Sunday 12 August 2012

RE: [wanabidii] Dr Steven Ulimboka Kupokelewa saa 8 Mchana

Naunga mkono hoja kuwa Dr. Ulimboka apokelewe  na ndugu na marafiki  wa karibu bila kuweka wazi anaenda wapi baada ya hapo... Kwamba  mtu aliye karibu na watawla wa Tanzania kama Yona Maro anatujuza kuwa anafika  siku na saa fulani inatosha kuwa na wasiwasi juu ya uhai wake... Natumaini ulinzi mkali utapangwa na ni vizuri wengi wetu tusiende uwajani kumpokea maana tukiwa wengi na hawa jamaa wenye nia mbaya na  viongozi  wa vuguvugu la mabadiriko kama Dr. Ulimboka watajipenye humo humo kirahisi mno... Tufanya kazi yao iwe ngumu....Vyovyote vile watajaribu kumdhuru tu na  ni vizuri tunaomtakia mema tukaeni  manyumbani  mwetu hadi tupewa ratiba nje ya mitandao ya wazi kama hii ya kwenda kusalimia.
Mwl. Lwaitama 
 
> Date: Sun, 12 Aug 2012 12:32:16 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] Dr Steven Ulimboka Kupokelewa saa 8 Mchana
> From: mngonge@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Kama ni kweli ni vyema madaktari kwa kushirikiana na familia yake
> wakaandaa ulinzi wa kutosha na wala hakuna sababu ya watu kukusanyika
> kumpokea kwa vile mbaya wake na mzuri hatuwajui. Ni vizuri akapokelewa
> na familia yake ikampeleka inakojua ni salama. Hakuna sababu ya
> kuaminiana katika hili
>
> 2012/8/12 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>:
> > Ndugu zangu
> >
> > Nimepata Taarifa kwamba Dr Steven Ulimboka anarudi leo saa 8 mchana ,
> > atatua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKN Kuanzia saa hiyo .
> >
> > --
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

0 comments:

Post a Comment