Thursday 9 August 2012

Re: Fwd: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Kenya wanauza masoko ya Ulaya na kwingineko dhahabu, almasi, Tanzanite na vito vingine, je migodi yao iko mkoa na wilaya zipi ndani ya nchi yao?  Kama nchi, Kenya imekuwa inashiriki katika uharamia wa kuiba mali za Tanzania kwa manufaa yake k.m. kutangaza kwa nguvu zao zote miaka mingi kuwa Mlima Kilimanjaro uko Kenya na wamefaidika kupata fedha nyingi za watalii kwa uongo na utapeli huo. Hawa jirani zenu hawana hata aibu! Bhati mbaya kwa muda mrefu tulikosa kiburi cha kuthubutu kusema sasa basi, inatosha. Nahisi kuwa  ingawa hayati Mwl Nyerere alikuwa mwumini wa Umoja wa Afrika, lakini hakuona aibu kuvunjika kwa Jumuia ya Afrika ya Mashariki kwa kuwa tulikuwa hatufaidiki kiuchumi!
Mhe Sitta amefanikiwa kuwa jeuri na hili limetusaidia sana. Wakenya wanaopiga debe, na pengine ni wachovu wanaotumiwa,  kutaka kusitishwa nchi yetu kuvuna raslimali zake ni maadui wa Tanzania na pengine hili ni kielelezo kuwa vijana wa Tanzania wakumbuke kuwa Wakenya walileta hoja ya 'Fast Tracking' masuala nyeti ya kuwa na serikali moja ya Ushirkiano wa Afrika Mashariki wakiwa na agenda zao na moja ni suala la ardhi; ardhi ni 'nyumba' ya wanyama pori, madini, kilimo, makazi na kila kitu. Walikuwa na hila kwa sababu kwanza Mkenya wa kawaida hawwezi kununua kiwanja vitongoji vya Nairobi kama ilivyo kwetu, kuwa kuweza kupata kiwanja Chanika sio kazi hata kidogo hata kwa mwenye mshahara wa kawaida kabisa. Manzese ya TZ sio sawa na wale Manzese ya Nairobi. Watanzania tuna sababu, uwezo na nia ya kupinga mikwara hii ya Wakenya kwa nguvu zote kwa maslahi ya taifa na ustawi wa watu wake.Kitendo hiki kinatia dosari kubwa kwa mahusiano ya usoni kuhusu nchi zilizomo katika Jumuia ya Afrika Mashariki. 
Rayben M. Sanga,
From: "ezekielmassanja@gmail.com" <ezekielmassanja@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 8 August 2012, 11:35
Subject: Re: Fwd: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Nimesoma msgs hapa wiki iliyopita na hii kuhusu majibizano makali na Wamalawi. Leo naona yanaanza kwa Wakenya sijui kesho yatakuwa kwa akina nani. Kwa nini tusijadili tu hoja badala ya kusema Wakenya au Wamalawi.

Kwanza mnaamini kwamba Wakenya ndilo tatizo letu kwenye madini na raslimali zingine kweli?

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
From: Abraham Akyoo <aaakyoo@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 8 Aug 2012 11:30:38 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Fwd: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Wanafikiri Watanzania wa sasa ni wale waliyowachezea kwenye trade fare Ulaya miaka ya 1970-80,90, na kusema mlima kilimnjaro uko kwao pamoja na Serengeti, Kutumia BACK DOORS kuuza Tanzanite na kusema imetoka kwao. BIG NOOOO, hawa jamaaa ni (MOTIVATIONAL SPEKERS MATAPELI) ukiwabana vizuri hawana lolote. UKIFANYA NAO BIASHARA MARA MOJA MARA MBILI HATA KAMA NI YAKUUZA NYANYA KAA CHOJO WATAKUPIGA. UKIWASHTUKIA WANAKUJA NA STORY MINGI HAWATAKIWI KUPEWA NAFASIHATA KIDOGO.
 
---------- Forwarded message ----------
From: <ezekielmassanja@gmail.com>
Date: 2012/8/8
Subject: Re: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com

Kwa mtazamo wangu huu si wakati mzuri kuendelea kuchima raslimali zetu hizi tulizopewa na mwenyezi MUNGU. Tuziache kabisa kwani viongozi wa sasa hawafai, uwezo hawana na pia hawana nia thabiti kuendeleza taifa hili badala ya kujiendeleza wenyewe binafsi na familia zao.

Mwenye mfano mzuri wa kile uongozi wetu wa sasa ulichofanya vizuri upande wa mali asili zetu kuona kwamba zinanufaisha watanzania aulete.

Ni mawazo yangu tu.

Massanja
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
From: Christian Nicholas <kristian_nick@yahoo.com>
Date: Tue, 7 Aug 2012 12:26:59 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

Nadhani Tanzania sasa tunataka kuchezewa,mheshimiwa Rais nakuunga mkono kwa juhudi za kuhakikisha raslimali za
Tanzania zinawanufaisha watanzania,kenya hawana raslimali na wivu na hasira za kijinga ndo zinazowasumbua,tupingane sawa kwa siasa zetu,lakini inapokuja kwenye swala la raslimali za Tanzania Tumwache Rais wetu atupiganie na tumuunge mkono kwa juhudi hizi,nani atashughulika na raslimali zetu kama sio sisi hata kama kuna wawekezaji? tuungane kupinga udhalimu wa kenya kwa kututisha na hoja za hovyo,kenya na wakenya tafadhali nyamazeni kimya mtuachie raslimali tulizopewa na MUNGU WETU,SASA TUMESOMA WATANZANIA ,TUNAWEZA KUSIMAMA,TUPO VIJANA TULIO TAYARI KUSHINDANA NA NAIROBI,KENYA NYAMAZENI MSITUCHEZEE,TUMENYAMAZA VYA KUTOSHA SASA INATOSHA,CHEZEENI NCHI NYINGINE SIO TANZANIA YA SASA,KIKWETE SONGA MBELE,watanzania wataka maendeleo tuko nyuma yako.siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Monday, August 6, 2012 7:02 PM
Subject: [wanabidii] WAKENYA WAPINGA UCHIMBAJI WA URANI TANZANIA

THIS IS WHAT URANIUM MINING IN AFRICA LOOKS LIKE

Do you see any tourists?

Do you see any wildlife?

The government of Tanzania is planning a Uranium mine in the Selous - one of the largest wildlife preserves in Africa. It is a continuing philosophy of environmental destruction for short term gain that includes the Serengeti highway, soda ash mining on Lake Natron and more.

One of our fans in Kenya has started this petition. Please take a minute to sign and share it.

http://www.avaaz.org/en/petition/Stop_UNESCO_From_Influencing_Uranium_Mining_in_Tanzania/?wsUqncb
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
0 comments:

Post a Comment