna wachungaji ambao mpaka wanawaungamisha waumini kwa kuwaogesha wakiwa uchi wa mnyama, no uchi wa binadamu lakin yote hayo ni iman ya mtu na hata mwenye mke akikuta mkewe anafanyiwa maungamo kwa kuogeshwa anakuwa mpole asije kosa uponyaji

Tusijifanye tunazijua sana hizi iman tulizoletewa na wakolon wakati wanagawana utajili wetu

Dada Angela thanks a lot you have made my day!

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
Date: Sun, 5 Aug 2012 03:01:41 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Tuwe Tunawahi

Angela,
Fundisho hapa ni kuwa tuache kuungama dhambi zetu kwa mwanadamu mwenzetu. Bali tuziungame kwa Mungu. Mwanadamu hata awe papa au nani bado ni mwanadamu ana udhaifu kama wanadamu wengine. Ahsante kwa kunifanya leo walau nitabasamu. Sikuwa na mpango wa kucheka leo.

--- On Sun, 8/5/12, Angela Kasonta <akasonta2002@yahoo.co.uk> wrote:

From: Angela Kasonta <akasonta2002@yahoo.co.uk>
Subject: [wanabidii] Fw: Tuwe Tunawahi
To: "Sebastian Warioba" <swarioba@yahoo.co.uk>, "Wanabidii Google group" <wanabidii@googlegroups.com>, "Upendo Shushu" <upendoshushu@hotmail.com>, kabuzyam@yahoo.com, "Andrew Ruta" <andytef@yahoo.com>, "Erick Mchome" <emchome2002@yahoo.com>, "Edith Sonje" <snj_dth@yahoo.com>, "Edmund Mark" <e_mark77@yahoo.com>, "Alex Maheri" <alexmaheri@yahoo.com>, "Mama Balatty ebalati@yahoo.co.nz" <ebalati@yahoo.co.nz>, "Nathalie Innocent" <nathalie_innocent@yahoo.com>, "asante mgeni" <asantemgeni@yahoo.com>
Date: Sunday, August 5, 2012, 1:53 AM

--- On Sat, 4/8/12, PERPETUA KISAMBA <pepekiss2004@yahoo.co.uk> wrote:

From: PERPETUA KISAMBA <pepekiss2004@yahoo.co.uk>
Subject: Fw: Tuwe Tunawahi
To:
Date: Saturday, 4 August, 2012, 23:33

Padri mmoja mzee alistaafu na wanaparokia walimfanyia sherehe kubwa. Katika sherehe hiyo, mbunge wa eneo hilo alipangwa kutoa hotuba ya shukurani ya kumuaga padri huyo kwa niaba ya wanaparokia wote. Bahati mbaya, mbunge alichelewa kufika .   
 
 Mc akamwomba padri aseme machache wakati wanamsubiri mheshimiwa mbunge. Padri hakujipanga kusema kitu lakini kwa kujitahidi, aliongea.
 
"Wapendwa, naikumbuka sana siku nilipofika katika kanisa hili kwa mara ya kwanza, ila nilipata mshangao siku nilipoanza kuungamisha. Mtu wa kwanza kabisa kumuungamisha alinishangaza sana. kwani alisema amemwibia bosi wake TV, amemwibia ndugu yake pesa za urithi, amezini na jirani yake, na pia katembea na house girl wake. Nikapata picha kuwa kumbe watu wa kanisa hili ndivyo walivyo, nikasikitika sana. Kumbe nilifikiria tofauti. Kwani baadaye nikakuta kumbe watu wa hapa ni wazuri sana na hawatendi dhambi mara kwa mara na ni wastaarabu sana".  
 
Mara mheshimiwa mbunge akawasili, padri akakatisha maongezi na mbunge akaanza kuhutubia. "Ndugu wapendwa, naomba mniwie radhi kwa kuchelewa kwani nilikuwa na majukumu makubwa ya kiserikali. Pia ninayo furaha kubwa kwa kunipa nafasi hii kuhutubia kwa niaba yenu. Mimi nina bahati sana kwani padri huyu alipokuja hapa, mimi nilikuwa mtu wa kwanza kwenda na kuungama kwake...   

Fundisho-tuwe tunawahi

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Godfrey Mogellah
Arusha - The Geneva of Africa
0713265000

MOTTO:  Connect to God as often as you can.
               Reserve just one minute for God, once every hour.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment