Thursday 2 August 2012

Re: [wanabidii] Asah Andrew Mwambene Ateuliwa Kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)

Hongera kaka asahg
------------------------------
On Thu, Aug 2, 2012 6:07 AM EDT John Wanyancha (tz) wrote:

>Hongera sana Assah. Kwa ninavyomfahamu, sina shaka kwamba Assah atafanya
>kazi nzuri na kwa ueledi mkubwa kama mkurugenzi wa idara ya habari
>maelezo.Ni kijana mchapa kazi na wa kizazi cha kisasa.
>
>JW
>
>2012/8/2 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>
>> Bw. Asah Andrew Mwambene ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari
>> (MAELEZO) katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
>> kuanzia tarehe 01 Julai, 2012. Bw. Mwambene anachukua nafasi
>> iliyoachwa wazi na Bw. Clement Mshana ambaye mwaka jana aliteuliwa
>> kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
>>
>> Bw. Mwambene (41) kabla ya uteuzi huu alikuwa Kaimu Mkuu wa Kitengo
>> cha Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Mambo ya Nje na
>> Ushirikiano wa Kimataifa. Aidha, Bw. Mwambene amewahi kufanya kazi
>> katika Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) akiwa mwakilishi wa
>> Kampuni hiyo huko Zanzibar.
>>
>> Idara ya Habari (MAELEZO) ndiyo Msemaji Mkuu wa Serikali hapa nchini.
>>
>> IMETOLEWA NA
>> WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI
>> NA MICHEZO, AGOSTI 1, 2012
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment