Friday 10 August 2012

RE: [wanabidii] Basi la Kampuni ya Sabena laanguka

Ninaposafiri na gari, kwa jinsi navyokaguliwa na maaskari wa usalama barabarani, (mara sticker ya nenda kwa usalama, mara sticker ya fire, mara road lisence etc..) nashangaa inakuweje basi linasafiri umbali wote huo likiwa limejaza watu kiasi hicho bila hatua kuchukuliwa. Lakini zaidi sana, wameng'ang'ania fire extinguisher wakati ajali nyingi zinazosababisha vifo, siyo za magari yanayowaka moto. Ajali hizo zinatokana, na kutojua sheria za barabarani kwa baadhi ya madereva, magari mabovu, ulevi wa madereva na magari kujaza zaidi ya uwezo wake. Kwa mtazamo wangu hivyo ndivyo vyanzo vikuu ambavyo jeshi la polisi na hasa Usalama barabarani inabidi lifuatilie kwa makini na siyo fire extinguishers katika magari ambazo nchi nyingine hata hazin ahabari nazo! 

Date: Thu, 9 Aug 2012 02:44:32 -0700
From: ipyana75@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Basi la Kampuni ya Sabena laanguka
To: wanabidii@googlegroups.com

Comrades Heche;
Katika taarifa za waliofariki na majeruhi nazani kuna Askari walikuwepo/alikuwepo katika basi husika.
Sasa kama wa Polisi Mkoa wa Tabora anawahimiza wananchi kutoa taarifa kama basi limezidisha watu at the same time Vijana wake mwenyewe wanashindwa kufanya hilo,its amazing mana anatakiwa huyo askari aanze kuwajibishwa kwa kutotoa taarifa husika.
 
!Braza!
From: heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, August 9, 2012 2:07 AM
Subject: Re: [wanabidii] Basi la Kampuni ya Sabena laanguka

NI mapendekezo yangu kwamba jeshi la polisi livunjwe, hii ni kwasababu hili jeshi ni sehemu ya tatizo kubwa la usalama unalikabili Taifa..natuendako hali itakua mbaya sana kabisa, hawa jamaa ndio wanatuhumiwa na mambo mengi ya ajabu na hovyo hovyo, hivi kweli basi ina watu zaidi ya 100 hakuna askari aliiona hata stand kuu ya basi?!!!

Na abiria nao ni sehemu ya tatizo kwanini wasingekataa?!!

From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
To: Wanabidii Mawazo <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, August 9, 2012 1:50 AM
Subject: RE: [wanabidii] Basi la Kampuni ya Sabena laanguka

Nasikia lilikuwa na abiria zaidi ya 100!
Hivi kweli huo ndo uwezo wake?
Na kote huko lilikopita hakuna vituo vya polisi ambao wangechukua hatua?
 
> Date: Wed, 8 Aug 2012 20:21:26 -0400
> Subject: Re: [wanabidii] Basi la Kampuni ya Sabena laanguka
> From: mauricejoduor@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Ayi Mtume !!! mola na warehemu wote waliopoteza maisha.
>
> Oduor Maurice
>
>
> On 8/8/12, gm26may@gmail.com <gm26may@gmail.com> wrote:
> >
> > Sa sad news!
> >
> > Polen sana wahanga wa ajali hii na Muumba azilaze mahal pema pepon roho za
> > marehemu wote
> >
> > Amina
> > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> >
> > -----Original Message-----
> > From: Henry Oppi <henryoppi@gmail.com>
> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Wed, 8 Aug 2012 22:44:13
> > To: <wanabidii@googlegroups.com>
> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> > Subject: Re: [wanabidii] Basi la Kampuni ya Sabena laanguka
> >
> > Mungu awarehemu marehemu hao na kuwatia moyo waliofiwa na ndugu zao na
> > kuwajalia kupona mapema walioumia na majeruhi wote, but nini chanzo
> > cha ajari hii?
> >
> >
> >
> > On 8/8/12, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
> >> Basi la Kampuni ya Sabena laanguka linalofanya safari kati ya tabora
> >> la mbeya limeanguka na abiria 16 kufariki hapo hapo .
> >>
> >> --
> >> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> >> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> >> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to
> >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>
> >>
> >>
> >
> > --
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment