Monday 27 August 2012

Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?

Leila kawa kituko!! Kumbe propaganda za udini na ukabila naye zilimwosha? Kazi kweli kweli

Sent from my iPhone

On Aug 27, 2012, at 6:54 PM, "Laurean Rugambwa B. " <rugambwa@hotmail.com> wrote:

> Dada Leila,
>
> Mimi nilipenda sana michango yako, ila hapa wewe unatafuta ugomvi! Yaani unatoa statement kama za Yona uone watu wanalipuka vipi hasa wapenzi wa Chadema.
>
> Habari hii uloitoa sijui umeitoa wapi, hata kama unasema wanasema ungewanukuru hapa tuone chanzo cha habari yako.
>
> Jitahidini kujenga hoja sio kutunga hoja kwa kuwazingizia wengine.
> Jenga hoja juu ya chadema na ukabila, maandamano nk,kama ndo ujumbe wako.
>
> Hata kama wapo watu walosema hivo wa aina hiyo, hawana hadhi ya kunukuriwa.
>
> Jioni njema,
> LR
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: Leila Abdul <hifadhi@gmail.com>
> Date: Mon, 27 Aug 2012 15:09:21
> To: <wanaBidii@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?
>
> Ukipitia vyombo vya habari kama magazeti na Mitandao ya kijamii wako watu wanaofananisha CHADEMA na TANU .
>
> Mi nahoji hivi ni kweli jamani ? kwani TANU waliwahi kufanya maandamano popote nchini kudai Uhuru ?
>
> TANU walikubali kufa kwa ajili ya Kuungana na ASP ili kuwa na CCM Haiwezi kulinganishwa na CHADEMA inayoogopa kuungana na vyama vya upinzani ili kupata nguvu .
>
> TANU haijawahi kutuhumiwa kwa ukabila wala dini hata na serikali ya kikoloni .
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment