Wednesday 8 August 2012

Re: Fwd: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Manonga

Nakubaliana na wewe kuwa hatuwezi kuwa na uongozi tunaokubaliana watanzania wote, lakini basi tutofautiane katika mambo machache lakini yale ya msingi yafanyike kwa masilahi ya taifa.

uongozi madhubuti ni ule utakaohakikisha kuwa tuna sera za kutuwezesha kuzitumia lasilimali zetu kwa manufaa ya watanzania wote. Hivi kweli wewe unaridhika na mrabaha wa 3% au 4% wakati wengine wanapata 50%+kwenye dhahabu?

Hizi mali asili haziozi na wala si lazima watanzania wa karne hii ndo wazitumie, kwani tunajua Tanzania itaisha lini? Rasilimali zipo nyingi ambazo tumeshindwa kuzisimamia ili tupate maendeleo na sasa tunataka turukie kwenye mambo mengine ambayo hata kujiandaa kunasua sua.

Mnataka mmalize kila kitu wakati wenu huu kizazi kijacho kitakula nini?

Migodi mingi ya dhahabu inakaribia kumaliza shughuli ya uchimbaji na bado serikali na wananchi wanalalamika bado au hizo dhahabu zitaota tena?

2012/8/8 <manonga2003@yahoo.com>
Nicodemus,

Hawa viongozi madhubuti unaosema tusubiri waje ndio tutumie rasilimali zetu kwani tumeahidiwa na Mungu? Hakutawahi kufika mahali tukawa na kitu tunakubaliana kama taifa kwamba huu ndio "uongozi madhubuti". Mwalimu alikuwa rais wetu wa kwanza na watu wakalalamika, oh dickteta, mara haambiliki-kwa hiyo hakuwa madhubuti ( kwa kila mtanzania), akaja Mzee Mwinyi, watu wakalalamika na wengine wakamuita dhaifu, kwahiyo naye hakuwa madhubuti katika mantiki hiyo-baada yake akaja Mzee Mkapa, naye akapata majina mengi ikiwemo la ukapa. Na sasa tuna Kikwete kwa awamu ya nne, na yeye tunaona bado. Ukweli ni kwamba, hata kama tungeongozwa na yesu, uongozi wake usingekuwa madhubuti maana si watanzania wote wangemkubali na hata kama tuongeongozwa na mtume Mohammad, bado binadamu wa Tanzania tusingekubaliana naye kwa asilimia mia. Ninachotaka kusema ni kwamba, things should happen irrespective of whether there's what we commonly agree as 'uongozi madhubuti' or not! for uongozi madhubuti will never happen to be a universal practice. Tufanye mambo kwa utashi kwa maslahi ya taifa, perfection is the attribute of God.

Alex.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
Date: Wed, 8 Aug 2012 14:31:31 +0300
Subject: Re: Fwd: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Ni bora Uranium isichimbwe kwa sasa hadi tupate uongozi madhubuti wa Taifa hili. Zaidi ya hapo tutaendelea kuwa wanyonge na victims wa utajiri tuliopewa na Mwenyezi Mungu.

2012/8/8 <ezekielmassanja@gmail.com>
Nimesoma msgs hapa wiki iliyopita na hii kuhusu majibizano makali na Wamalawi. Leo naona yanaanza kwa Wakenya sijui kesho yatakuwa kwa akina nani. Kwa nini tusijadili tu hoja badala ya kusema Wakenya au Wamalawi.

Kwanza mnaamini kwamba Wakenya ndilo tatizo letu kwenye madini na raslimali zingine kweli?

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

From: Abraham Akyoo <aaakyoo@gmail.com>
Date: Wed, 8 Aug 2012 11:30:38 +0300
Subject: Fwd: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Wanafikiri Watanzania wa sasa ni wale waliyowachezea kwenye trade fare Ulaya miaka ya 1970-80,90, na kusema mlima kilimnjaro uko kwao pamoja na Serengeti, Kutumia BACK DOORS kuuza Tanzanite na kusema imetoka kwao. BIG NOOOO, hawa jamaaa ni (MOTIVATIONAL SPEKERS MATAPELI) ukiwabana vizuri hawana lolote. UKIFANYA NAO BIASHARA MARA MOJA MARA MBILI HATA KAMA NI YAKUUZA NYANYA KAA CHOJO WATAKUPIGA. UKIWASHTUKIA WANAKUJA NA STORY MINGI HAWATAKIWI KUPEWA NAFASIHATA KIDOGO.
 
---------- Forwarded message ----------
From: <ezekielmassanja@gmail.com>
Date: 2012/8/8
Subject: Re: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com

Kwa mtazamo wangu huu si wakati mzuri kuendelea kuchima raslimali zetu hizi tulizopewa na mwenyezi MUNGU. Tuziache kabisa kwani viongozi wa sasa hawafai, uwezo hawana na pia hawana nia thabiti kuendeleza taifa hili badala ya kujiendeleza wenyewe binafsi na familia zao.

Mwenye mfano mzuri wa kile uongozi wetu wa sasa ulichofanya vizuri upande wa mali asili zetu kuona kwamba zinanufaisha watanzania aulete.

Ni mawazo yangu tu.

Massanja
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

From: Christian Nicholas <kristian_nick@yahoo.com>
Date: Tue, 7 Aug 2012 12:26:59 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Nadhani Tanzania sasa tunataka kuchezewa,mheshimiwa Rais nakuunga mkono kwa juhudi za kuhakikisha raslimali za
Tanzania zinawanufaisha watanzania,kenya hawana raslimali na wivu na hasira za kijinga ndo zinazowasumbua,tupingane sawa kwa siasa zetu,lakini inapokuja kwenye swala la raslimali za Tanzania Tumwache Rais wetu atupiganie na tumuunge mkono kwa juhudi hizi,nani atashughulika na raslimali zetu kama sio sisi hata kama kuna wawekezaji? tuungane kupinga udhalimu wa kenya kwa kututisha na hoja za hovyo,kenya na wakenya tafadhali nyamazeni kimya mtuachie raslimali tulizopewa na MUNGU WETU,SASA TUMESOMA WATANZANIA ,TUNAWEZA KUSIMAMA,TUPO VIJANA TULIO TAYARI KUSHINDANA NA NAIROBI,KENYA NYAMAZENI MSITUCHEZEE,TUMENYAMAZA VYA KUTOSHA SASA INATOSHA,CHEZEENI NCHI NYINGINE SIO TANZANIA YA SASA,KIKWETE SONGA MBELE,watanzania wataka maendeleo tuko nyuma yako.siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Monday, August 6, 2012 7:02 PM
Subject: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

THIS IS WHAT URANIUM MINING IN AFRICA LOOKS LIKE

Do you see any tourists?

Do you see any wildlife?

The government of Tanzania is planning a Uranium mine in the Selous - one of the largest wildlife preserves in Africa. It is a continuing philosophy of environmental destruction for short term gain that includes the Serengeti highway, soda ash mining on Lake Natron and more.

One of our fans in Kenya has started this petition. Please take a minute to sign and share it.

http://www.avaaz.org/en/petition/Stop_UNESCO_From_Influencing_Uranium_Mining_in_Tanzania/?wsUqncb
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Nicomedes M. Kajungu
P.O.Box 2744
Mwanza.
Cel: +255 782 315 688, +255 767 48 32 71,
      +255 719 451 850
Email: nicomedes76@gmil.com
Skype add: nkajungu

0 comments:

Post a Comment