Tuesday 28 August 2012

Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?

Dahlia
Huo ni ushabiki na sio hoja
EM

From: Dahlia Majid <dahliamajid@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, August 28, 2012 5:04 PM
Subject: Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?
 
So what?!!
 
Hebu tupisheni kulee, na hoja zenu ziso mbele wala nyuma

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, August 28, 2012 1:41 AM
Subject: Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?
Mimi sijapitia vyombo hivyo vya habari, lakini nina sababu sahihi za kulinganisha TANU na CHADEMA na kwa manufaa ya HOJA na ANC cha Africa ya Kuzini.
Vyote vilitetea/vinatetea wanyonge. Vilipinga/vinapinga dhuluma. Habari za Maandamano, au kutumia silaha ni mbinu/mikakati ya kutimiza malengo kufuatana na mazingira yaliyopo/yaliyokuwepo. Nyerere aliwahi kusikika akisema Tunadai uhuru Kama Uingereza itakataa tutakwenda umoja wa Mataifa kama nao watashindwa tutamwambia/tutashtaki kwa Mungu. Tulipata uhuru kabla ya kufika hatua ya tatu la sivyo tungekuwa kama CHADEMA na ANC.
Unasemaje Leila? --- On Mon, 8/27/12, Leila Abdul <hifadhi@gmail.com> wrote:

From: Leila Abdul <hifadhi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?
To: "wanaBidii" <wanaBidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 27, 2012, 8:09 AM

Ukipitia vyombo vya habari kama magazeti na Mitandao ya kijamii wako watu wanaofananisha CHADEMA na TANU . Mi nahoji hivi ni kweli jamani ? kwani TANU waliwahi kufanya maandamano popote nchini kudai Uhuru ? TANU walikubali kufa kwa ajili ya Kuungana na ASP ili kuwa na CCM   Haiwezi kulinganishwa na CHADEMA inayoogopa kuungana na vyama vya upinzani ili kupata nguvu . TANU haijawahi kutuhumiwa kwa ukabila wala dini hata na serikali ya kikoloni .
-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/ Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/ Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    

-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

0 comments:

Post a Comment